vipi

Virtual Portal for Impaired Groups Interaction (ViPi) is a project partially funded by the European Union (EU) under the Lifelong Learning Programme 2007–2013, subprogramme KA3 ICT. The project commenced on 1 January 2011 and has 36 months duration (until 31 December 2013). The main vision of the project is to provide alternative and creative solutions for the employment of People with Disabilities (PwD) by delivering a "one-stop-shop" interactive portal and learning environment comprising: 1) a multilingual platform, 2) an embedded social community, 3) accessible content (WCAG 2.0) for PwD and trainers, etc. The project will bring together key stakeholders and gatekeepers (VET, target groups, umbrella organizations) in order to address the lack of specific training support or material for PwD and their trainers by providing a set of applications and services that will be available via a complete educational framework, taking into account interaction possibilities offered by web 2.0 and localised, tested and assessed with different end-user communities (GR, BE, LT, UK and CY).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  2. JamiiForums Tanzania Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

    Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana. Baba mwenye nyumba, Kashai, Bukoba.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Utamjibu vipi Ex wako anayetaka mrudiane baada ya wewe kuyapatia maisha?

    Utakuta mdada ulikuwa ukimpenda sana na kumtimizia mahitaji yake kadri ya uwezo wako lakini ghafla huyo keshakugaya anakwenda kujishikiza kwa kamsela kimbaumbau kisa kanamiliki visilver vya kubadilishia mboga. Eti leo maisha yameninyookea uanze kunitumia vitext vya kuomba turudiane, nitakujibu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vipi huko ulipo, bei ya mazao ipoje?

    Huku mimi nafurahi sana ninapouza kipeto cha viazi debe sita vikiwa shambani nauza 65000, sichimbi wala siweki kibarua, japo parachichi soko kidogo lilisumbua, maziwa yanauzika ng'ombe tunataja bei tunayojisikia, nguruwe wanakuja kukuomba uwauzie, naona huu mwaka sio haba gharama za mbolea...
  5. JamiiForums Tanzania Namsaidia vipi huyu ndugu yangu?

    Wakuu ninaomba ushauri kutoka kwenu. Ninaye ndugu yangu ambae hali yake kifedha ni dhwaiful hali yaani hana kila kitu. Majuzi aliniomba akiniambia ndugu yangu bwana Mwizukulu Mgikuru ninaomba uninunulie walau freezer mbili ili niweze kufanya biashara ya kuuza ice cream na maji baridi...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

    "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege Chanzo: EastAfricaTV Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na...
  7. JamiiForums Tanzania Audio Tunatumia Shazam Kuutambua Wimbo, Vipi kwa Video Ambayo Huijui Unatumia App Gani?

    Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...? NAWASILISHA.
  8. JamiiForums Tanzania Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

    Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje? wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see britanicca
  9. JamiiForums Tanzania Vipi zile nafasi za Internship TBS walishaita watu?

    Habari, Ilikuwa 21 April TBS walitoa tangazo la internship kwa nafasi mbalimbali. Vipi walishaita vijana kwa ajili ya usaili na kuanza kazi? Nimeingia kwenye website yao sijaona tangazo lolote, ni bado mchakato au watu wamepigiwa simu direct?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

    Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

    Habari wana JF, Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc? Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo: 1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
  12. JamiiForums Tanzania Hii hali tunaweza kuielezea vipi?

    Habari zenu members. Kuna hali Fulani ambayo ipo,kwamba waeza kutana na mtu lkn bila sababu yoyote ukajikuta unamkubali,mnaenda Sawa na mnajikuta kana kwamba mmefahamiana siku nyingi,mkikutana mnasalimiana vizuri na mnaweza tengeneza connection kirahisi Tu. Lakini kinyume chake kuna mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Nimchokoze Mohamed Said juu ya historia ya Denis Phombeah; ni vipi alishiriki katika uhuru wa Tanganyika?

    Wadau, Mimi ni msomaji sana wa historia za Sheikh wangu, Mohamed Said na nimekuwa na bahati ya kukutana naye pia nyumbani kwake Magomeni Mapipa, miaka miwili iliyopita. Kama kawaida yake, ukimchokoza na kifurushi cha jero, yeye anakuletea kifurushi cha 50k. Hebu leo kwa faida ya wasomaji...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Dunia inazunguuka vipi kuhusu madishi ya satellite?

    Wadau Leo naomba mnisaidie tunajifunza kuwa Dunia inazunguuka kwenye mhimili wake lakini pia inazunguuka jua... Kama ni hivyo mbona ukifunga dish huku Duniani na satellite huko angani.. Kama Dunia inazunguuka mbona signal hazipotei? Ili Hali tunajua kabisa dish likiyumba kidogo tu channels hamna?
  15. JamiiForums Tanzania Waombaji wa ajira hii imewaHi kuwakuta? Je mlitatua vipi?

    Niko naomba nafasi ya assistant Nursing officer, sifa inayotakiwa ni An ordinary diploma in nursing, cha kushangaza nimeomba sehemu moja tu ya bugando, sehemu nyingine eti naambiwa sina sifa, tazama 👇👇 Sifa zinazotakiwa Mimi Qualification nilizonazo na ambazo nimejaza kwenye akaunt...
  16. JamiiForums Tanzania Nina-solve vipi huu msala?

    Wajuvi naomba msaada wa Kitaalamu, Unatoka zako Job mwanao wa damu anakupigia simu uende mahali mkale vyombo, unamsisitiza wewe umepumzika anakwambia hata maji tu na msosi basi unaamua kwenda. Umeenda kujiunga nao kupiga Vyombo ila ww ukawa hunywi, mwana na manzi yake wakawa wanaagiza sana...
  17. JamiiForums Tanzania Kupiga picha na watu maarufu, kunakuongezea vipi, unafuu katika maisha yako?

    Watu wengi hupenda, au kulazimisha kupiga picha na watu maarufu katika nyanja mbali mbali. Leo tunataka tujiulize; zile picha huwa zinamanufaa gani katika maisha yako; hasa katika utafutaji wa kipato chako cha kila siku.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Vipi vitambulisho vya machinga havina muendelezo? Basi walipe ushuru kwa halmashauri

    Wakuu habari, Kama mnavyojua Rais Magufuli alileta kitu kilichoitwa Vitambulisho vya Machinga mwaka 2019 Vitambulisho hivi ambavyo vililipiwa 20,000 vilipelekea ushuru ambao machinga walikuwa wakilipa kwa Halmashauri kufutwa, na badala yake wangelipa hiyo 20k kila mwaka. Sasa ni miaka 3...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama ukiitwa kusuluhisha mgogoro huu utausuluhisha vipi?

    Eti kwenye familia moja ukute kuna migogoro mitatu inayohitaji kusuluhishwa kwa wakati mmoja. Mgogoro wa kwanza, baba kauza shamba la familia pesa kaenda kuhonga malaya wake. Mgogoro wa pili, mama kapatiwa ujauzito na kibeniten tena kilichokuwa kimepanga nyumba ya jirani. Mgogoro wa tatu...
  20. JamiiForums Tanzania Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

    Habari Wakubwa. waswahili wanasema kuuliza si ujinga Ningependa kufahamu Naibu Gavana wa Benki Kuu anapatikana vipi? Ni mteule tu wa Rais kama wateule wengine? Majukumu yake ni yapi? Naibu gavana wetu sasa anaitwa nani alikuwa wapi na wapi kabla ya kuwa Naibu Gavana. Nafahamu Gavana Luoga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…