Azam TV vipi huko, hii App mpya ya Yanga SC haijaathiri mkataba wenu?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje?

Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole kunyuti APP yao ambayo leo wanajifanya ni kitu kipya ndipo sasa yanga wanafanya

Au bado mna maudhui ya ki exclusive kurusha kwenye hiyo yanga tv?

dadeeekiiiii
azm yanga.JPG
??
 
Hii ni thread ya tano kwa leo kuhusu Yanga tu

Pumzika mkuu unywe hata maji maana Yanga inakupeleka puta
 
Swali linahusu mkataba wa azam tv,jf ni user generated content au unadhani kuna watu wameajiriwa kuanzisha thread hata zikifika kumi haijalishi
 
App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje?

Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole kunyuti APP yao ambayo leo wanajifanya ni kitu kipya ndipo sasa yanga wanafanya

Au bado mna maudhui ya ki exclusive kurusha kwenye hiyo yanga tv?

dadeeekiiiii
View attachment 2369527??
Kaolewe na Manara uwe busy na kazi
 
Back
Top Bottom