viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali mnaopenda kufanya maamuzi ya kujijenga binafsi kisiasa muache. Sikubaliani na hili tamko la RC Mtaka

    RC Mtaka ni kiongozi mzuri lakini naona huwa anavuka kabisa mipaka labda kwa kujua au kutokujua ila mwishoni huonekana ni kama vile maamuzi binafsi ya kujijenga kisiasa. Mara kadhaa ameshawahi kuleta misuguano hadi na waziri wa elimu kutokana na maamuzi yake ambayo huwa hataki kabisa yapingwe...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ghana awataka Marais wa Afrika kuacha kuwa 'omba omba'

    Akizungumza kwenye Mkutano na Rais Joe Biden wa Marekani na Marais takriban 50 wa Afrika, Rais Nana Akufo-Addo amesema Afrika lazima iache kutegemea nchi za Magharibi ili kubadili mitazamo duni kuhusu bara hilo. Amesema "Tukiacha kuwa ombaomba na kutumia pesa zetu, Afrika haitakuwa na haja ya...
  3. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Serikali bado ina viongozi wa "Business as usual"

    Leo nimeangalia muhtasari wa habari ITV, habari za leo ni uzembe unaofanywa na baadhi ya wakuu wa mamlaka. Yani madhara yanapotokea ndo wanakuja mbele ya vyombo vya habari kujinadi kwa vile walivyowawajibisha wakosaji na kutoa ushauri. Hivi hatuna mpango wa kufuatilia vitu/mambo kabla...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Viongozi sasa waanza zoezi la kuwachapa fimbo wapiga Kura kuelekea 2025

    Hili nalo nendeni mkalitizame , mie niko Kwa Biden
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati viongozi wa CHADEMA wakiwashawishi vijana waandamane, watoto wao wamewapeleka Marekani kuponda raha

    Akili mu kichwa, viongozi wa CHADEMA, Sasa ni dhahiri, watoto wao wote wamewapeleka kuishi ughaibuni na kuwachukulia uraia wa huko. Baada ya kuwapa makazi huko, wanarudi Tanzania na kuanza kuhamasisha watoto wetu waandamane ili wapigwe risasi.Tumewalea watoto hawa kwa gharama kubwa, lakini...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: DC Mtanda akanusha madai ya Gambo kusakwa na viongozi wa Serikali ili auawe

    Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo. Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo. "Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
  8. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi huwa wanaangalia TBC 1 kweli?

    Yaani najiuliza na nauliza hivi Rais, Waziri Mkuu, Nape Nnauye, Msigwa Gerson huwa wanaangalia habari na mambo mengine TBC 1 kweli? Au na wao habari wanaangalia kupitia UTV ya Azam? Na mpira pia, hivi Mchengerwa na Nape Nnauye wanaangalia Kombe la Dunia kupitia hii TBC 1 pia? And they are...
  9. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawa wamepiga hela sana 2022

    Kwema ndugu zangu Watanzania? Leo sina mengi zaidi ya kuwapa list yangu hapa ya Viongozi waliopiga hela nyingi kwa mwaka huu. Najua wote hapa mna akili timamu sitawaambia wamepiga vipi hela ila najua kwa kufungua akili zenu mtajiongeza. 1- January Makamba: Waziri wa Nishati baada...
  10. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Utafiti kuhusu migogoro ya viongozi wa halmashauri na mgongano wa madaraka unaosababisha kushuka kwa shughuli za maendeleo

    1.Summary Katika ngazi ya wilaya, kuna viongozi wanne wazito. Mkuu wa wilaya, mkurugenzi na mwenyekiti wa halmashauri na Mbunge. Na mara nyingi Kumekuwa na Mikanganyiko ya kutofautisha nafasi hizi na umuhimu wa kila mmoja katika nafasi yake. Daima swali linakuwa ni nani kati yao mwenye...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM asema watawashughulikia wanaokejeli viongozi wao

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amesema watawashughulikia wanaowabeza viongozi wakuu wa nchi bila kujali nafasi zao walizo katika taifa hilo. Ametoa kauli hiyo katika ofisi za Jumuiya hiyo Gymkhana Mjini Unguja wakati wa mapokezi yake na...
  12. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi wetu wa sasa wana uwezo wa kutuunganisha?

    Tunapokuwa na viongozi imara kama taifa tunakuwa na uwezekano mkubwa wa kuendelea. Moja ya kiashiria cha uongozi bora ni uwezo wa kutuunganisha tunapotofautiana. Je, viongozi wetu wa kitaifa (hasa wanaoshikilia nyadhifa za juu kabisa) wana sifa hii adhimu na muhimu? Tuwe na sherehe njema ya...
  13. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Hii misafara ya viongozi imekuwa kero sasa

    Kuna haja serikali itafute njia mbadala ya kusafirisha viongozi maana ishakuwa adhabu kwa raia wengine hasa kwa Dar. Leo kwa watumiaji wa Pugu Road kuanzia Vingunguti mpaka Airport watakuwa mashuhuda wa hili. Barabara za Vingunguti kwenda kwa Mnyamani na ya Majumba Sita kwenda Kinyerezi zote...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Ayatollah na viongozi wa Iran wapanga kukimbilia Venezuela nchi ikinuka

    Mazungumzo ya siri yanaendelea kwa Venezuela kuwa tayari kupokea viongozi wa Iran kama vurugu zikipitiliza... Wananchi bado wanaendelea kukomaa, yaani kifo cha yule mdada kuuawa kisa sheria za dini kutokuruhusu nywele kuonekana, kitazama na wengi sana. Iranian authorities have reportedly begun...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania PhD za zawadi kwa viongozi wetu wakuu

    Ninaweka mtazamo wenye mjadala ndani yake. Ninawaomba wananzengo msiugeuze mjadala kuwa eneo la dhihaka bali tuliangalie hili jambo kwa macho mawili. Baba wa Taifa pamoja na kuwa busy sana kuliko waliomfuatia aliweza kuandika hotuba zake na hata kuchapisha vitabu vingi kuliko marais wote...
  16. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  18. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

    Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa. Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato. Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Viongozi wetu ni wafupi

    Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu. '...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.' '....ni muda sasa...
  20. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Awamu ya nne viongozi wa CCM wanarudi kazi ya ufisadi iendelee

    Nilikua bado nina shaka kama kweli uongozi wa mama unarudisha wahuni na wapigaji wa awamu ya nne ila matokeo ya chaguzi za CCM zinazoendelea ndio zimenitoa shaka. Kwa mfano uchaguzi wa Karamagi kuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera ndio umenimaliza nguvu. Hakika wahuni wamerudi 2025 sijui...
Back
Top Bottom