Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa.
Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe anamwacha Saido nje ataleta matatizo kwa team. Saido amekubali kucheza dhidi ya Azam na viongozi pia...
Hakika ukimtegemea binadamu akuongoze kwa haki unapoteza mda!
Tishio dogo la kimbunga! Viongozi wengi wamechimba kimya kimya! Wengi wamekinbilia DOM na maeneo mengine!
Tumshukuru sana Mungu kwasababu kaahirisha kimbunga kwa ajili ya wale Raia wema waliobaki wasiokuwa na mbio!
Tumshukuru Mungu...
KUKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA NI JAMBO MHIMU KWA MAENDELEO YA TAIFA
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan aliwahutubia Watanzania kupitia Bunge. Hotuba yake ilichukua dakika 98.
Sikubahatika kuitazama hotuba hiyo mbashara...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kitendo cha kusema Rais wa nchi amelala na mwanamke nje ya ndoa yake pasipo kuwa na "concrete evidence" hayo ni matusi mazito sana kwa yeye mwenyewe, familia yake pamoja na taifa kubwa la Tanzania. Hii ni nini kama sio "Cyberbullying"?
Nimesikitishwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
UPDATES:
Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake.
HOTUBA YA RAIS...
ajira
atcl
bungeni
changamoto
haki
historia
hotuba
hukumu
kikuu
kufanya
madaktari
magufuli
mahaba
maji
mama samia
moyo
nchi
ndege
ngumu
rais
samia
samia suluhu
serikali
somo
viongozi
wabunge
wanawake
wengi
Mbunge pekee CHADEMA wa kuchaguliwa, Aida Khenani(Nkasi Kaskazini) akihojiwa na Clouds Media amefunguka yafuatayo.
Kwa bahati mbaya mama yangu hajui kabisa siasa anapenda sana kusali muda wote, mashangazi zangu ni CCM waliobobea, walikuwa wakinitolea laana, ili kulinda ndoto yangu nilihama...
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi.
Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
Sisi ghorofa zetu tunajenga kwa miliono 120-200 na zinapendeza na kukalika kwa kuji nafasi. Hawa viongozi hizi ghorofa zao huwa wananunulia vifaa wapi au gharama zinatokana na nini?
===
Mamilioni kujenga nyumba za wakuu wa wilaya na mikoa. Milioni 838 kumalizia nyumba ya mkuu wa mkoa Kagera...
Wadau,
Recalling back to Kongamano lililoandaliwa na viongozi wa dini zote (wakristu/wakristo na waislamu), Kongamano ambalo pamoja na mada na jumbe mbali mbali zilizowasilishwa, lakini pia ilikuwa na mada moja kuu ambalo ilikuwa ni Kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha ya Hayati Dr. John Pombe...
Kwa mujibu wa vitabu vitakatifu hili ni jambo zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu wetu. Kwa mfano imeandikwa hivyo katika 1TIMOTHEO 2:1-4
“Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya WAFALME NA WOTE WENYE MAMLAKA...
Kama kuna mdau humu atufikishie hili bungeni.
Bunge lione umuhimu wa kuboresha sheria za uongozi wa Umma.
Ili pamoja na mambo mengine kigezo cha Mali kitumike kwanza kumuweka mtu katika uongozi.
Tuache kabisa hii tabia ya kuwapa uongozi watu maskini kwasababu hawana mbinu ya kutufikisha...
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia wabunge walio wengi wakichangia hoja mbali mbali Bungeni na hata nje ya Bunge huku wakijitanabaisha kuwa wao ni viongozi waliopewa dhamana na kuaminiwa na wananchi. (most recently January Makamba alirudia kama mara 3 akijiita kiongozi yeye na wabunge wenzake)...
Nilisema hapa kitendo cha kumteua Kibajaji kuwa mchangiaji mkuu wa hotuba ya Waziri Mkuu kwa kumpa dakika za upendeleo 15 hakikuwa cha busara.
Matokeo yake Wabunge wote waliofuatia nao wakawa wanapita mlemle ama kuegemea kwa hayati Magufuli au kujipendekeza kwa Rais Samia badala ya kujadili...
"Hawa watu wakifikiria tu vitu vichwani mwao,wanaandika",amesema Mama Samia. Wanamtaka kuwaaminisha mambo mengine ambayo siyo ya kweli.
Wanawalinganisha Magufuli na Samia. Kwa nini? Samia na Magufuli ni kitu kimoja. Ni kitu kimoja? We hope not. Kwa sababu hii ni Awamu mpya na wananchi wanataka...
Viongozi wa dini yaani wakristo na Waislam wakiwemo Mapadri, Mashekh, Wachungaji, Maaskofu wanamuenzi, wanamsifu na kumtukuza Magufuli. Lakini CHADEMA na uongozi wote wa mnanga, wanamponda, wanamtusi na kumkashifu Magufuli.
Kwania njema kama kuna wadadavuaji wa mambo ya imani, ni kundi lipi...
Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote.
Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini.
Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa.
Updates:
Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
Hii dhana kuwa Jeshi linapokuwa na utii ni matokeo ya viongozi wa juu wa Jeshi huwa inanifanya nijiulize kama huo ndio ukweli, mtu kama Samweli Doe aliwezaje kuongoza mapinduzi ya kijeshi akiwa na cheo Sergeant?
Hata Idd Amini si alikuwa na cheo kidogo tu jeshini alipopindua serikali?
Labda...
1. Dr. Nyambura Moremi
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.