viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Kodi nyingi na tozo nyingi kwa wananchi bila adhabu kubwa kwa viongozi wala kodi na tozo ni bure kabisa

    Wenzetu wanatoza kodi na tozo kwenye kila kitu, lakini wanamnyonga kila mla kodi na tozo hizo za wananchi. Lakini hapa kwetu sio hivyo, wala rushwa, kodi na tozo wanafahamika lakini hakuna lolote.
  2. Vituka

    Je, ni Sahihi kwa Serikali kuchukua mashamba ya wananchi na kuwagawia Viongozi?

    Naomba kujua kwa wenye ufahamu wa masuala ya ardhi maana jambo hili kwa akili ya kawaida tu naona haliko sawa. Nafahamu kuwa serikali inaweza kuchukua maeneo ya wananchi kwa manufaa ya jamii nzima (for public interest) na sio kwa ajili ya kuwagawia viongozi. Naomba kupata msaada wa mawazo...
  3. Samia atosha tukutane2030

    Watanzania amkeni, viongozi hawana huruma na wananchi

    Habari! Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi. Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano mmoja tu ili mjue kuwa serikali hii haina huruma na mwananchi. Mwaka huu serikali ilikuwa na zoezi...
  4. Lusungo

    Viongozi wakuu wanapolalamika, wanyakwa wa vijiweni wafanye nini?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana. Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi wa kawaida wafanye nini? Wapeleke wapi kero na malalamiko yao? Kama Rais anaweza kuuona ufisadi wa...
  5. BARD AI

    Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  6. B

    Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi

    Imekuwa kawaida kusikia watanzania wakiwaita watanzania wenzao kuwa ni waoga (cowards). Maajabu ya Mussa. Kwani hao wanaowaita wenzao kuwa cowards utaifa wao si ni huu huu au wao ni walamba asali? Uhalisia wa mambo ni kuwa wanaowaita hivyo wenzao, nia yao ni kutokuwepo mstari wa mbele...
  7. Lanlady

    Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  8. P

    Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  9. The Burning Spear

    Mimi nimeangalia hii clip nasikitika Sana. Tanzania tuna Safari ndefu

    Mimi nimeangalia hii clip nasikitika sana. Tanzania tuna Safari ndefu. 1. Kuna uwezekano hata Samia hapaswi kuwwepo alipo sasa hivi 2. Ni ushaidi tosha kabisa hizi tozo ni matokeo ya wajinga wachache. 3. Amin usiamini huyu anawakilisha akili 90% za wabunge na viongozi wote 4. Tuendeeni...
  10. Lanlady

    Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  11. tutafikatu

    Kama leo ilikuwa sensa ya viongozi, kulikuwa na umuhimu gani wa kutokwenda kazini?

    Watu wako frustrated majumbani. Hawakupewa elimu jinsi mambo yatakavyokwenda. Mtaani kwetu hadi alasiri leo hakuna karani hata mmoja kapita, lakini nikiingia Twitter na Instagram naona makarani wamepiga picha na Rais, Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wa taasisi za serikali. Leo...
  12. B

    Magumu yetu Viongozi wa Upinzani mkwepe lawama vipi?

    Tufike mahali tutoleane uvivu wenyewe kwa wenyewe. Tufike mahali panya wamfunge paka kengele. "Enyi viongozi wetu madarakani, mliochagua kukaa kimya na kututelekeza kondoo wenu, tokeni madarakani washike wenye kudhamiria." Ikumbukwe wavumao baharini papa lakini na wengine wapo. Imekuwa...
  13. JF Member

    Hii nchi inateketea, Viongozi wa dini saidieni

    Hii nchi iko kwenye mkwamo unaohitaji nguvu ya Mungu kabla mambo hayajafika pabaya. Bahati Mbaya viongozi wa dini hawafanyi tena makongamano ya kumtukuza Mungu. Kwa sasa ajari ni nyingi mno, kila siku kuna majanga ya kila aina, watu kuuwawa, watu kujiua, ajari za magari, milipuko ya matanker...
  14. badison

    Viongozi wenye tamaa wanavuna na kuiba Pesa nyingi ili waweze kununua Urais 2025

    Sijawahi kuona utawala wa watu wenye tamaa ya fedha kama huu wa awamu ya sita Yani Bora hata na ile awamu ya 4. Namba sita ni namba mbaya sana kiutawala ni namba isiyo na faida yoyote. Viongozi hawa wenye tamaa wanavuna pesa ili waweze kununua Urais mwaka 2025. Takukuru, jeshi la polisi, na...
  15. Stroke

    Viongozi wetu nao wanahitaji viongozi wa kuwaongoza??

    Wakuu. Ukiangalia namna mambo yanavyokwenda kwenye Jamhuri yetu hii pendwa utaona wazi kabisa kuwa kuna ombwe la uongozi. Inaction is everywhere. Inatokea issue critical ambayo inahitaji maamuzi ya haraka , kila mtu anabakia kumtegea mwenzake. Kiongozi badala ya kutake action naye anabakia...
  16. TODAYS

    Kenya2022 NAIROBI: Viongozi wa Dini wamuangukia Raila kabla hajalianzisha!

    Viongozi wa dini wamekutana na ndg Raila Odinga ili kujadiliana kwa suala la amani, katika kikao hicho ajenda kubwa ilikuwa suala la AMANI kuliko HAKI. Baadhi ya wanachama wa Azimio wamesema kuwa, wao hawapingani na Amani bali wanapinga Dhuruma, pia wameendelea kusema hawataki Amani ya...
  17. R

    Kodi na Tozo nyingi kwa Nchi kama Tanzania ni kipimo tosha kuwa viongozi waliopo hawatufai

    Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo serikali ingetumia kuingizia Mapato? Ni kwamba viongozi tulionao uwezo wao umeishia kwenye Tozo? Kwa...
  18. JanguKamaJangu

    CCM yawaonya viongozi wanaodhalilisha Wanawake

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekemea tabia ya udhalilishaji inayodaiwa kufanywa na baadhi ya watumishi waliopewa dhamana katika halmashauri mbalimbali ikiwemo ya Sikonge mkoani Tabora. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho Shaka Hamdu Shaka, wilayani Sikonge mkoani...
  19. B

    Enyi Viongozi: Kwa kutushurutisha mnatukosea sana, waajiri wenu ni sisi

    Haisaidii kuacha kuwaambia bayana. Kwa Hakika mmejisahau mno. Kwamba mna agenda zisizokuwa na baraka zetu? Kwamba hata mna tozo mlizo asisi nyie, tusizoziafiki? Kwingine mbona si hivyo? Nyie hata mnatuasa kwamba kama vipi hata Burundi nayo ni nchi? Alisema Mwalimu: "Nchi siyo mashamba...
  20. L

    Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi kwa kuzaliwa

    Ndugu zangu Nazani mmewahi kusikia Kuna swali linaulizwa iwapo kiongozi Bora anazaliwa au anatengenezwa, Ndugu zangu ukimfuatilia mh Rais mama Samia suluhu Hassani Tangia wakati ule wa bunge maalumu la katiba namna alivyookuwa anasimamia bunge lile lililokuwa limesheheni vichwa vya kila aina...
Back
Top Bottom