viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Viongozi mmeshachuma vya kutosha achieni ofisi, vijana mkajifunze kwa Ally Hapi

    Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini. Sasa kama viongozi wetu mna mitaji na mnashindwa kujiajiri ili msimamie miradi yenu hivi Watanzania...
  2. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiroho lipeni kodi kwa wakati ili kuepuka fedheha katika jamii

    Hapa nina wazungumzia Wachungaji, Masheikh, Mapadre na wote ambao ni viongozi wa kiroho, heshima yenu ni kubwa mno katika jamii na mnategemewa kuwa mfano mbora katika jamii yetu. Siyo wote ambao mna nyumba zenu binafsi, hivyo kuwalazimu kupanga na kujistiri katika nyumba hizi na kufanya makazi...
  3. Danos

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini tuwaambie ukweli watawala

    Naomba kuwasilisha maoni yangu kwa viongozi wetu wapendwa katika imani mbalimbali za kidini. Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitumia upande mmoja tu wa Neno la Mungu kuelezea kuhusu umuhimu wa kuheshimu mamlaka zilizopo kwa kuwa zimetoka kwa Mungu na zimeruhusiwa na yeye kuwepo...
  4. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba acheni kuwadharau mashabiki wa mikoani

    Nimetafakari kwa uwezo wangu na kutazama kinachoendelea kwa timu yetu ya Simba katika michezo yake mikoani na nimejiridhisha bila shaka kuwa dharau za viongozi wetu zinatugharimu. Kila sehemu ina mila na tamaduni zake. Ni kwa kuwashirikisha na kuwathamini tu wenyeji wa eneo husika ndiko huleta...
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni kitu cha ovyo sana. Inasababisha kuwa na viongozi wenye maneno mengi, matapeli na waongo kupindukia

    Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa ubaya wa huu mfumo. Leo nchi yetu imejaa wapiga maneno, matapeli na waongo-waongo. Mtu anaweza...
  6. Tango73

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF lini mtaipeleka taifa stars fainali za world cup?

    Nashangaa kuona TFF haina wivu wa maendeleo, Kama nchi masikini kama senegal, togo na Cameroon zinaweza kwenda world cup finals vipi Taifa stars ishindwe?hii inaonesha kwa jinsi gani viongozi wa TFF hawsivyo na mikakati ya maendeleo vichwani waingiapo madarakani. Iweje walipwe mishahala minono...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali iitupie jicho kali MVIWATA na viongozi wake, tayari wamejibainisha kuwa na ajenda ya chinichini ya kisiasa

    Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano. Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Butiku: Viongozi watambue wanaongoza watu siyo kuku au mbuzi

    Akizungumzia haki na uhuru wa watu kuzungumza, Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema viongozi wanatakiwa kuthamini utu wa watu, hivyo wana haki ya kulinda uhuru na haki ya kila mtu. “Kwangu mimi viongozi anatakiwa kutamba kuwa anaongoza watu na siyo Mbuzi, Ng’ombe au...
  10. mngony

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru anatoa wapi ujasiri wa kutishia 'usalama' wa viongozi wa juu? Huu ni uhaini sio ukosoaji. Je, ana mahusiano na mataifa ya nje?

    Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni. Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anayetetewa na viongozi wenzake badala ya wanachi, upo mkwamo pahala

    Ukiona hivyo, ujue hao viongozi wanaomtetea hawampendi kiongozi wao. Ni kweli kabisa maisha yamebadilika mno, natamani kiongozi wetu siku moja aache tu maisha yake hayo yasiyozijua dhiki na tabu, ajichanganye mtaani ashuhudie maisha ya wananchi kwa sasa, atatoa machozi bila kupigwa. CCM, jambo...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wahudumieni wananchi msipiganie madaraka tu

    Mijadala mingi katika mitandao yetu ya kijamii inajikita katika kulinda madaraka ya baadhi ya watu. Mwananchi wa kawaida anakosa majibu ya maswali anayokutana nayo kila siku. Huyu ana mfukuza yule na yule ana msema yule katika tu kulinda madaraka au kuyapigania. Maswala kama maji, umeme...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe ndio maana viongozi wanashindwa kujiuzulu!

    Kwanini mnafanya jambo la nchi kama personal ama family issues? Unapofail katika jukumu la kitaifa, ukionekana hutoshi mahala kama unajua hilo ni jambo la kitaifa na sio personal basi ni rahisi ukajiuzulu na kuwapa wenzio nafasi wafanye na wao. Hii mentality ya kujibinafaiahia nchi mpaka...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Wa Viongozi Wa CCM Wateka Anga la Siasa za Tanzania, CHADEMA yashikwa Mateka

    Ndugu zangu CCM imeonesha umwamba wake wa siasa za hapa Tanzania,imeonesha kuwa ndio chama kikubwa na chenye ushawishi hapa Tanzania, imeonesha namna CCM ilivyo na nguvu hapa nchini, Imeonesha misuli yake ya kisiasa, imeonesha namna kinavyokubalika na kupendwa na watanzania,imeonesha namna...
  15. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mkoa wa Pwani unaongoza kwa kutoa viongozi wa kitaifa?

    Kwema ndugu zangu. I hope kila mtu ni mzima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mkoa wa Pwani pamoja na kwamba wenyeji wa mkoa huo wengi hawana elimu ya kutosha, lakini ndio unaoongoza kwa kutupa watanzania viongozi wakuu wa kitaifa haswa kwa upande wa ukuu wa nchi. Toka Tanzania...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni vigumu kuwapata watu aina ya Edwin Mtei ndani ya CCM, wenye uwezo wa kuwashauri kwa kuwasahihisha Viongozi wa Juu

    Fikiria Edwin Mtei anamwambia Mwalimu Nyerere "Mkuu Hapa hauko sahihi unapaswa kufanya hivi" Hapo ni Gavana na Rais wanawasiliana. Ujasiri huo haupo tena ndani ya Chama Dume tena awamu ya 5 ndio Ilikuwa kasheshe. Alhamis Ubarikiwe Sana!
  17. May Day

    JamiiForums Tanzania Hili la Muharami Viongozi waSimba mpo sahihi

    Naona baadhi ya Watu ni kama wanalazimishwa kusikiliza au kuimbishwa mapambio yanayohanikiza kwamba Simba haikufanya sahihi kujiweka mbali na hili suala lililomkuta Bw Muharami. Na hata ukiwauliza ni kwa upande upi haswa wao wanaona Simba imekosea hawana hoja ya msingi zaidi ya kung'ang'ania tu...
  18. instagram

    JamiiForums Tanzania Tanzania iwekeze pesa nyingi kwenye waokoaji kuliko magari ya viongozi

    Afrika ili tuonekane tuna akili inabidi ifike wakati tuweke pesa kwenye "emergency responders" zaidi kuliko kuwekeza mabilioni kununua magari ya kukaa viongozi moja moja badala yake tuwekeze kwenye kuokoa raia kwenye majanga. Ajali ya precision imetuonyesha kuwa kama nchi tuko nyuma sana kwenye...
  19. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dunia wanataka kumyang'anya nguvu ya utawala mwanaume na kumpa mwanamke?

    Sorry my fellow ladies, najua mtaona like I'm snitching you. Mungu alipo iumba dunia hii alimuumba mwanaume awe mtawala na sisi tuwe wasaidizi. Mwanaume alifanya kazi za uwindaji, kufukuzana na wanyama huko maporini kisha wakatuletea chakula tupike. Kazi ya baba nyingine ilikuwa ni ulinzi wa...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Enyi viongozi wa CCM acheni kumsingizia Mungu kwa matatizo yenu

    Mimi kama mkristu kamili. Amri ya pili inasema "usilitaje bure jina la mungu wako". Viongozi wa dini mko wapi kukemea jambo hili ovu. Nimesikia mara ya tatú mhimili wa serikali inamsingizia Mungu. 1. Mgao wa umeme last year makala alisema serikali haina namna tumwombe Mungu mvua inyeshe. 2...
Back
Top Bottom