viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  2. F

    Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  3. Analogia Malenga

    Rais Samia: Viongozi mnaona ubovu kwenye miradi ila mnasubiri Mbio za Mwenge

    Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi. Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi...
  4. peno hasegawa

    Kinana awataka viongozi kuwa wanyenyekevu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka viongozi kuepuka utukufu, badala yake wajikite katika utumishi akisema masuala ya itifaki yanawaweka mbali na wananchi. Amesema si vema viongozi kubanwa na itifaki na kujali utukufu heshima na hadhi ya husika kuliko mchango wake kwa...
  5. May Day

    Chonde chonde Viongozi Simba msimtwishe Mgunda zigo zito, mtamuumiza

    Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu. Na Viongozi wa Simba ni kama vile wamekaa wakisubiri kama vile wanasikilizia. Nadhani hili litawagharimu Simba, huu mchezo wa...
  6. L

    Rais Samia ameongea ukweli na kushauri vyema kuhusu viongozi kutambua mipaka yao kiuongozi

    Ndugu zangu Jana October 3/2022 mh Rais Samia alikuwa anawaapisha viongozi aliowateua katika mabadiliko madogo aliyoyafanya katika Balaza la mawaziri, Ambayo siku zote hulenga katika kuboresha utendaji na kuleta ufanisi kazini utakaokuwa na tija katika kuwatumikia na kuwahudumia wananchi. Pili...
  7. BigTall

    Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii. Chanzo: ITV ***** Nimesoma hiyo...
  8. N

    Kama Okwa anaondoka dirisha dogo, viongozi wa Simba fanyeni hivi kitu kiive vizuri

    kama kweli Nelson Okwa anaondoka dirisha dogo (sitajali kwa kweli, Dilunga anakiwasha zaidi yake), hakikisheni nyie viongozi pia mnatoa huyo Akpan kwa mkopo, arudi huko Coastal Union. Hizo nafasi tatu za wazi(Mzungu, Okwa, Akpan) lete Manzoki, lete namba 6 la uhakika kama Semanga Soze, lete...
  9. mngony

    Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
  10. Pfizer

    Shaka: CCM itawajengea uwezo kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi, viongozi wapya waliochaguliwa katika ngazi zote kichama

    Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
  11. D

    Land cruiser VX V8 ni ndege ya chini aisee! Ndiyo maana viongozi hawataki kuyaachia

    Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi ndiyo maana ilibatizwa Ushangingi maana ni kweli VXV8 ni shangingi la njia siyo uwongo! Na ukitaka...
  12. The Burning Spear

    Ukiachana na Tanzania, kuna nchi nyingine duniani ina viongozi kama wakuu wa mikoa

    Wajuzi wa mambo naomba uzoefu. Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania. Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu. Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua? kwetu?
  13. Idugunde

    Inashangaza sana, viongozi kuacha Tril. 360 za makinikia na kukomaa na tozo za line za simu kwa wananchi

    Hivi tunakwenda wapi jamani? Kwa nini msikomae na hawa wawekezaji wakubwa ili tupate matrlioni kuliko kukomaa na vijisenti vyetu?
  14. L

    Viongozi Kama Rais Samia Wenye Mioyo ya uvumilivu Hawazaliwi kila Siku Na hawapatikani kila nchi, Watanzania Tuna kila Sababu ya kushukuru kumpata

    Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa tu Anayo Amri ya kuamrisha lolote kufanyika, lakini pia Kama mtu alizaliwa na moyo wa upendo na...
  15. DodomaTZ

    Hii tabia ya viongozi kujifanya special kwenye matukio ya kijamii inanikwaza sana

    Kuna kitu nimekuwa nikikitafakari kwa muda mrefu, nikahisi yawezekana ni mimi tu fikra zangu ndiyo mbovu au za kizamani, lakini baada ya kumsikia Jaji Warioba akizungumzia suala hilo, nami nimepata nguvu kuamini kuwa ninachowaza kuwa ni tatizo basi inawezekana ni tatizo kweli Zamani nakumbuka...
  16. Nyankurungu2020

    Taifa la Tanzania limekosa viongozi kama hayati Julius Nyerere na hayati John P Magufuli. Wananchi wanyonge watakandamizwa mpaka wakione cha moto

    Hivi mbona ni aibu kubwa sana kwa taifa kubwa lenye rasimali nyingi na utajili wa maliasili kama Tanzania kufikiria juu ya kukamua tozo toka kwa wananchi wanyonge badala ya kufikiria kutumia rasimali kama madini, uvuvi na kilimo kupata mapatoa ya kuendesha nchi. Hayati Mwalimu na hayati Julius...
  17. Execute

    Viongozi wa kike nao huandaliwa dogodogo pale wanaposafiri nchi nyingine?

    Kuna nchi huwa viongozi wa kiume wanaandaliwa binti mmoja wa kumpa kampani awapo ugenini. Sasa nauliza huu utaratibu upo pia kwa jinsia ya kike?
  18. kavulata

    Mazishi ya Queen yamewageuza viongozi wetu Afrika kuwa watoto wa shule

    Hadhi waliopewa viongozi wetu wa Afrika kwenye mazishi ya Queen sikuyapenda hata mimi, kama watoto wa shule vilee!! wamefuata nini cha mno? ona usafiri walipewa tofauti kabisa na wengine. Nani katuroga? njaa au nini? usipokwenda watakufanya nini?
  19. El Roi

    Afrika utamaduni wa kutukuza viongozi unatudumaza

    Wiki hii kwangu imenipa kufikiri sana. Mitandao ya kijamii na habari iliyozagaa sana huko, ilikuwa kuhusu usafiri wa mabasi ambao viongozi, wakuu wa nchi waliotumia kwenye mazishi ya malkia wa uingereza. Ukiacha masuala ya kiufundi kama ya kiprotokali na ulinzi (ambayo nina hakika hao...
  20. Roving Journalist

    Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
Back
Top Bottom