Je, lile Tamko la Wazee na Viongozi wa Matawi wa Yanga SC kutotumia bidhaa zozote zile za Azam Company linatekelezwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,851
109,552
Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma au Lutindi Mkoani Tanga au hata pale Jirani na Klabu yao Muhimbili National Hospital au pengine ni Wazima tu na walikuwa na Hoja ya Msingi.
 
Yanga wanasajili watu nyie mnaleta futuhi alafu baadae mnalalamika Bahasha.
 
Binafsi, lile tamko naliona lilikuwa la kijinga sana..!!!
 
Litakelezwa vipi ikiwa bidhaa hizo za Azam ndio muokozi wa vijana.
 
Tafadhali mwenye ile Video ya Yule Kiongozi wa Matawi Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam na Yule Kiongozi wa Wazee wa Yanga SC aniwekee hapa ili niwatizame vizuri kwa Jicho langu Kali la Kisaikolojia ili nijue kama wanastahili kuwahi Matibabu yao ya haraka Hospitali za 'Vichaa' Milembe Mkoani Dodoma au Lutindi Mkoani Tanga au hata pale Jirani na Klabu yao Muhimbili National Hospital au pengine ni Wazima tu na walikuwa na Hoja ya Msingi.
hilo sio msimamo wa yanga
 
Yanga inamsemaji na vyanzo vyake sahihi vyakutoa habari... Hao ni wahuni Kama ulivyo wewe hawawezi kutoa kauli inayohusu club.
 
Yanga wanasajili watu nyie mnaleta futuhi alafu baadae mnalalamika Bahasha.
Vipi wananchi wanaendelea kutoa taarifa za namna AZAM wanavyokwepa kodi kwa TRA? Ile comment yako ilinifurahisha sana
 
Back
Top Bottom