viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuturisha Viongozi na Makundi mbalimbali leo Aprili 15, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ukumbi wa Kikwete kwa ajili ya Kufutarisha Viongozi pamoja na Makundi mbalimbali, Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu hamtembei kuona majiji ya wenzetu yalivyoendelea kwa upande wa barabara?

    Mm inaniumiza sana jiji kama la Dar es salaam Tanroads bado ina barabara za tope. Tunapoteza hela nyingi kuchonga na hata uchumi mwingi wa wananchi unapotelea kwenye barabara mbovu. Nimejiuliza swali, hivi viongozi wetu hawatembei kuona majiji ya wenzetu yalivyosheheni barabara nzuri?? Huwezi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hivi! Viongozi wetu huwa hawatamani watanzania wafe ili wawepo wao tu?

    Hisia zangu kwa sasa ni kwamba! Tumekuwa nchi yenye viongozi wanaotamani waishi kama maisha ya kama wako peponi na kuwadharau kabisa wanaowafanya wafikie hatua ya kuishi hivyo, watu has ni, walipa kodi na masikini kabisa ambao wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu! Watu hawa wanyonge na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Viongozi Waandamizi wote Serikalini igeni mfano Bora wa Waziri Dkt. Gwajima kuwa na Verified Account JamiiForums

    Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums. Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi msipoikemea au kuishauri Zanzibar itamomonyoka na kujitangazia Uhuru wake

    Nadhani kuna ukimya umetawala Kwa Sababu Tu wanaoongoza nchi wote wanatoka sehemu moja. Nafurahi kuona upo ufanisi na mabadiliko makubwa yaliyofanywa na Marais wawili waliopo. Changamoto ninayoiona Kwa sasa Zanzibar inajiendesha kama nchi inayojitegemea ; NI Jambo zuri ila liwekwe kwenye...
  6. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Kuchagua viongozi wasio na elimu ndicho chanzo cha umasikini Tanzania

    Wabunge Madiwani Wenyeviti serikali za mitaa Hawa ndio watu ambao wanasababisha nchi yetu iende hovyo hovyo. Wabunge ambao hawajasoma hawana tija wala msaada kwa taifa na sababu ni kuwa hawaelewi miswada inayopelekwa bungeni, hivyo wao hukubaliana na kila kitu wanachoambiwa. Madiwani kwenye...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji kuhusu misafara ya viongozi

    Mbunge wa Viti Maalum, Kunti Majala ameshauri mamlaka zinazosimamia misafara ya viongozi, kuwasiliana ili kupunguza muda wa watu kusimama njiani wakati wakiwasubiri wapite. Mbunge huyo ameyasema leo Aprili 12,2023 wakati akichangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya mapato...
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuna watakatifuza (kuwapa utakatifu) viongozi waovu?

    Amani iwe nanyi Maandiko matakatifu yanasema, tutahukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu. Kwani ata mambo tuyafanyayo sirini, mwenye-enzi Mungu ambaye ndiye hakimu wa haki anayaona. Kwa muktadha huo basi, sisi wanadamu tunapata wapi mamlaka ya kuwatakatifuza viongozi wetu? Nina pata ukakasi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ziara za viongozi wa nchi kubwa za magharibi zaonesha umuhimu wa China katika jukwaa la kimataifa

    Katika siku za hivi karibuni viongozi wa nchi za magharibi wamekuwa wakifanya ziara kadhaa nchini China, wakitafuta njia mbalimbali za kuhimiza ushirikiano kati ya nchi zao na China. Mwishoni mwa mwaka 2022 Chansela wa Ujerumani Olaf Scholz aliongoza ujumbe mkubwa kwenye ziara yake ya kwanza...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuhusu plea-bargaining inaonesha kuwa Tanzania hatuna Viongozi wanaojitambua

    Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya (Dpp) na kuachiwa huru hii huku victim muhathirika wa kuibiwa pesa zake na Mali anatoka 0-0 Hivi kwa...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Pongezi viongozi wa dini kwa kukemea ushoga, Ndoa za jinsia moja

    Nilipohudhuria ibada kuanzia Alhamisi Kuu, Ijumaa Kuu mpaka Jumapili ya Pasaka nimeona jinsi viongozi wetu wa dini walivyojipanga katika kukemea maovu haya. Siku ya Ijumaa kuu, Askofu alitumia muda mwingi kukemea tabia za ushoga na ndoa za jinsia moja (sikuelewa kwanini alitilia mkazo sana), Pia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nitajie viongozi wawili tu shupavu kutoka Pwani nami nikutajie viongozi 10 shupavu na wenye uwezo mkubwa kutoka mikoa ya bala

    Mara ya kwanza kabisa kufika mikoa ya Pwani, kuna baadhi ya mambo yalinishangaza Nalijifunza kwamba, Mungu alituumba kwa namna ya kutofautiana sana, kutoka watu hadi wanyama na hata ndege! Watu wa Bara ni majitu makubwa makubwa na majasiri yasiyotishwa tishwa kirahisi eti yaogope kirahisi...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, uwezo na sifa za viongozi na watendaji wanaoteuliwa unaweza kupimwa na report ya CAG?

    Hilo ni swali: Naomba kila mmoja atoe jibu na mawazo yake:
  14. Simchezo

    JamiiForums Tanzania ATCL iendeshwe na viongozi wazungu...

    Sioni dalili yoyote ya ATCL kujiendesha kwa kwa faida na kushindana na makampuni mengine ukiwa itaendeshwa na Watz, Asilinia kubwa ya Waafrika hasa Wabongo wana weakness ya asili hata aende shule vipi! ndio maana shirika ili linaleta hasara kila mwaka. Napendekeza lifanyiwe overhaul na uongozi...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Viongozi wa Serikali na Jeshi wanahusika na Mauaji, Ubakaji

    Ripoti ya Wataalamu wa Haki za Binadamu kutoka Umoja wa Mataifa (UN) imebaini baadhi ya Maafisa wa Serikali ya Sudan Kusini wamekuwa wakifanya Unyanyasaji Mkubwa dhidi ya Raia ikiwemo Kushambulia, Kujeruhi, Kuua na Ubakaji. Pia, Ripoti imesema Serikali haijaonesha kuweka uzito katika kudhibiti...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia IGP Harun Mahundi aondoke Polisi imekuwa mafia

    Mimi ni mtoto wa Polisi na mzee wangu alikuwa mkubwa sana kwa miaka mingi kwenye jeshi hili. Kuanzia IGP harun mahundi aondoke 1996 Polisi imegeuzwa genge la wahuni na mafia. IGP Mahita ndiye aliye anzisha genge la umafia Polisi na viongozi wa serikali wamekuwa wakifumbia macho makusudi...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DPP afuta kesi za Viongozi 6 wa Upinzani na kuahidi kuwaachia waandamanaji zaidi 200

    Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) wa Kenya, Noordin Haji amefikia uamuzi wa kuondoa kesi hizo katika Mahakama ya Sheria pamoja na kuahidi kufuta zaidi ya kesi 200 dhidi ya Wafuasi wa Azimio nchini kote. Waliofutiwa kesi ni Mbunge wa Ugunja, James Opiyo Wandayi, Seneta wa Kilifi, Stewart...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga huwa wanakabidhi akili zao kwa nani?!

    Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi iliyopo ya viongozi kwenda Kwa wataalam huko Tanga mamlaka za uteuzi zisilalamikiwe bali tuziombee

    Ukikaa vijiwe vya Kahawa Tanga hasa kwamsisi, Handeni na Pangani ukasikiliza Stori za wananchi utatambua umuhimu wa kuziweka mamlaka za uteuzi mikononi mwa Mungu. Watu wanaratiba kabisa yakwenda kuongeza nguvu za kimamlaka wengine wanatumia magari binafsi huku wachache wakitumia magari ya umma...
  20. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Hivi hili bomu kweli viongozi hawalioni? Unemployment rate imekuwa kubwa mno

    Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja? Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya...
Back
Top Bottom