Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge.
Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
Hawa watu tukiwa nao huku Africa wanajidai kuishi kama miungu watu.
Kumbe huko ulaya na usa hawana muda nao
---
President William Ruto has complained over hospitality to African leaders in global summits
Ruto said African leaders are in some instances mistreated when they travel abroad to...
Kanisa la TAG wakitafuta kupendwa na Magufuli enzi hizo. Ujinga mtupu , eti nao ni Maaskofu.
Leo Malasusa na Pengo eti shatani Musiba asamehewe! Rubbish!
Kwa Sasa Dunia yetu inapitia mengi sana sana ...tuanze na la ushoga na usagaji....Kisha vita ya wenyewe kwa wenyewe ....tatu ugaidi ukiongozwa na makundi mbalimbali ya wanamgambo...ukame ukosefu wa chakura duniani ..matukio ya makanisa kugeuzwa vituo vya mauaji na upotofu mkubwa wa Imani kiasi...
Tulitegemea viongozi wa Dini wakemee mauaji huko Kenya, lakini wamekaa kimya means wanaona ni sawa alichofanya mwenzao? Soon wachungaji wa Tanzania nao wataleta crisis kama ya Kenya kutokana na kukosekana Kwa udhibiti wa mahubiri.
Hiki alichofanya mchungaji Kenya, alikifanya kibwetere Uganda...
Habari ndugu zangu.
Nawasalimu kwa upendo wa dhati toka ndani ya moyo wangu.
Nawapenda sana.
Aidha baada ya salamu hizo, naomba niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Ni ukweli mchungu kwamba viongozi wetu hawana huruma na sisi.
Hili linajidhihirisha katika mambo mengi.
Yafuatayo ni baadhi ya...
Kuna Viongozi wa Simba wanamsumbua Simon Msuva, huku muda mwingi wa mapumziko anapotoka mazoezi wakimpigia simu na kumdadisi awaambie baadhi ya mambo yanayowahusu wydad, tukumbuke kuwa Msuva alicheza wydad kwa kipindi kirefu na anawajua nje ndani, pia anajua mbinu zao chafu na safi ndani na nje...
Hivi huwa wanapimwa akili kweli? Hivi kuna mtu na akili timamu anaweza pita juu ya watu namna hii? Hii si ni busara ndogo kuelewa kuwa si sawa haijalishi wananchi wanasemaje.
Huwa nawaza sana hii nchi haiwezi endelea kwa aina hii ya watu ambao ni very.....Sijui. Ila inasikitisha sana.
Naomba niseme kwa ufupi sana, Mwera Bernard Membe ana hasira na chuki ya wazi kwa mtukanaji Ciprian Musiba. Hali hii Sasa ni Tete.
Yono anatangaza mnada wa mali za Musiba Ijumaa na wanunuzi wameshajaa ofisini kwa Yono na miongoni mwao ni waliotukanwa na Musiba. Membe amekataa ushauri wa kila...
Katika masomo yake ya tabia za kitamaduni, Dk Stein amegundua kwamba viongozi ni watu wenye mvuto ambao mara nyingi hutokana na uzoefu kama huo ambapo walijifunza jinsi ya kutumia mbinu za ushawishi kukusanya wafuasi.
"Wanajifunza hila na kuendelea wakati wanapofikiri wanaweza kufanya mambo...
Viongozi na Mameneja wa Wakala wa Barabara Tanzania TANROADS Wamepatiwa mafunzo ili kuwaongezea uwezo, kuwawezesha kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kutimiza malengo ya Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Akifungua Mafunzo hayo ya siku tano...
Habari wanajamii bila shaka mko vizuri, japo kuna changamoto za hapa na pale kama report ya CAG na mengineyo. Ila leo nakuja kwa kuwashauri na kuwahimiza kufanya mabadiliko na siyo kuwa na mazoea.
Nikianza na viongozi wa idara ya Maji Mwanza (MWAUWASA), jamani mjifunzeni kwa wenzenu wa...
Dear Viongozi,
Ukuaji wa GDP (Gross Domestic Product) haupaswi kutegemea michezo ya kamari au betting. GDP ni kipimo cha thamani ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa katika nchi ndani ya kipindi fulani cha wakati, na inaweza kuongezeka kupitia ukuaji wa shughuli za kiuchumi kama vile...
Mtendaji Mkuu wa TANROADS, Mhandisi Rogatus Mativila
Viongozi mbalimbali wametembelea mradi wa ujenzi wa Daraja la Kigongo Busisi ambalo pia linajulikana kama Daraja la JP Magufuli, leo Jumapili Aprili 23, 2023.
Daraja hilo linapatikana Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza, bado lipo kwenye hatua...
Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo.
Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango. Viongozi wa kweli wanafanya kazi kwa bidii ili kuhakikisha mipango yao inafanikiwa na wanajitahidi...
Baada ya kusoma chapisho hili... Na lile la Abbas Tarimba kutaka ongezeko bei ya mafuta,
Naomba niseme mapema... Kama nchi Bado tuna safari ndefu sana!
Haya ni matokeo tu!
Tatizo kubwa lipo na linaanzia kwa wananchi hadi kwenye mifumo ya uchaguzi!
Uchaguzi wa ovyo ovyo tunaishia kupata viongozi...
Kuratibu na kulinda misafara ya viongozi si jambo jepesi kama watu wengi wanavyodhani. Kuwa na mazingira wezeshi ya kulinda misafara hiyo pia si jambo la Polimi lai!!
Naona watu wengi pamoja na wanasiasa wenyewe wanachanganya kati ya kuwa na misafara mirefu na muda unaotumika kupitisha...
MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI.
Na Miko Luoga Tanga
Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.