viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Pwani: Viongozi 24 wasakwa kwa kuuza Shamba la Wizara ya Mifugo na Uvuvi

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge ametoa siku 14 wasakwe na kukamatwa viongozi 24 wanaotuhumiwa kujihusisha kuwatapeli watu na kuwauzia eneo la shamba la mitamba mali ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Viongozi wanaotafutwa ni pamoja na mabalozi, wenyeviti wa mitaa, watendaji walioshirikiana...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wajifunze dhima za mikutano

    Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule au tuseme sherehe ile ilikuwa kumuenzi baba wa taifa, ila Viongozi wetu walikuwa tofauti na dhima...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Saudia na Iran wajadili vita na kusema wako pamoja na Palestina

    Mwana mfalame wa Saudia Mohammed Salman na raisi wa Iran Brahimi RAaisi wamezungumza kwa simu kwa mara ya mwanzo hapo juzi na kukubaiana kuiunga mkono Palestina katika madai yao. Mohammad Jamshidi amabaye ni naibu wa masuala ya mambo ya nje aliandika kwenye akaunti yake ya X kuwa mazungumzo...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa kitanzania wanahimiza maadili ya kitanzania. Je wao wanayaishi maadili hayo ya kitanzania?

    Imefikia wakati viongozi wetu wawe wakweli tu.Wanasisitiza maadili ya kitanzania wakati wao hawaishi katika maadili ya kitanzania. Je viongozi wetu mnaishi kwa maadili hayo mnayoyaita ya kitanzania ambayo mnasisitiza vijana wetu wayafuate. Viongozi ni binadamu kama sisi na tuko nao kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania Kiufundi nakataa huu Upuuzi unaotaka kufanywa na benchi la Ufundi la Simba SC kwa Kulazimishwa na baadhi ya Viongozi wa Simba SC

    GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Viongozi Waandamizi wa Simba SC na ndiyo maana hata akiharibu analindwa nao kwa nguvu Kubwa. GENTAMYCINE najua kuwa Kipa Aishi Manula anakula na baadhi ya Waandishi wa Habari wa Michezo na hata Wachambuzi wa Michezo ili Wampambe /...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Korogwe tunakereka kusimamishwa muda mrefu barabarani ili kupisha misafara ya viongozi wa Siasa, hii sio sawa

    Hapa Korogwe Mkoani Tanga tuna changamoto ambayo naomba leo tuiweke wazi kwa sababu imetufika hapa (shingoni). Naomba kuripoti kero juu ya misafara ya viongozi wanaopita hapa Korogwe Mjini yaani tunasimamishwa muda mrefu sana kisa msafara wa viongozi au kiongozi. Mara nyingi tu shughuli...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PhD za heshima kwa viongozi wetu Tanzania: Je, wana sifa za kimataifa?

    Sifa za kupata degree hizo za heshina (Honorary PhD) zinaweza kutofautiana, lakini katika viwango vya kimataifa/dunia lazima kuna na minimum qualification ili mtu yeyote aweze kupata tuzo hiyo. Baadhi yake ni hizi kwa msaada wa kutoka website mbalimbali. Ingawa hizi siyo exaustive, lakini kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ianze kutumia (inunue) minibuses kwa ajili ya kusafirishia viongozi kwenye ziara kama wafanyavyo China

    Ili kuepukana na gharama za ununuzi wa magari ya ghali kila mwaka kwa ajili tu ya kusafirishia viongozi mbalimbali ni vyema sasa serikali ikaja na utaratibu mpya. Nina shauri serikali kuanza kununua minbuses maalumu kwa ajili ya kubebea viongozi katika safari kama ziara mbalimbali ili kuepuka...
  10. JamiiForums Tanzania Nimetabasamu kuona Manura na Inonga wamerejea ila ushauri wangu VIONGOZI na MAKOCHA msiupuuze.....

    WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za kimataifa, tabasamu limeanza kuonekana baada ya Aishi Manula kuanza mazoezi ya uwanjani. Manula ambaye ni kipa namba moja wa Simba, amerejea kwenye uwanja cha mazoezi mara...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa. Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya. Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Betting hadi katika mabadiliko ya nafasi za viongozi, Wizara, Mkoa na Wilaya.

    Nimeshuhudia jamaa waki-bet kuwa ndani ya siku 100 kutoka Mosi Oktoba, yatafanyika mabadiliko ya viongozi kutoka Wizara moja kwenda nyingine, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya. Endapo atafanya mabadiliko kwenye Wizara atatoa fungu lake, na kama atabadilisha mkuu wa mkoa kuna fungu lake, pia...
  13. JamiiForums Tanzania Asas ni nani kwenye Serikali ya awamu 6, mbona ni kimbelembele sana kwenye ziara za viongozi?

    Hili ni lazima liwekwe wazi, kwamba viongozi wanapofanya ziara zao za kikazi wasiingiliwe na Mamluki kwa namna yoyote ile, hata kama mamluki hao ni wafadhili wa CCM, Hili halikubaliki. Huyu Asas anayejipenyeza kwenye kila ziara za Viongozi Mkoani Iringa ni nani kwenye nchi hii, ana cheo gani na...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA)

    Rais Samia ameteua na kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Halmashauri, Makatibu Tawala na Kaimu Kamishna (TANAPA). Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemhamisha kituo cha kazi Sixtus Raphael Mapunda kutoka Wilaya ya Sumbawanga kuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke akichukua...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ni utamaduni sahihi kwa Marais kuteua viongozi wakiwa nje ya nchi? Inaleta taswira chanya?

    Tumeona teuzi za jana na leo zimefanyika kutokea Doha Qatar. Je ni jambo sahihi viongozi wa Afrika kwenda kufanyauteuzi nje ya mataifa yao ikiwa hali ya usalama na kisiasa ni tulivu? Historia inayoonyesha kuna viongozi wengine wamewahi kuwa na huu utaratibu? --- - Rais Samia ateua Katibu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wanahujumu mitandao makusudi ili watu wasilipe nauli na faini kwa mitandao

    Hii tumeshaiona kwenye mabasi ya Mwendo kasi, faini za traffic na za mabasi. Wanaharibu mitandao makusudi ili usiweze kulipa faini kwa mitandao au kununua ticket za card ili tu ukienda kulipa kwa pesa wanabaki nayo halafu haiendi serikalini. Tatizo kubwa watu wanafahamu hili na wananyamaza!!!
  18. JamiiForums Tanzania Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wahimizwa kuwahamasisha Waumini kutunza mazingira (ujumbe katika Mkutano wa 52 wa Ahmadiyya)

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Khamis Hamza Khamis ametoa rai kwa viongozi na Taasisi za Kidini Nchini kushiriki ipasavyo kuhimiza utunzaji wa mazingira ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza. Naibu Waziri ametasema hayo Septemba 30, 2023 Ilala, Jijini Dar es...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…