viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Movie ya The Beekeeper ni dongo kwa viongozi wakubwa ambao utumia wanao au watu kujitafutia pesa haramu kwa ajili madaraka yao

    movie ambayo inamuonesha jason mzee wa ngumi za kutosha ambaye ni mtandao wa siri wasio julikana ndani ya serikali nyingi duniani. tuje kwenye mada: kiufupi ukiangalia hii movie iliyotoka 2024 unaoneshwa makampuni ambayo yapo nyuma ya vigogo kama za mikopo umiza,utapeli kwenye mitandao na n.k...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

    Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Makonda anaeneza ukabila? Ni nini kinamfanya aongee kisukuma huko usukumani?

    Hii tabia ya kuongea kisukuma akiwa mikoa ya wasukuma ni hatari, ni kueneza ukabila. Kwani watanzania wengine hawana lugha yao? Kwanini wasikitumie? Samia unatengeneza bomu. Hilo jamaa halifai anapsua nchi. Kisukuma kilivyo kibaya mi ningeona aibu kukitumia tena karne hii.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Akiondolewa kwenye cheo hicho ataanza kulia lia tena na kwenda hata kwa viongozi wa dini kumwombea!

    Hafuati taratibu zozote, Ujaji ni wake, uhakimu ni wake, uwakili ni wake, ushauri ndoa ni wake, ukulima ni wake, uzalishaji viwandani ikiweno sukari ni wake, uongozi wa kibabe ni wake, ukada zaidi ya wote ni yeye, kuonewa ni yeye, kutishia ni yeye tu, kutunga sheria za papo kwa papo ni yeye...
  5. JamiiForums Tanzania Pale simba hakuna viongozi bali kuna genge la wahuni tu

    Ni ajabu sana na inasikitisha sana kwa timu inayojiita inao viongozi na viongozi hao hao wanashindwa kujua kanuni walizoshirikishwa kuzitengeneza juu ya viwanja vya kuchezea ligi kuu na FA? Kiongozi bila aibu eti anaomba timu ikachezee Zanzibar kwani huku bara hakuna viwanja? Wamekimbia CHAMAZI...
  6. JamiiForums Tanzania Majaji, Viongozi wa serikali, Magari ya Jeshi yanaongoza kwa kuvunja Sheria za Usalama barabarani

    Katika watu wanaopaswa kutii sheria za barabarani ni Watu hawa, Majaji, Jeshi, Viongozi wa serikali, ila katika nchi yetu hii ipo tofauti sana, yan wanaongoza kuvunja sheria mnoo, bila hata sababu za msingi, na hata zingekwepo hawakupaswa kuvunja sheria. Unakuta wanapita Njia ya magari ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ziara za viongozi CCM, zigusie uwekezaji wa DP World unaendeleaje

    Salaam, Shalom, Itakumbukwa kuwa, uteuzi wa Katibu Mwenezi wa CCM, ulifanyika siku ya utiaji Saini kati ya Serikali na Kampuni ya DP World, hatujasahau Bado!!! Hivi sasa tunaona ziara na misururu mirefu ya magari yakiambatana maeneo mbalimbali nchini, viongozi wa chama,akiwamo Katibu Mwenezi...
  8. JamiiForums Tanzania Kiongozi yupi huwa akitoa hotuba zake zina tija?

    Hello wajamvi Mko salama kabisa. Nimeitoa mahali. Tuchambue hotuba za viongozi wetu. Leo ni yupi huwa akitoa hotuba anakuwa na tija? Mimi huyuu Waziri wa Habari na Teknolojia nawazagaa sana. Karibuni sema wakoo
  9. JamiiForums Tanzania Exposure ni kuona tu au ni kuona na kujifunza? Mbona tunasafiri sana, tunaona mazuri ya wenzetu, lakini hatujifunzi na hatubadiliki? Tumeridhika?

    Wanabodi Kuna huu msemo kuona ni kuamini na ni kujifunza!. Je, Tanzania sasa tuanze kuwa tunajifunza mambo mazuri ya wenzetu tunayoyaona kupitia exposure mbalimbali kwenye ziara za Mhe Rais wetu, nje ya nchi?. Je tuige mazuri ya wenzetu yatatusaidia au sisi ni sisi na wao ni wao? Hoja hii ni...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Mwambe Awakutanisha Viongozi wa Vyama vya Msingi Vilivyo Jimbo la Ndanda

    MBUNGE MWAMBE AWAKUTANISHA VIONGOZI WA VYAMA VYA MSINGI VILIVYO JIMBO LA NDANDA Huu hapa ushauri wa vyama vya ushirika vya Ndanda juu ya sheria ya mabadiliko ya ushirika Viongozi wa vyama vya msingi kutoka Jimbo la Ndanda wameshauri sheria ya ushirika ifanyiwe marekebishi ili kuongeza idadi ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

    Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Ubovu wa Barabara za Mtaani kwako: Je, viongozi wanawajibika?

    Hali ya Barabara za Mtaani kwako ikoje na je, Viongozi wa eneo lako na Mamlaka nyingine zinazohusika zimewajibikaje kuondoa changamoto zilizojitokeza? Ungana nasi katika Mjadala wa XSpaces ya JamiiForums hapo Januari 25, 2024 kuanzia Saa 10:00 jioni hadi 12: 00 jioni Kifukia mjadala bofya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Simba mnatuchukuliaje wanachama na mashabiki?

    Hakuna mtu asiyejua kama hatuna mafanikio, lakini sio kutufanya mazuzu kutuletea mafanikio ya kuungaunga. Mtu anapimwa kwa kufanikisha objectives, sasa mtueleze hizo ndio zilikuwa objectives zenu? Wanachama ili tuheshimiane kuna kila sababu za kufanya kitu kwa hawa viongozi
  15. JamiiForums Tanzania Mnapenda Pesa anazotoa Rais katika makanisa yenu lakini mnachukia misimamo ya viongozi wa makanisa yenu huu ni upumbavu

    Moja ya kosa kubwa lililo fanyika Tanzania toka utawala wa awamu ya kwanza ni kushindwa kupambana na udini. Kilichofanyika wakati wa Nyerere na sasa ni kupambana na udini kwa kutengeneza udini wa dini hizi mbili Ukristo na Uislam. Sio kweli kuwa Tanzania hakuna udini kama katiba inavyosema...
  16. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam Mpya: Chini ya Mabwawa na Mito inayofufuka, Viongozi Wamekaa Pale.

    Waafrika tuna dharau sana hasa viongozi walioshika mpini. Mwaka fulani hapa jijini Dasalam kuna project flani ililetwa nadhani na UN kuhusu kuboresha miundombinu ya jiji na bahati flani niliwahi kuwepo as mdau wa taasisi flani. Kutokana na karabrasha nililonalo lenye michoro yote ya jiji...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya viongozi wa CCM kuwavaa wa Serikali

    Akizungumza leo Januari 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Nchimbi amesema hakuna mtu asiyejua CCM ndio chama kinachoongoza Serikali, hivyo hakuna ulazima wa kutumia nguvu kudhalilisha watumishi wake. “Hatuwezi kusimamia Serikali kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei upo juu, Viongozi wapo bize na uchaguzi na kununua makasri Dubai

    Ndugu zangu, Bidhaa ghafi kama sukari inakimbilia TZS 5,000+ halafu Waziri wa Kilimo anatuambia mashamba ya miwa yamejaa maji... ina maana mipango na mikakati ya serikali ni namna wanavyosurvive leo na hawana 10+ years plan. Serikali haina akiba ya chakula ndiyo maana soon watakimbilia...
  19. JamiiForums Tanzania M23 ya Rwanda yapata kipigo. Wamekufa viongozi wao muhimu sana

    Jeshi la Rwanda lililoivamia nchi ya Congo DRC kwa kujiita M23, imepokea KIPIGO kitakatifu toka kwa Jeshi la Congo na makundi ya Wazalendo. Baada ya jeshi la Congo kufanya mashambulizi makali ya Anga dhidi ya Jeshi vamizi la M23, wamefanikiwa kuwaua wanajeshi wengi wa Rwanda wakiwemo...
  20. JamiiForums Tanzania Msajili: Vyama vya Siasa vinatakiwa kufanya uchaguzi wa viongozi kama Sheria inavyowataka na kuepuka kukaa muda mrefu bila uchaguzi

    Wanaukumbi. Vyama vya siasa ambavyo muda wa ongozi wa viongozi wake unakaribia kuisha, vinakumbushwa kufanya uchaguzi wa viongozi wake kabla ya muda huo kuisha..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…