viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Tatizo la yanga ni viongozi wale wale ndio maana Matokeo yanabaki yale yale

    Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka. Mchawi wa yanga ni uongozi wa msolla na engineer. Yanga kama inataka kubadilika ni lazima waanze na kubadilisha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

    Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita. Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule...
  3. JamiiForums Tanzania Wanayofanya viongozi wetu wakifikiri wanakomesha sauti za haki

  4. M

    JamiiForums Tanzania Kilichopangwa kutokana na Hujuma ya N-CARD dhidi ya Simba SC katika Simba Day ni hiki... Viongozi wa Simba SC muwe makini

    1. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine Katibu Mkuu ) wamefanya hivi ili Mashabiki wa Simba SC wakate Tamaa na wasiende Uwanjani Klabu ikose Mapato makubwa. 2. Watu wa Data ( N-CARD ) kwa Kushirikiana na Wakubwa Wawili ( Mmoja Waziri na mwingine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC amkeni upesi kwani mnahujumiwa na N-CARD ili Tiketi zisumbue Mtandaoni na Uwanja usijae Jumapili

    Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua. Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Viongozi mbalimbali

    Rais Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo Septemba 17, 2021. Silima Juma Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi Wengine walioteuliwa ni Lt. Col. Haji Sheha Khamis anayekuwa Mratibu wa Idara Maalum za SMZ na Makame Mussa Mwadini anakuwa Naibu...
  7. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Simbachawene usipigane na teknolojia, huwezi kushindana na kazi ya kukua kwa majukwaa ya mazungumzo

    Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi wafuatao washitakiwe, aidha wako kwenye madaraka au wamestaafu

    Habari, Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja. Napendekeza viongozi wafuatao washitakiwe haraka, maana wamelitia taifa hasara. 1. Waziri wa maliasili na katibu mkuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania

    Ni Tanzania pekee ambayo watu wake ni wavivu wa kufikiri na kuwaza, nchi ambayo watu wake wanachagua kiongozi kwa sababu wamehongwa kilo moja ya chumvi halafu wamiwa hawana uhakika wa kupata hela ya mboga na ugali. Nchi ambayo watu wake wanapenda sana uongo kuliko ukweli. Ni nchi ambayo watu...
  10. JamiiForums Tanzania Shaka: Viongozi na watendaji wa Chama na Serikali shughulikeni na changamoto za Wananchi

    VIONGOZI NA WATENDAJI WA CHAMA NA SERIKALI SHUGHULIKENI NA CHANGAMOTO ZA WANANCHI Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amewaeleza viongozi na watendaji wote ndani ya chama na Serikali kushughulika na changamoto za wananchi badala ya kukaa ofisini. Shaka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi huwa wanakisoma vema hiki kiapo cha maadili?

    Siku zote mara baada ya uteuzi, viongozi huwa wanaapisha. Na wakishaapishwa mmoja mmoja kuna kiapo kingine, wenyewe huita ahadi ya maadili huwa wanakiimba wote. Lakini ukiisoma ahadi hiyo kifungu kwa kifungu utagundua kuwa huenda viongozi wengi huwa hawafuata wala kuzingatia yaliyomo. Serikali...
  12. JamiiForums Tanzania RC Dodoma tembelea Stendi ya Daladala Sabasaba ujionee jinsi Wamachinga wako hatarini

    Jana nilipita pate stendi ya Daladala ya saba saba Dodoma hali niliyoiona pale ni ya kutisha, nilijiuliza sana akiwa watu wanaakili sawa sawa. Wamachinga kama wote wamepanga biashara ndani ya stendi chini, sehemu Daladala zinapita wao wamepanga biashara zao, Daladala inabidi wapige hone ili...
  13. JamiiForums Tanzania Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Wote walioteuliwa wanafahamika kwa sura na kwa tabia. Sababu za kuteuliwa kwao ndo vigumu kuzitambua. Hapa nitajaribu kuzitaja kadri ninavyowafahamu. Tuanze na Stergomena Tax Huyu ni mtu mwenye elimu nzuri, mwanamke ambaye ktk wengi walioko baraza, hatuna wanawake wenye uwezo. Ana matatizo yake...
  14. JamiiForums Tanzania TAMWA: Vitendo vya ukeketaji vikemewe hadharani

    TAMWA inatoa wito kwa viongozi mbalimbali wa serikali kuanzia ngazi ya kata hadi wizara kukemea hadharani vitendo vya ukeketaji kwa watoto wa kike, huku tukiwashirikisha wanaume katika mchakato mzima wa kupinga ukeketaji dhidi ya watoto. Ukeketaji licha ya kuvunja haki za binadamu pia unaleta...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi waandamizi wa Polisi, Uhamiaji, Magereza wanavyoweweseka nadhani wamenusa Kuna uteuzi unakuja

    Malisa amewahi Kuandika uwepo wa ombwe la uongozi Polisi, alisema wazi kwamba kwa miaka mitano viongozi wa Polisi awajapandishwa vyeo hasa wale ambao mamlaka ya upandishaji vyeo ni Rais. Alipotoa makala hiyo Ni Kama aliwasogeza Polisi waandamizi kwenye vyombo vya habari maana tunaona clip za RPC...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nendeni mkajiajiri vijana ni kichaka kitumikacho kuficha udhaifu wa uwajibikaji wa viongozi wetu

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzani. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezimungu muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Naam nimeamua kuandika hili andiko ili tuweze kupeana maarifa mbali mbali katika jamii yetu tunayoishi. Ajira, Ajira, Ajira hili ni neno lenye...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya wakodi basi la abiria ili kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga

    Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
  18. JamiiForums Tanzania Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  19. JamiiForums Tanzania Muda aliodhania angebadili mtazamo wa viongozi na wa kuongoza nao umeisha bila kufanya hivo je kashindwa?

    Kikao cha watu saba baada ya Magufuli kutoweka duniani kilikuwa na maazimio yafuatayo 1. Bashiru pamoja ná wenzake wasichukuliwe hatua haraka maana wangezalisha bomu la wanaojua serikali in and out bali wafanyiwe demotion na wawe chini ya uangalizi Kwa miezi 4 2. Baraza la mawaziri alibadili...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…