viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

    Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
  2. H

    JamiiForums Tanzania Muovu punguani hufanya uovu kila mmoja akajua ni uovu

    Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini. Fikiria Mbowe kushindwa kufikishwa mahakamani, eti gari la kumpeleka mahakamani ni bovu! Na mama naye anaona...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi

    "Baadhi ya viongozi walioonekana wakichanjwa, wame-fake ili kuwahadaa wananchi. Inapofika mahali pa kuilinda Tanzania dhidi ya majanga, simuogopi mtu yeyote, siogopo kitu chochote hatuchanjwi" Askofu Josephat Gwajima akizungumza kanisani kwake leo.! My Take Hii imevuka mipaka. Lakini mambo...
  4. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA Mwanza mbaroni kwa sababu ya kumuombea Kamanda Mbowe

    Katibu wa Kanda ya Victoria Zacharia Obad pamoja na viongozi na wanachama kadhaa wamekamatwa na Polisi walipohudhuria misa leo Agosti 15, 2021 katika Parokia ya Kawekamo, Mwanza kumwombea mwenyekiti wa chama Mhe. @freemanmbowetz Tutaendelea kufuatilia tutatoa taarifa zaidi. https://t.co/P7Euv1cI2S
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Nukuu ya leo: Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana (Mithali 28:16)

    Je, kuna uonevu unaopitia katika nchi yako , ofisini, makazi au mahali popote? Je, umewahi kuripoti katika ngazi zinazohusika lakini bado uonevu unaendelea? Kama jibu ni NDIYO, Basi ujue kiongozi husika wa maeneo hayo aliyepewa mamlaka katika eneo hilo amepungukiwa na akili! Ukiona Taifa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Sengerema: Viongozi wapigwa chini kwa kukusanya mchango wa ujenzi wa zahanati kwa lazima

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Mtendaji wa kijiji cha Nyamililo Wilayani Sengerema Mariamu Mgunda, pamoja na mwenyekiti wa Kijiji hicho Mateso Shibayi na kuwaweka ndani kwa kosa la kuchangisha kwa nguvu fedha za...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Safu ya uongozi ya CCM imechoka, walikosa viongozi?

    Katibu mkuu wa CCM pamoja na Mwenezi ni baadhi ya viongozi wa juu wa CCM ambao tuseme tu ukweli walipaswa kuwa viongozi wa Jimbo au Wilaya lakini siyo viongozi wa Kitaifa. Tukumbuke Mwenyekiti naye hana ushawishi kwenye jamii so viongozi wote wa juu ni vigumu kufanya siasa za majukwaani kwa...
  8. 2019

    JamiiForums Tanzania Viongozi au watu maarufu wanaoongoza kuwekwa kwenye Memes za kiswahili

    Kama inayoonekana # 1 mimi binafsi namuweka Jacob Zuma. Kwanza ana mapozi mengi sana na mapozi yote hata bila maelezo yanachekesha😆😆 Huyu ni #2 Yuweri Museveni huyu alianza na picha yake flani aliku akiangalia nyuma huku akionyesha kidole. Ilitamba sana mpaka milardayo akaipost pia. #3...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanzisha utaratibu wa kuzisajili taasisi za dini kila baada ya miaka 5 una lengo la kuwaziba midomo viongozi hao wa dini

    Kila mwananchi ameona utaratibu mpya ambao umeanzishwa na serikali hii ya awamu ya 6 ya kuanza kuzifanyia "monitoring" taasisi zote za dini na kuzisajili upya kila baada ya miaka 5. Huu ni utaratibu mpya kabisa, ambao haujawahi kuwepo tokea nchi yetu ipate uhuru wake, miaka 60 iliyopita. Ni...
  10. Molleli

    JamiiForums Tanzania Nashangaa kwenye daladala tunahimizwa kuvaa barakoa ili hali Waukae festival lile nyomi hakuna hata alovaa barakoa!

    Nahisi siasa imetumaliza wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa hasa iki kipindi cha uviko 19 naona kama viongozi wetu wanawaza ujinga badala ya kufanya kazi za misingi kwa taifa letu. Poor us
  11. P

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM atoa maelekezo matatu mahususi kwa Viongozi na Watendaji wa Serikali nchini

    TAARIFA KWA UMMA KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAELEKEZO MATATU MAHUSUSI KWA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SERIKALI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, akiwa katika ziara ya kukagua miradi na shughuli za...
  13. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi inamaana kuna viongozi huwa hawana mshipa wa aibu, ni vigeu geu sana kwenye suala la Corona

    Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi tuzitambue vyema hali za wananchi wetu ili kuweza kufanya maamuzi yasiyo kandamizi

    Ninaandika makala hii baada ya kilio cha wanachi kutokana na maamuzi mbalimbali yanayofanywa na serikali. Baada ya kutoka kwa bei mpya za vifurushi kwenye huduma za maongezi na intaneti kilio kikubwa cha wanachi kilizuka . Baadae imekuja makato kwenye miamala ya pesa kilio kingine kikazuka...
  15. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kamati ya Maji Geita watiwa mbaroni kwa ubadhilifu wa pesa

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha wanazokusanya kwa wananchi kwa kuwauzia maji kwa kipindi cha miaka sita. Baada ya waziri kuvuja jumuiya hiyo...
  16. Thailand

    JamiiForums Tanzania Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

    Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro badilisheni kile kibao cha KILIMANJARO AIRPORT

    Kile kibao pale kipo miaka na miaka hadi sasa Kinataka kuanguka chini, hakina kabisa hadhi ya kuonyesha kweli hiki ni kibao kinachoelekeza uwanja wa ndege ulipo. Kibao kidogo mno utafikiri ni cha boda boda Jamanii kumbe kinaelekeza uwanja wa ndege tena wanaposhuka watalii na watu ma shughuli...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapendekezo: Jinsi Chama cha Mapinduzi kinavyoweza kuwaandaa viongozi waadilifu

    CHAMA CHA MAPINDUZI UONGOZI ONLINE COURSE Chama cha mapinduzi ni chama cha kisiasa nchini Tanzania kilichoundwa mwaka 1977 baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union (TANU) kutoka Tanganyika na Afro Shiraz Party kutoka Zanzibar,chama cha mapinduzi ndio chama tawala...
  19. aka2030

    JamiiForums Tanzania Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

    Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama Mwalimu nyerere memorial academy Mwalimu nyerere international airport Nyerere hydroelectric power Nyerere...
  20. Kamamaa

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jamii ya wala rushwa ndio inatengeneza viongozi wala rushwa

    Rushwa. Kila mmoja anapozungumza huona huonekana kama kitu kilichopo mbali sana naye. Mara nyingi inapozungumzwa rushwa inawahusu vigogo au watu walio na nyadhifa katika taasisi mbalimbali. Inawezekana kuwa sahihi lakini ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanajamii ndio wanaotengeneza viongozi...
Back
Top Bottom