viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wote wa ngazi za juu Serikalini na kwenye Vyama vya siasa. Urais hautafutwi bali urais ndio unakutafuta. Haki itamalaki kote

    Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote. Lakini leo hapa nazungumza kitu kimoja kwa viongozi wa juu wa serikali na Vyama vya siasa kwa nguvu na mamlaka makubwa ya...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia awaapishwa viongozi wateule leo Oktoba 11, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwaapisha Viongozi Wateule watatu walioteuliwa Oktoba 08, 2021. Jaji Mustapha Siyani ameteuliwa kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania na Jaji Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Pia, Sophia Edward...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima watu uhuru ni chanzo cha viongozi wengi wazalendo Afrika kufeli

    KUWANYIMA WATU UHURU NI CHANZO CHA VIONGOZI WENGI WAZURI KUFELI Wakuu nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Wote kwa pamoja muitikie CHAMA KIENDELEE. Wale wasiotaka kujibu nawakumbusha kwamba CCM ndo imebeba matumaini ya watanzania wote. Kwa siku za hivi karibuni niliamua "kujilipua"...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi afanya uteuzi wa viongozi watatu

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Capt. Khatib Khamis Mwadin kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) Mudrik Fadhil Abass ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Maji katika Wizara ya Maji,Nishati na Madini Pia, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Shaaban...
  5. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Wakati wa uchaguzi pombe, tisheti na kofia hutuchagulia Viongozi

    Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia. Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani” Pengine mateso hayo mnayoyapata ni...
  6. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika ambao bado wanaishi hata baada ya kufa

    1:Patrice Lumumba, Julai 2, 1925 katika ardhi ya Congo alizaliwa mtoto wa kiume katika viuno vya Mzee François Tolenga Otetshima na tumbo la Bi Julienne Wamato Lomendja, akaitwa jina lake Elias Okit’ Asombo yaani Mrithi wa Aliyelaaniwa. 2: Kwame Nkrumah, Aliye ifanya Ghana ikawa nchi ya chama...
  7. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  8. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Viongozi wafuatao kauli zao zimegomewa na watendaji.

    1. Waziri mkuu..alitaka UDART waachane na ticket za vishina...mpaka Leo vishina vinaendelea kama Kawa. 2. Mkuu wa mkoa wa Dsm- Nahisi huyu sijui wanamchukuliaje maana anamatamko mengi sana mpaka mengine nimeyasahau..moja wapo kubwa ni la Wamachinga...hapa kauli zake (yake) huwa hazisikilizwi...
  9. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya ndege za kukodi kwenye safari za serikali za viongozi ni kwa faida ya nani?

    Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na wahudumu! Huu ndo uzalendo kweli? MY TAKE Mishahara ya wafanyakazi wa shirika la ndege la serikali...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ahadi za 10M zinatolewa na GSM kupitia viongozi ambao ni Yanga

    Vyanzo vyangu vya kuaminika vimeniambia njia ya kuhujuma Simba Sc imerahisishwa. Ni kuwafanyia fujo kubwa uwanjani kwa malipo ya milioni 10 kama fujo zitaleta tija. Fedha hizi zimekuwa zikiahidiwa na viongozi wa mkoa lakini ukweli ni kwamba ile ni zuga tu,fungu linatoka GSM. Sina shida wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaoshangilia Mpira wa Fujo, Kukamiwa, Kuumizwa na Ahadi za Viongozi wenye Uyanga wanazofanyiwa Simba SC mna Akili timamu?

    1. Mbona hawa Viongozi Wanafiki na wenye Uyanga 100% akina Ally Hapi ( Mkuu wa Mkoa wa Mara ) na Mbunge wa Dodoma Mjini Antony Mavunde Biashara United FC na Dodoma Jiji FC zikicheza na Timu zingine huwa hawatoi Ahadi zao kama Vilabu hivi vikicheza na Simba SC? 2. Sikatai kutoa Motisha ila...
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wengi wanapowekwa rumande/gerezani au kuitwa kwenye kamati ya masdili hupenda kubeba vitabu?

    Hivi huko gerezani au mahabusu kuna V.I.P? Ili mtu aweze kusoma kitabu ni lazima akae sehemu ambayo ni comfortable, Kwanini viongozi wetu wanapopata majanga hupenda kubeba vitabu mfano wanapoelekea mahakamani au kwenye kamati ya maadili , Mwenye majibu atusaidie
  13. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi kuzipita maendeleo nchi wanazoziongoza

    Hivi hii imekaaje unakuta mtu ni waziri ama mbunge anakuwa na maendeleo makubwa kwelikweli kuliko hata nchi yake Hebu tazama watu kama Lowassa jinsi walivyo mabilionea wakati maskini wanazidi kuongezeka kila kukicha hapa danganyika Kwa nini mbinu wanazozitumia kujiletea maendeleo binafsi...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to William Ole Nasha: Alikuwa Miongoni Mwa Viongozi Wachache Bonafide Genuine Wazalendo wa Kweli waTaifa Hili. RIP Comred William Ole Nasha!

    Wanabodi, Sisi waandishi wa habari, na watangazaji tuna specialization zetu kutokana na vipaji tofauti na uwezo tofauti tofauti, ndio maana wengine wanasoma habari, wengine wanatangaza mpira, wengine kazi yao ni kuripoti tuu yaani maripota na wengine huweza kufanya story za uchunguzi yaani IJ...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko19

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022. “Niwaombe viongozi wa dini kujumuisha masuala ya sensa kwenye mahubiri yenu, kawaida serikali ikitoa...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

    Wanabodi, Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini...
  17. data

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa UN ni gulio la kununua viongozi wa nchi zinazoendelea

    Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria mkutano. Wakubwa wanachojali pale sio ulipatikanaje kuwa Rais wa nchi yako, bali nitapata nini kutoka...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi mliohudhuria mkutano wa UN rudini nyumbani na mikakati, msirudi na suti

    Kuona ni kuamini, think globally and act locally. Tunaomba viongozi wetu wa bara la Afrika tuliowasafirisha kwenda New York kwa kodi zetu kuhudhuria mkutano mkuu wa Baraza la Dunia, UN mrudi nyumbani na mipango mkakati ya kuboresha maisha ya watu wenu. Sina shaka kila kiongozi aliyekwenda New...
  20. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
Back
Top Bottom