viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema badala ya kuomba michango mitaani jifunzeni kwa Madam Esta Bulaya amewekeza kwenye kilimo cha kisasa

    Wote tumeona jinzi Esta Bulaya alivyowekeza kwenye kilimo bila kujari status yake kwa jamii lakini ameonyesha mfano wa kuigwa kwa kuthamini na kuendeleza kilimo nchini. Cha ajabu Bado viongozi wa chadema wanategemea wale na walishe familia zao kupitia donation za kitapeli.....Mimi niwaambie tu...
  2. JamiiForums Tanzania Madereva wanaotumia ving’ora vya magari ya viongozi bila ruhusa, faini Tsh. 300,000 na kifungo

    Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya zinazopiga marufuku ufungaji na matumizi ya ving’ora na taa za ishara (beacon lights) kwenye magari binafsi bila kibali maalum, kufuatia kuongezeka kwa kero na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa barabara nchini kote. Kanuni hizo, zinazojulikana kama...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matiang’i Aibua Kengele: Akaunti Kudukuliwa, Mawasiliano Kukatizwa na Viongozi Kufuatiliwa

    Aliyekuwa Waziri wa Usalama wa Ndani, Fred Matiang’i, ameibua madai mazito kuhusu usalama wa viongozi wa upinzani na mazingira ya kisiasa nchini, akidai kuwa baadhi yao wamekuwa wakikumbwa na vitisho vya kiteknolojia na ufuatiliaji. Matiang’i amesema kumekuwa na madai ya akaunti za watu...
  4. JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima

    Uhuru wa kujieleza ni haki ya kila mtu, lakini uhuru huo haupaswi kuwa sababu ya kumvunjia mtu au viongozi heshima. Tunaweza kukosoa, kuuliza na kutoa maoni kwa nguvu ya hoja, bila matusi, dharau au chuki. Tujenge utamaduni wa kuheshimiana tunapotoa maoni. Je, tunaweza kutofautiana bila...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  8. JamiiForums Tanzania Uislamu unavyozidi kuleta mugawanyiko na viongozi wao wenye imani.Je tunapoelekea ndio wanataka kuonesha dunia au ni imani.

    Matamko ya viongozi ambao wanaonesha wazi wazi sasa yanaonekana ghana na nageria kuwa hawataki imani imani nyingine zaidi ya wanao wasimamia wenye imani zao. Hii imekaaje maana dunia inapoelekea tunaenda sio ukabira ni udini hata hapa tanzania kashaonesha kuwa anafanya.
  9. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini

    Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi wa mfano kuigwa kuishi maisha duni ya kimasikini na kuwataka viongozi wote waishi maisha sawa na yake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Zanzibar na ukoloni

    Yaniuwia vigumu kukaa kimya napoitazama Zanzibar ya leo. Kuna hali ya kibaguzi kwa baadhi ya Viongozi wa vyama vya Siasa na Serikali ya Zanzibar ambao kama kwamba bado wanaishi karne ya 15. Nasema haya kwa sababu sielewi sababu ya wao kusifia Utawala wa kifalme wa Sultan kama kwamba Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza viongozi wa Chadema wa mstari wa mbele wa kutetea haki na Demokrasia nashauri imarisheni mfumo wa uongozi hadi vijini

    Nchi yetu ni nchi ya demokrasia ya vyama vingi. Demokrasia inaleta ushindani wa hoja sera mawazo Bora zaidi ya kujenga nchi yetu. Viongozi wa Chadema wanastahili pongezi ya kukubali kukaa mstari wa mbele kutetea haki na Demokrasia KATIKA nchi yetu. Sisi kama WAZALENDO tunatamani tuone vyama...
  14. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

    Matapeli wengi wa kisasa hutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa "Social Proof" (Kutafuta Uhuishaji wa Kijamii). Kupiga picha na kiongozi mkuu au mtu maarufu na kuipost mtandaoni huwasaidia kujenga uaminifu wa haraka (instant credibility) ili waathirika wasiwaatilie shaka wanapowaomba fedha au...
  15. JamiiForums Tanzania Ukweli ni Ukweli Hata Uwe Mchungu Vipi!. Tanzania Itaokolewa na Viongozi Wakweli na Wasema Ukweli, la Katiba Alilosema VP Bal. Dr. Nchimbi, ni Ukweli!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi la leo, nikiuzungumzia msemo wa "tell the truth and the truth will set you free", Tanzania tumefikishwa hapa na viongozi wanao chelea kuusema ukweli, kwa kuhofia utawaudhi watu, hivyo Tanzania itaokolewa na viongozi wakweli, kama Dr...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wachunguze Kituo cha Afya Kadashi, Wilaya ya Kwimba – Mwanza. Utendaji unatukwaza Watumishi

    Kituo cha Afya Kadashi kipo Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Kata ya Maligisu Kijiji cha Kadashi kina Watumishi 12 ambao ni Co 3, NO 1, ANO 3, EN 2, MAT 2 na CA 1. Mimi ni mmoja wao, nimeamua kueleza changamoto tunazopitia kwa sababu hali iliyopo imekuwa ngumu kwetu watumishi na inaweza...
  17. I

    JamiiForums Tanzania TFF Ni jipu linalotoa usha kila uchao.

    Nmekuwa nashangaa kuona kila mechi inayokutanisha Simba na yanga kupangiwa kuchezwa visiwani Zanzibar, nadhani kwa kufanya hivyo ni kutukosea Sisi watanganyika(Tanzania bara)kwani Simba na yanga ni timu za Tanzania bara ambazo n tunu kwa watu wa bara kitendo cha kupeleka mechi za Simba na yanga...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuwafikisha mahakamani watakaojipachika vyeo na kutumia mavazi ya chama kwa nia ya kukichafua chama na viongozi

    Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao. Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
  19. JamiiForums Tanzania Uovu wa viongozi wa CCM aliousema Polepole ndio sababu ya CHADEMA kukubalika kama chama cha ukombozi.

    Ni viongozi waovu ambao Polepole aliweka wazi kuwa kutoa uhai wa mtu waweze kukamilisha ufisadi wao ni jambo la kawaida kama kunywa chai. Wanaona kutumia dola kunyanyasa raia wa dola huru ya Tanganyika ni umwamba wa kisiasa. CHADEMA imebadikika haitaki kuwa kibaraka wa wanaCCM waovu...
  20. JamiiForums Tanzania Kinachoitesa Tanzania si Viongozi ni Tatizo la Fikra.

    Hata leo usiku, ikiwa chama tawala kitatoka na kuingia chama kingine ili kupata viongozi wapya, taifa hili litaendelea kuwa maskini kama nguvu ya kuzindua raia haitatumika kwa dhati. Ukweli uliopo ni kwamba mabadiliko ya kweli hayaanzi kwenye kura za sandukuni pekee, bali huanzia kwenye ukombozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…