viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    Ziara za Deng Xiaoping baada ya kupokea kijiti cha Mao. Hivi viongozi wetu huwa wanaenda kuzurura tu huko nje ?

    Hebu mtazame hapa huyu mwamba Deng Xiaoping katika ziara zake baada ya kuipokea China iliyokuwa imechoka vibaya katika miaka ya mwisho ya Mao. Deng alifanya ziara muhimu kwa wakati ule kwa majirani zake waliokuwa wamewaacha China mbali sana kama Thailand, Singapore, Japan, Malaysia tazama...
  2. Ojuolegbha

    UWT yawajengea uwezo wanawake viongozi kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Ziwa Magharibi

    UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI 🗓️ 27/3/2024 📍 Winterfell, Mwanza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali...
  3. 2 of Amerikaz most wanted

    Viongozi: Kabla ya kuwa katika nyadhifa mbalimbali walianzia huku

    🇮🇳 Narendra Modi - Tea seller 🇺🇦 Volodymyr Zelensky - Comedian 🇦🇱 Edi Rama - Painter 🇦🇺 Tony Abbott - Trainee Priest 🇧🇬 Boiko Borisov - Bodyguard 🇨🇦 Justin Trudeau - Bouncer 🇨🇦 Stephen Harper - Mailroom Assitant 🇭🇷 Ivo Josipovic - Music Composer 🇫🇷 Nicolas Sarkozy - Cleaner 🇬🇹 Jimmy Morales -...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  5. Mganguzi

    Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  6. Kaka yake shetani

    Viongozi wa CCM wengi wameacha kutumia JF ukilinganisha kipindi cha nyuma? Sababu ni uwoga

    Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji. Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya. Tatizo ni uwoga hapa JF...
  7. MK254

    Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  8. MK254

    Israel inatafakari ombi la HAMAS kwamba viongozi waihame Gaza na wasiuawe watakakokwenda

    Mojawapo wa maombi ya HAMAS kwenye mazungumzo ya amani ni kwamba viongozi wake wataihama Gaza na wasiuawe popote watakapokwenda, wahakikishiwe uhai wao. Hilo ombi ni ngumu kutekelezeka maana Myahudi ukimwaga damu yake subiri lazima alipe, wao hutumia sheria za Musa, yaani jicho kwa jicho, kwamba...
  9. R

    Nchi zilizoendelea kiongozi akituhumiwa kwa rushwa anajiuzulu, Tanzania viongozi wanakamatwa na vidhibiti lakini hawatishiki hadi watumbuliwe

    Viongozi wa Tanzania wanakiburi sana, wanakamatwa kwa rushwa na tuhuma nyingine za maadili lakini uwezi kusikia wamejiuzulu. Wanasubiri hadi Mh. Rais awatumbue jambo ambalo ni dharau kwa mamlaka. Kujiuzulu ni Ishara ya kuomba radhi na kukaa pembeni ni Ishara ya kufungua milango usafishwe au...
  10. Suley2019

    Nigeria: Rais Tinubu apiga marufuku safari za viongozi Aprili

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu atangaza marufuku ya miezi mitatu kwa mawaziri na maafisa wengine wa serikali kwenda safari za nje zinazofadhiliwa na umma kuanzia Aprili mosi. Rais Tinubu, katika barua yake aliyoiandika, aliagiza kuzuiliwa kwa safari zote za nje, lakini akasema kwamba ruhusa...
  11. BARD AI

    Rais wa Nigeria afuta safari za Viongozi za nje ya nchi kwa miezi 3 ili kubana matumizi

    NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
  12. OLS

    Viongozi wengi hawakuwa wanaijua Katiba wakati wa Kifo cha Magufuli

    Nakurudisha miaka mitatu iliyopita, Rais Samia alipotangaza msiba wa Magufuli alitangaza siku 7 za maombolezo kwa mara ya kwanza. Wakati huo hakuwa anajua Katiba inatambua siku 21. Hili linatosha kuonesha kuwa Viongozi wengi walikuwa hawana ufahamu na katiba Mahojiano ya Mabeyo ya hivi karibuni...
  13. BARD AI

    Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  14. KJ07

    Tujikumbushe kidogo kauli za viongozi wa Simba

    1:Try Again "Tumedhamiria kufanya usajili wa nguvu utakao kirudisha kikosi chetu kwenye ubora wa juu msimu ujao na hilo linawezekana kutokana na malengo tuliyokuwa nayo ya kuifanya Simba kuwa klabu kubwa Afrika" Hii ilikuwa ni baada ya Young Africans Sports Club kufika fainali ya kombe la...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Nicodemus Maganga: Viongozi wa Kata na Vijiji Msikubali Wananchi Waonewe

    Viongozi ngazi za Kata na Vijiji wametakiwa kuwa mstari wa mbele kutetea na kuwalinda Wananchi dhidi ya vitendo vya uonevu vinavyofanywa na baadhi ya Watumishi wa serikali ikiwemo askari kukamata wananchi hao kiholela na kwabambikizia kesi. Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Mbogwe mkoani...
  16. MamaSamia2025

    Hawa ndiyo walikuwa viongozi vinara kwenye utawala wa Awamu ya Tano

    Tujikumbushe majembe ya awamu ya 5. Kuna waliowapenda na kuna waliowachukia ila wafuatao walikuwa ndo majembe ya awamu ya 5; 1. JPM himself 2. Paul Makonda 3. Biswalo 4. Job Ndugai 5. Ole Sabaya 6. Ally Hapi 7. Mnyeti 8. Kalemani 9. Dotto 10. Ngusa 11. Gambo. 12. Polepole . 13. Dr. Bashiru. 14...
  17. Msanii

    Katiba yetu ya leo inakosa MAMLAKA ya kuwajibisha. Katiba inapaswa kuunda Taasisi imara na siyo kinga kwa viongozi wasiowajibika ipasavyo

    Rais ambaye ndiye mlinzi namba moja wa KATIBA ya nchi anasema ni KIJITABU.... na hakuna uwajibikaji wowote kwenye hilo (Ibara ya 26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii nasheria za Jamhuri ya Muungano.) Bunge letu linapokea na kupitisha kwa mbwembwe miswada yote ambayo ina...
  18. J

    TAKUKURU: Rushwa katika Taasisi za Dini hutokea wakati wa Uchaguzi wa Viongozi

    Rushwa katika Taasisi za Kidini ipo hasa katika Uchaguzi wa Viongozi. Wanaoenda kugombea ni watu wanaotoka katika Jamii ambayo inaelekeza kwamba huwezi kuchaguliwa bila kutoa Hongo, hivyo analazimika kutoa hela ili achaguliwe. Wakati huo huo Mgombea mwenza naye hupata taarifa kuwa Mwenzako...
  19. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

    Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma na kukutana na Katibu wa Chama Mkoa Ndg. Mohamed ally. Waziri...
  20. R

    Kwanini Viongozi wengi wa kisiasa wanapost picha wakiwa na Hayati Magufuli lakini wanahofia kuposti hotuba zake, au zinawachoma?

    Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake. Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
Back
Top Bottom