viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Coaster ya Milioni 334 Ruvuma vs Wanafunzi wanaokaa chini: Je, Viongozi wetu wana shida ya Vipaumbele au ndio "Kufuja Kodi" kwa Mgongo wa Utendaji?

    Ndugu wana-JamiiForums,Mnamo tarehe 18 Septemba 2026, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, chini ya Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ilizindua rasmi basi jipya aina ya Toyota Coaster lenye thamani ya Shilingi Milioni 334 za Kitanzania. Lengo lililoelezwa na uongozi huo kupitia Wakala wa Huduma...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu kabla na baada ya uchaguzi

    Tanzania ni moja ya nchi chache sana za ajabu. Nikisema ajabu namaanisha ajabu kweli. KABLA YA KUPIGA KURA Viongozi wetu kabla ya uchaguzi huwa wanatutambua,kutupenda,kutushirikisha na kutuheshimu sana sisi Raia wa Tanzania, kama watu na raia wenye Mamlaka na nchi hii. Wakati wa kampeni hao...
  3. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu.

    AMANI HAIPO SAWA. Kwa mjibu wa Civilian-Coin: "Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu". Civilian-Coin
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  5. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kama Ramadhani Kingai amesema anaombea na atashangilia iwapo Lisu atakutwa na hatia, basi wananchi wanashaongilia vifo vya viongozi wapo sawa

    Now this is the real war. Sina neno
  6. C

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wanaofanya makusudi kufanya makosa na VFS ipo, wafukuzwe kabisa kuchezesha ligi

    Sitarajii TFF iwe na huruma na hawa waamuzi wanaofanya makosa maksudi licha ya wao kuwa na nafasi ya kupitia maamuzi yao kupitia vfs. TFF wawe na standard katika kushughulikia makosa yanayofanywa na wachezaji pamoja na waamuzi. Mfano ni Eli Sasii ambaye ameshindwa kutoa adhabu sahihi kwa beki...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Taifa lolote yanaletwa na kushindanisha Ubora kuanzia mifumo ya kapata viongozi ELIMU na uchumi tunaandaa taifa duni tukiondoa ushindani

    Hutuwezi kuwa taifa lenye nguvu imara na lenye maendeleo makubwa kama tutaondoa ushindani wa ubora . Tunaweza kuliua taifa taratibu Kwa sababu ya kikundi Cha watu wachache wenye tamaa wadhaifu wasio na uwezo wasiotaka ushindani. Kuanzia kwenye mfumo wa ELIMU tunaopaswa kuandaa vijana wenye...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuwa na Sheria inayoongoza michango kwa shughuli za vyama vya Siasa inchini.

    Ninatoa pendekezo la Serikali kuandaa Muswada wa Sheria ya kusimamia michango ya shughuli za Vyam vya Siasa nchini ili kuzuia watu au makundi ya watu wasio na maadili kuhusika kwenye michango ya shughuli za vyama kwani kwa sasa kumejitokeza tabia ya watu wanaojiita wanaharakati kuchangia au...
  9. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ilazimishe viongozi wake kujaza fomu za wazi za mali na madeni kuepusha shutuma za ufisadi

    Tunamlaumu Nasaoro Katuga kwa ku expose mali za kiongozi wa CHADEMA. Wakili wa serikali yuko kwenye minyukano mahakamani tunategemea aje kusema Heche ni malaika wa Bwana ??? Anapiga kwenye mishono anapoona pana madhaifu. CHADEMA tujenge utamaduni wa uwazi kwenye masuala ya fedha na mali...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kuna move imeanzishwa na viongozi wa Scotland, Wales na North Ireland inatishia Kuivunja United Kingdom!? Itafanikiwa

    Kwa tunaojua Alama za Nyakati kupitia Biblia, the best move hiyo itatokeza ni kuharakisha mwisho wa Mfumo huu wa Shetani na kuleta era ya Utawala wa Mungu chini ya Mfalme Jesus Christ. Biblia ( Daniel ikisomwa pamoja na Revelation) na ukichunguza Historia ya Tawala za Kibinadamu inatuambia the...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mkubwa Viongozi wa CHADEMA Wakiongozwa na Heche Walishazitafuna pesa za Michango na kuanza kuhaha kufidia . Ndio Maana wakasogeza mbele

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna watu wahatari na balaa linapokuja suala la pesa basi ni Viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unatakiwa uwaweke mbali na pesa ama harufu ya pesa basi ni viongozi wa CHADEMA. Kama kuna watu unapaswa kutokuweka Imani yako linapokuja suala la pesa na harufu ya pesa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Siasa,Dini & Jamii mbali mbali jichunguzeni.

    Heshima sana wanajamvi. Kufuatia msiba wa Mume wa Mh Rais wa JMT tumeshudia viongozi wa Dini,Wanasiasa,Wasanii na Viongozi tofauti tofauti wakimimika kuelekea Zanzibar kutoa salamu za pole kwa Mh Rais. Hakika jambo hili ni jambo la kiungwana sana na ndio utamaduni wetu Watanzania. Binafsi...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda baadhi ya viongozi wa chadema taifa wakatimuliwa chadema mara tu baada ya hukumu ya mwenyekiti wao Taifa.

    Usaliti watajwa kua chanzo kikuu cha mtifuano huo unaonukia. Mashahidi wa Lisu kulengwa zaidi pamoja na baadhi ya viongozi wa kamati kuu. Tayari migawanyiko na makundi yameanza kuibuka na kukigawa chama hata kabla ya hukumu, na yakituhumiana kuhujumu misimamo ya chadema, agenda za chadema...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Uaminifu wa Wachaga kwenye upinzani unashuka, viongozi wachache wanaponza kabila zima kuonekana kujali maslahi tu, hawana msimamo wala uzalendo.

    Katika matukio mengi yanayoendelea kwenye siasa za upinzani kuanzia uchaguzi wa Chadema, kuhamia Chauma, Mbowe kuonekana alikuwa muigizaji, tetesi za Lema haivi chungu kimoja na Heche, n.k. nimeona maoni mengi ambayo yanawapoint na kuwachafua wachaga, kwajili ya matendo ya wachache. Watu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia msiba wa mumewe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia...
  19. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kila nikifikiria vile viongozi wa CCM watakavyokuwa wanaburuzwa na kupewa kesi tofautitofauti kuanzia 2035, huwa nachoka.

    Kila nikijaribu kwenda mbele ya muda na kuangalia yatakayokuwa yanaendelea huwa nachoka! Naona, viongozi wa sisiemu wakiburuzwa sana, kupewa kesi za uhaini kwa sana n.k. Ama kwa hakika kutesana ni kwa zamu!
  20. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ijetenge na kauli za Ostaz Juma Namusoma

    BAKWATA ijitenge na Juma Namusoma, ambaye ametumia mitandao ya kijamii kutoa kauli zinazowalenga na kuwashambulia masheikh, pamoja na wale wanaoendelea kumlinda. Kinachotia mashaka ni kwamba kila anapokosolewa kwa kauli zake, huonekana kujisitiri nyuma ya viongozi wa BAKWATA. Aidha, mara nyingi...
Back
Top Bottom