vinanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Kama nilivyowahi kusema Singeli ni art ya vinanda

    Kama nilivyowahi kusema Singeli ni art ya vinanda ..hebu cheki watoto walivyoua hapa.
  2. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi kama hapa kuna mmeru na mwenzake mchaga pale kuna mnyaki huku yupo mkurya, wote vinanda, utachagua wapi?

    Halafu unaambiwa lazma wali uliwe (ufunge harusi). Utaenda wapi? Zingatia: Hakuna mambo ya NONE of the above (wala kataa ndoa haipo🚮🚮). NB: Muda mwingine inabidi jichomoe akili kidogo, usiwe siriaz kupitiliza🤣
  3. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki kwa kwaya na ufundi wa vinanda ni sawa na samaki na maji

    Hawa Wakatoliki kwaya na ufundi wa upigaji vinanda kwao ni sawa na samaki na maji ni ngumu kuwatenganisha. Kwa kweli RC ni mafundi haswa katika upande huu wa uburudishaji kwa nyimbo zao za gospel ukichanganya na vinanda vyao. Ukikutana na mpiga kinanda fundi wa RC mpaka kichwa anatikisa huwa...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane wanamuziki, wapiga magita, vinanda nk waliowahi kufanya kazi Twanga Pepeta Band

    Mimi naanza na Jenerali Banza Stone a.k.a Mwalimu wa Waalimu, karibuni na nyie muendelee...
  5. Tajiri wa Dunia

    JamiiForums Tanzania Unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri? Tembelea video hii

    Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
  6. Buenos Aires

    JamiiForums Tanzania Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

    Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
Back
Top Bottom