Makanisa na vinanda/miziki kama kawaida yao

Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
Haya madisco kwenye kumbi za starehe na bar zinakera kwelikweli. Watu miaka nenda miaka rudi hakuna anayelalamika , watu wameridhika. Lakini linalohusu Mungu malalamiko ni mengi!!
 
Kuna kanisa mtaa mmoja huku nilipo, Sijajua hawa ni walokole ama! Mtaa mzima hapa ni kelele kwenda mbele. Miziki inapigwa kama wako disco mazee! Aise wanakera mno na makelele yao, serikali naomba muwashugulikie hawa watu, tembeeni mikoa yote mpaka vijijini.
"serikali itembee mikoa yote hadi vijijini", unahisi kama serikali ni kikundi fulani cha watu kinachokaa sehemu fulani.
hujui kuwa huko mikoani na vijijini kuna serikali
 
Wanaserebuka kwa Bwana Yesu, sema kila kitu lazima kiwe na limit, nadhani serikali pia inapaswa kuwawekea mipaka hawa watu maana wakati mwingine ni dico 24/7 mpaka huwa najiuliza hao waumini huwa wanaenda makazini saa ngapi
 
Kwakweli kuna wakati wa ibada na kuna wakati wa kufanya mambo mengine, hii ya makanisa especially ya kilokole ni tatizo kubwa.

Hatukatai watu wasali, waabudu, waimbe na wamsujudie Mungu wanayemuamini Ila iwe na wakati maalum Ila wenzetu walokole wao hawana muda maalum.

Mie naishi karibu na kanisa fulani la walokole kwakweli ni shida, unaweza kuamua sasa labda wamemaliza upumzike ndio unashangaa magitaa na speaker zinafunguliwa Hadi mwisho.

Hii sio sawa maana hata bar Zina wakati maalum otherwise watumie zile speaker za karaoke na kuweka sound proof ambayo haitawakera wananchi wengine.

Ibada yako au pombe zako au starehe iwe na heshima kwa wengine inaweza kuchangia matatizo kwenye jamii.

Hata Bible imesema tuwe na kiasi kwenye kila jambo. Na unapomuabudu Mungu wako jitahidi sana usiwe chachu ya kuwaingiza wengine dhambini kwa kuwasababishia wawe na chuki isiyo na msingi wowote.

Ndio maana baadhi ya madhehebu Wana muda maalum tu wa kupiga kelele ambazo zinaeleweka mfano kupiga kengele au adhana ili kuwafahamisha waumini kwamba huu ni muda wa ibada then baada ya dakika kadhaa wanaendelea kwa utaratibu wao wa kistaarabu.
 
Kwakweli kuna wakati wa ibada na kuna wakati wa kufanya mambo mengine, hii ya makanisa especially ya kilokole ni tatizo kubwa.

Hatukatai watu wasali, waabudu, waimbe na wamsujudie Mungu wanayemuamini Ila iwe na wakati maalum Ila wenzetu walokole wao hawana muda
Zile siku za mikesha sasa ndo unaweza kuweuka. Kila ukitafta usingizi hauji labda uwe umetoka job umechoka hasa kiasi ukipanda tu kitandani una kata moto ndo utaweza kulala
 
Kuna study ulifanyika Mwaka juzi watoto vijana na wazee wanaosali kwenye makanisa ya kipentecost walionekana Wana tatizo la masikio. Ngoma zao za masikio zimekakamaa na kupelekea kutosikia vizuri au kushindwa kunong'onezana.

Hii ni kwa sababu ya kiwango Cha sauti kuwa kikubwa zaidi 45db kwa muda mrefu hasa wakati wa ibada.

Hivyo kupelekea watu wengi kwenye kwenye makanisa hayo kuwa na tatizo la afya ya masikio.

Tuchukue tahadhari na haya makanisa yenye kufungulia sauti kubwa wawapo kwenye ibada.

Study hiyo ilionesha matokeo tofauti kwa makanisa ya Roman (RC), Lutheran (KKKT) Orthodox n.k

Aidha watu wanaoishi mazingira kuzunguka makanisa hayo ya kipentecost hasa watoto walionekana kuathirika pia hata wale wasiosali kwenye makanisa hayo.

Chukua hatua
 
REJEA?
 
Kawe ndo mwisho wa matatizo,, yani kisehemu kidogo lkn ndo kinaongoza kwa makanisa ya buzuki, kuna makanisa zaidi ya 30 na ukibisha nakupeleka yote japo kisehemu kidogo, yani kila kona buzuki
 
Sijui una laaana au stress za maisha kila kona tanzania kuna bar zinapiga mziki wa makelele na kukesha tuache bar misikiti inatoa hazana kila baada ya muda tena kwa kipaza sauti wew umeona makanisa tu.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom