vijijini

Iringa Rural District (Wilaya ya Iringa Vijijini) is one of the four districts of the Iringa Region of Tanzania, East Africa. It is bordered to the north by the Dodoma Region, to the east by Kilolo District and encircles Iringa Urban District, to the south by the Mufindi District, to the southwest by the Mbeya Region and to the northwest by the Singida Region.
As of 2002, the population of the Iringa Rural District was 245,623.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, mbona hututembelei Manzese na Tandale, au kwa Mpalange unapita pita maeneo ya matajiri tu, hatukuoni vijijini!

    Najua kwamba katika moja ya mambo ambayo SSH alitilia mkazo, ni ile migogoro yenye sura ya kitaifa, vijiji na hifadhi za taifa, vijiji na mapori, maeneo ya serikali na wananchi, na mengine kama hayo, akaunda kamati ya kitaifa ya mawaziri. Mbona ndugu Silaa hajihusishi na hayo ambayo SSH...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Moshi Vijijini acheni siasa za kuchafuana, muda bado

    Kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 jimbo la Moshi vijijini lilimpata mbunge wake,Profesa Patrick Ndakidemi kupitia chama cha mapinduzi(CCM)baada ya kuwashinda wapizani wake akiwamo mpinzani wake mkubwa kwenye kura za maoni,Morris Makoi. Falsafa ya chama cha mapinduzi ni kwamba,baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa tozo ni kwaajili ya kujenga barabara za vijijini. Vipi barabara zinajengwa kweli?

    Salaam Tozo za miamala ya simu ni jambo lililoanzishwa na kuzua tafrani miongoni mwa Wananchi wa Tanzania. Raia wengi walizipinga lakini viongozi wengi wa Chama Tawala walitetea na kuziita ni tozo za kizalendo sababu zimelenga kutumiwa kujenga barabara za vijijini. Soma: Serikali yatangaza...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Condester na DG RUWASA, Kivegalo Wafika Chilulumo, Ivuna na Kamsamba Kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Maji Vijijini Jimboni Momba

    MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
  5. JamiiForums Tanzania Ubunge Moshi Vijijini 2025 pamoto

    Harakati za chini kwa chini za kuwania jimbo la Moshi vijijini zimeanza kwa kasi ya kutisha huku zikizongwa na siasa za kuchafuana kwenye mitandao ya Kijamii. Mbunge wa Sasa wa jimbo Hilo ,Profesa Patrick Ndakidemi anazongwa na upinzani mkali kutoka kwa makada wenzake ambao wameanza kujijenga...
  6. JamiiForums Tanzania Upatikanaji wa umeme vijijini mwarobaini katika kuwezesha uwepo wa maji safi na salama ili kuzuia magonjwa ya mlipuko

    Na.Elimu ya Afya Kwa Umma. Imeelezwa kuwa upatikanaji miundombinu ya maji safi iliyounganishwa na miundombinu ya umeme katika vijiji vya Nyanguge na Bunamhala Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu imekuwa mwarobaini katika kupambana na magonjwa ya mlipuko ikiwemo Kipindupindu. Hii ni baada ya...
  7. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

    MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata. Mbunge wa Jimbo, Prof...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Shule za mjini vs shule za vijijini zipi zinapitia changamoto nyingi?

    Wanajamvi kwema Moja kwa moja niende kwa mada. Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi “Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana” Toa maoni yako na sababu.
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harambee ya Mbunge Yafanikisha Upauaji wa Madarasa ya Shule Shikizi Kiunda ya Musoma Vijijini

    HARAMBEE YA MBUNGE YAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA YA SHULE SHIKIZI KIUNDA YA MUSOMA VIJIJINI Tarehe 12.1.2024 Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo aliendesha HARAMBEE iliyolenga kukamilisha kazi ya upauaji wa boma la Shule Shikizi Kiunda ya Kijijini Kamguruki, Kata ya...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anayoyafanya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuwapa msaada wa kisheria wananchi vijijini

    Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili wa Kijinsia n.k. Kampeni hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa Mkoani Singida Yenye malengo ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Shule mpya za Sekondari na hususan za Vijijini hazifundishi Masomo ya ECONOMICS, COMMERCE na BOOKKEEPING?

    Shule nyingi mpya za serikali zinazoanzishwa na zile za vijijini hazifundishi masomo ya biashara hususan Commerce, Bookkeeping na Economics? . Mfano hivi karibuni serikali ilifungua shule mpya katika wilaya ya Mbinga kama vile BENAYA, NGUZO, KIPAPA, KILIMANI KATI, LAMATA, KAGUGU, N.K lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 na dhambi ya umeme vijijini

    Kazi ni kubwa imefanyika 2023 lakini ni kazi chafu kwa wanavijiji walio wengi. Baada ya kupata umeme wanavijiji waliachana kabisa ghafla na utaratibu wao wa maisha waliouzoea. Ghafla walizitupa mashine zao za kusaga na kukoboa zinazotumia mafuta ya diesel, walitupa vibatali vyao na hata vinyozi...
  13. JamiiForums Tanzania Musoma Vijijini Waendelea Kujenga Maabara za Masomo ya Sayansi Kwenye Sekondari Zake za Kata

    MUSOMA VIIJIJINI WAENDELEA KUJENGA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZAKE ZA KATA Kwenye miradi ya ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na bailojia) kwenye Sekondari zetu za Kata, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anashirikiana na: (i)...
  14. JamiiForums Tanzania Etaro Sekondari Yadhamiria kuwa na High School ya Somo la Kompyuta - Jimbo la Musoma Vijijini

    ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023 Tarehe ya Harambee: Jumamosi, 23.12.2023 Saa 3 asubuhi Mahali: Etaro Sekondari Kijijini Etaro Akaunti ya Shule: Benki: NMB Musoma Akaunti Na: 30301200341 Jina la Akaunti: Etaro Sekondari...
  15. JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini. “Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

    Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna haja serikali ikaanza utambuzi wa shughuli za watu mijini na vijijini wasio na kazi waende wakalime kwa lazima

    Unaweza kuona hoja ya kitoto ila ukweli ni kwamba kuna asilimia kubwa ya watu mjini na wengine vijiji wana nguvu ya kufanya shughuli zenye tija za kuleta maendeleo yao binafsi na taifa ila wapo wamekaa tu vijiweni wanapiga soga asubuhi mpaka jioni wanaishi kijanja ujanja na wapo kulaumu serikali...
  18. JamiiForums Tanzania Vijijini ni pahala pazuri sana endapo serekali itapeleka msukumo huko!

    Endapo serekali yetu tukufu itaweka nguvu zake vijijini hakika huu mlundikano wa wazururaji mijini utapungua sana, Yapo mambo ambayo ni lazima serekali iyatekeleze kwanza ili kuvutia watu vijijini. 1)Ardhi zipimwe na zitambulike na ziwe na hati rasmi. 2) hati hizo ziwe na upendeleo maalumu...
  19. JamiiForums Tanzania World Bank: Tanzania kinara wa Dunia upelekaji maji vijijini, yaongeza Dola Milioni 300

    https://twitter.com/WBTanzania/status/1724805228581781607?t=rIJGgp2j31MJan_0GHtG-w&s=19 Tanzania imetajwa kuongoza Duniani kwa upelekaji wa huduma ya maji ya bomba Duniani kupitia program ya Lipa kwa Matokeo. Kupitia programu hiyo jumla ya miradi 1,500 imetekelezwa vijijini na inafanya kazi na...
  20. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…