Kama ilivyo katika mikakati ya kimaendeleo ya taifa letu kuwa kijana ndio nguvu kazi ya taifa na ndio taifa tegemewa la kesho, lakini kijana huyo huyo anaezungumziwa na taifa lake bado haelewi majukumu yake kwenye taifa lake, hii inakuja na vielelezo kadhaa:
Kwanza, kijana haoni mchango wa...