vijana

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Dkt. Alfred Kimea Aahidi Kuwawezesha Vijana Wajasiliamali Korogwe Mjini

    MBUNGE MHE. DKT. ALFRED KIMEA AAHIDI KUWAWEZESHA VIJANA WAJASILIMALI KOROGWE MJINI Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini Mhe. Dkt. Alfred Kimea, katika ziara yake aliyofanya jimboni amekutana na kufanya mazungumzo na vijana wajasiliamali wanaozalisha Kokoto, katika Kata ya Mtonga Mtaa wa Msambiazi...
  2. JamiiForums Tanzania Faruku Mhamadi: Mke wangu alinichoma kisu nikiwa usingizini

    Dah inasikitisha sana bwana faruq kutoka Muleba alikuwa akihojiwa leo asubuhi katika channel ya crouds kiukweli ni kuwa wanawake wa kileo wana roho mbaya sana😢 ====== Faruku Muhamadi "Nilipata maswahibu ya kuchomwa kisu na mke wangu. Nilikuwa nimelala na haukuwepo ugomvi au ilikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana waambiwe ukweli kwamba Uanaume ni Ukakamavu, Uhodari na Ushujaa

    Anaandika, Robert Heriel Baba Ni mwiko kuona mwanaume akilia au kutoa machozi, na kama atalia labda iwe ni kwa sababu ya kifo cha mzazi au mke au mtoto anayempenda, na hata akilia wakati msiba wa watu hao hapaswi kulialia kama mtoto au mwanamke. Kuna kulia kiume, sio unapigapiga makelele na...
  4. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

    Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya mafanikio. MWANZA Ukienda Mwanza na hakika asilimia 100% utashindwa kujua uanzie wapi umalize wapi, labda...
  5. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu vijana nane niliowasaidia

    Wale vijana niliowasaidia kwa kuwapeleka site wakaungane na mafundi wangu(japo hawana ujuzi wa ufundi) Baada ya kutangaza kwamba vijana wasio na ujuzi ila wanahitaji walau kutoboa kimaisha kwa kujifunza ujuzi wowote niliwachagua hawa nane kwa sababu zangu flani na usiriaz walioonyesha Vijana...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za vijana kukwepa Ndoa

    Umefikia umri wa kuoa? Umewahi kwenda kwa wazazi wa mwenza wako kuanza taratibu za kufanikisha hilo? Walikueleza nini? Kipi kilikufurahisha na kipi kilikukera au kukukatisha tamaa? Majibu ya maswali haya yanaakisi uhalisia wa wanayoyapitia vijana wengi wanapoanza mchakato wa kufunga ndoa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Anayesema vijana wa Bodaboda wamelaaniwa labda amelaaniwa yeye

    Spika Mstaafu wa Bunge, Job Ndugai amewataka Watanzania kuacha tabia kutothamini mafanikio au juhudi za watu mbalimbali wanazozionesha katika taifa hasa katika sekta ya biashara, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa Chakula katika Taarafa ya Pandambili Iliyopo njia Kuu ya Kutoka Dodoma...
  8. JamiiForums Tanzania Hii kolabo ya kijasusi kati ya mama na binti zao inakatisha sana tamaa vijana waoaji

    Wanajamvi habari za muda huu. Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe zaidi ukiwa huna hofu yyt. Na kumbe behind the scenes mko zaidi ya watatu na wote mmetambulishwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi Afrika inauzwa na vijana wakipata fursa: Balozi wa Zimbabwe anaswa katika genge la utoroshaji wa Dhahabu

    Ukiitazama hii video inauma na kufikirisha sana, inatia hasira.
  10. JamiiForums Tanzania Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

    Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imefanya kweli kwenye kilimo, Vijana waanza mafunzo

    Baada ya kuchaguliwa vijana 812 wa awamu ya kwanza kwenda kwenye mafunzo ya kilimo, Leo kazi imeanza kwa mafunzo ya uandaaji na uzalishaji wa miche katika kituo atamizi cha Bihawana jijini Dodoma. Serikali inakusuidia kutengeneza ajira milioni tatu za vijana na wanawake kupitia kilimo ifikapo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Bongo jifunzeni kwa CR 7

    "When I speak about my father, I don't have the words. The sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it. All my family saw, but my father didn't see any of it." Cristiano Ronaldo talking about his dad who passed away September 6 of 2005 when he was just 20 years old...
  13. JamiiForums Tanzania Rajab Diwani: Kamanda wa Vijana

    RAJAB DIWANI KAMANDA WA VIJANA Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa kila ninapoona picha ya mtu maarufu katika wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika nitafungua kitabu cha Abdul Sykes kutazama nimeandika nini kuhusu mzalendo huyu. Baada ya kusoma yale niliyoandika nitayaweka mtandaoni watu...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wengi nchini ni bendera fuata upepo, hawana maarifa ya kutosha

    Acha kuwa bendera fuata upepo. Lema anadai Bodaboda ni sio ajira/ nia laana yeye ameleta nini ili kiwe ajira kwako kijana? Lema anajenga hoja ambazo hazina mashiko, unasema Bodaboda ni laana we unataka vijana wafanye nini au ndo wakusubiri uwe kiongozi mkuu wa nchi ndo kila kijana umpatie...
  15. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vijana kuwa na uzalendo na kufundishwa uzalendo wanapojiunga na majeshi ya ulinzi na usalama

    Kwanza nitoe pongezi kwa majeshi yote ya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na mipaka ya nchi yetu, Huu ni mtazamo wangu kwa jinsi ninavyotazamia haya masuala ya ulinzi na usalama. Kuna jambo ambalo kama serikali inabidi ilizingatie kwa maslahi mapana ya taifa, Jambo...
  16. JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Vijana wote mnaoendesha bodaboda, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa

    Godbless Lema akiwa Mwanza amesema “Ukiona dereva bodaboda ameongezeka ujue ni umasikini umeongezeka, hakuna kazi ya mateso, ufukara na umasikini. "Vijana mnaoendesha bodaboda hivi sasa, miaka 20 ijayo wote mtakuwa mmekufa, mtaumwa vifua, viuno, migongo na wengine mtakuwa vipofu kutokana na upepo.”
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iangalie namna ya kuwasaidia vijana moja kwa moja. Athari za baadaye ni kubwa zaidi

    Hali ya maisha imewachanganya vijana wengi, mazingira na hali sio rafiki kwa biashara, Ajira na zenyewe hakuna. Vijana wamesoma na sasa wameishia mitaani, nguvu ya wazazi nayo imeishia hapo, serikali nayo imeishia hapo, kwanini kijana asichanganyikiwe. Ongezeko la watoto wa mtaani nao ni zao...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana wengine waibukia hospitalini Dodoma kutaka kuuza figo

    Siku chache baada ya uongozi wa Hospitali ya Bugando Mwanza kuelezea kadhia wanayoipata kutokana na vijana kuulizia iwapo wananunua figo, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Benjamin Mkapa Dk Alphonce Chandika naye leo Jumatatu Machi 13, 203 ameeleza kuwepo na wimbi la vijana...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka vijana na wanawake kuchangamkia programu ya Imbeju ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam 12 Machi 2023 – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametoa rai kwa vijana na wanawake kote nchini kuchangamkia programu ya uwezeshaji kiuchumi iliyozinduliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuboresha bunifu zao za...
  20. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kaliua Ameitaka Kampuni ya CCECC Kuwapatia Vijana Ajira

    MBUNGE WA KALIUA AMEITAKA KAMPUNI YA CCECC KUWAPA VIJANA AJIRA Mbunge Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI ameitaka kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Inayotekeleza Mradi wa Ujenzi Reli ya KALIUA - MPANDA Kwa kiwango cha MGR kuwapatia Ajira vijana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…