vijana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma wazee ndio walikuwa na taitizo la nguvu za kiume. Now days ni vijana wadogo sababu ya Pombe na madawa ya kulevya

    Miaka ya themanini mpaka miaka ya tisimi mwishoni tatizo la nguvu za kiume lilikuwa linawasumbua sana wazee na ilikuwa ikisemekana kuwa sababu kubwa ni umri. Lakini sasa hivi vijana wadogo kabisa una kuta hawezi kupafom hii ni kwa sababu ya matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya.
  2. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

    Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue. imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili. Wanaume wakiona hupata picha...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana mlio kwenye 20s, tulizeni akili

    Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao. Tulia; 1. Pata ujuzi (au wazo la biashara) 2. Anza 3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA Utajishukuru ukiwa 32+ (& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI...
  5. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa maarifa ya msingi kwa vijana wetu nani alaumiwe? Wazazi/walezi ama usasa?

    Nazungumzia kwa uzoefu wa mitaani, kwenye jamii, mitandaoni na kama mzazi na mlezi Mitaani na kwenye jamii usasa ndio umeshika hatamu si kwa wazazi/walezi wala watoto wenyewe Wazazi na walezi kutokana na utandawazi na harakati za maisha hatuna muda wa kukaa na watoto wetu na kuwafunza mambo ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen-Z wanaweza kufanikisha Maandamano ya 7/7. Kimsingi hayazuiliki kama yataanzia ndani ya viwanja vya Sabasaba

    Kabla ya kuendelea nianze kwa kusema, huu ni uchambuzi tu. Nitaanza kwa neno hili "herd behavior" hii ni tabia maalum ambayo kila binadamu anayo, kwa lugha ya kizungu hutafsiriwa hivi What herd behavior means: It's the tendency of individuals to copy what the crowd is doing rather than...
  7. JamiiForums Tanzania Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

    Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme, Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi wamesahahu kuwa ukimwi bado upo.
  8. JamiiForums Tanzania Nawaonea sana huruma vijana na wanaotaka kuanza biashara maana, sehemu nzuri za biashara zimeshaisha

    Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
  9. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vijana wengi hasa Gen-Z kuota mvi?

    Wakuu nadhani mmekuwa mashahidi. Huku mtaani vijana wengi wameota mvi kama pamba. Wataalamu hii inasababishwa na nini inakuwaje kijana wa miaka 25 amejaza mvi kichwani kumzidi hadi baba yake? Jaribuni kuchunguza mtaona mfano Steve Nyerere
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana: Tusisubiri Ajira Pekee, Fursa Zipo Kilimo na Ufugaji

    VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha. Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
  11. JamiiForums Tanzania Maandamano ya vijana tarehe 22 Oktoba 1966 dhidi ya 29 Oktoba 2025: Nyerere akili kubwa hakumwaga damu.

    Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe: 4 Oktoba 1966: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
  12. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anashiriki kukandamiza vijana kwenye umasikini, ujinga

    Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza kwa fahari kuwa zaidi ya vijana 400 wa Kitanzania wamekamatwa kwa kutoa lugha za matusi kwenye...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna pesa rahisi wakuu

    Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
  15. JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo acha utawafanya hao vijana waje waozee magerezani, wewe ni mfungwa mtarajiwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi Hakika nimesikitika sana kwa kweli nimewaonea huruma hao vijana kesho na kesho kutwa akaingia rais...
  16. JamiiForums Tanzania Mitego 5 ya Kifedha Inayoua Vijana Kiuchumi

    Ukiwa kijana, kushika mshiko wa kwanza maishani ni kama kupata uchawi fulani hivi unaokufanya uhisi una uwezo wa kununua mtaa mzima. Lakini bila kujitambua, unajikuta unafanya makosa ya kijinga sana ya kifedha yanayokuhakikishia umaskini wa kudumu ukifika umri wa miaka 30. Usikubali kuwa "bosi...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la Vijana Omba omba mitandaoni ni kubwa sana fanyeni kazi

    Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Siha: Vijana walioweka jeneza juu ya gari walikuwa wamelewa

    Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi. Pia Soma: Jeneza lawekwa juu ya gari...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo watu wenye umri wa miaka 30 na kuendelea wanafanya na vijana wa kizazi cha Gen Z wanaona ni ya kushangaza ni pamoja na?

    - Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi. Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna haja ya Serikali kufuatilia baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa na Atamiz/CBE

    Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga na programu hizi wakiahidiwa kupata msaada wa kukuza biashara na ubunifu wao kupitia mentorship, seed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…