vijana

  1. Ikaria

    Vijana kenya watangaza siku 7 za hasira dhidi ya serikali

    Siku moja tu baada ya maandamano ya kupinga mswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024, vijana kupitia mitandao ya kijamii wametangaza hatua inayofuata sass, leo Ijumaa ikiwa ni kuzuru hifadhi ya maiti ya City kutoa heshima kwa mmoja wao Rex Kanyeki Masai aliyeuwawa kwa risasi jijini Nairobi...
  2. M

    SoC04 Vijana, matumizi ya dawa (vilevi) na teknolojia

    Utangulizi, Katika ulimwengu wa sasa, vijana wana nafasi muhimu katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika jamii. Nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya kama shisha, bangi, sigara na vilevi vingine, pamoja na mabadiliko ya...
  3. figganigga

    Wimbi la Vijana kutumia Pombe kwa njia ya haja kubwa, haiwezi chochea Ushoga?

    Salaam Wakuu. Kumeibuka wi la Vijana kutumia pombe kwa njia ya haja kubwa ili walewe kwa haraka. Pamoja na madhara yote, naona hii inaweza chochea kuingiliana kinyume na maumbile. Nini kifanyike ili kuepusha kizazi hiki? Je, kuna Sheria inakataza utumiaji huu wa Pombe? Hii haiwezi kuongeza...
  4. A

    SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  5. JituMirabaMinne

    Nahitaji vijana wawili wenye uhitaji wa kujifunza Car Diagnosis, repairs na umeme wa magari kiujumla.

    Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
  6. Kyambamasimbi

    Vijana wasomi mlioko mtaani, elezeni vilio vyenu kupitia uchaguzi serikali za mitaa 2024

    Katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa vijana chagueni viongozi watakaojua kuwa mko mtaani na mnachangamoto nyingi. Nawasilisha.
  7. instagramer

    Vijana wa CCM "tujipange" kuwajibu Hawa "wapotoshaji" wakubwa...

    Habari wanaBodi.. Mara kadhaa Kila ninapofatilia mijadala humu, hasa Jukwaa la siasa, hua napata ukakasi kidogo na tashtwiti ya kujua Nini hasa kipo nyuma ya pazia.. Ukiangalia Jukwaa la siasa hoja nyingi Sana zinazowekwa humo ni spana za kupinga "mazuri ya viongozi wetu" katika kutuongoza...
  8. M

    Kuchelewa kuoa haimaanishi utaoa mtu sahihi. Vijana fungeni ndoa mapema hata mkishindwana mnaanza upya

    Habari wadau. Vijana wengi wanachelewa sana kufunga ndoa kwa kisingizio cha kusubiri mwenza bora. Ukweli ni kwamba marrying late doesn't guarantee you will marry right. Vijana fungeni ndoa mapema na wenza wenu. Waiting long doesn't guarantee a good marriage
  9. Samia atosha tukutane2030

    Tetesi: Kwasababu ya umaskini na woga vijana wanachukua kadi za CCM kwa kasi sana. Nani atalikomboa taifa na adui wetu 3 wa asili?

    Hello ! Mwanzoni mwa mwezi May 2024 mke wangu aliniambia kuwa kadi za CCM zinefika, mjumbe kaandika jina lako hivyo twende ukachukue kadi yako. Nilitafakari, inakuwaje mjumbe aandike jina langu kwenye orodha ya wanaohitaji kadi za CCM bila ridhaa yangu. Kwakuwa nilikuwa free nikaona nisigombane...
  10. L

    Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  11. J

    SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  12. Morning_star

    Vijana ndo maana tunakuwa wagumu kuwaamini katika suala zima la madaraka! Mkipata hela mnachowaza ni kufungua zipu! Ona sasa!

    Tuseme huyu ndo kiongozi kapewa ofisi na account ya benki ya kampuni
  13. M

    MC Katokisha atangaza ndoa na baby mama wake, why Vijana waliojipata hawaoi mpaka wazalishe kwanza? Wasiotaka kuzaa kabla ya ndoa wataolewaje?

    Habari wadau. Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst...
  14. Bata batani

    Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  15. M

    SoC04 Ajira kwa watumishi tarajali (internship)

    Tarajali ni kipindi ambapo wafanyakazi hupokea mafunzo ya kazi chini ya uangalizi maalumu katika shirika ama kampuni fulani kwa kipindi cha muda fulani ili kupata uzoefu utakao muongezea thamani katika kazi yake ili apate soko katika ajira kirahisi. Hapa tanzania tuna taasisi inayowasaidia...
  16. M

    Kuendelea kuwavuruga vijana ni kujiharibia kwa CCM na Serikali yake

    Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM. Nimeamua kwa makusudi kuwakumbusha viongozi wa serikali na chama kuacha kuendelea kuwavuruga vijana wa...
  17. GENTAMYCINE

    Vijana wa Kiume tuacheni Ubaguzi pale Wazazi wetu wakiwa Wazee kwa kuamua Kumjali zaidi Mama na Baba zetu huwa tunawajali kwa 'Kubeti' tu

    Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo ukawa hivyo ulivyo na Great Thinker hapa JamiiForums unambagua Kimatumizi na Kumjali zaidi Mama. Najua...
  18. karmaa Son

    SoC04 Mradi wa serikali na ukombozi wa vijana (mseuvija)

    Ni ukweli usiopingika kwamba katika maendeleo ya nchi yeyote basi rasilimali watu ndio mhimili mkuu kwasababu wao ndio huwezesha kitu kinaitwa human capital kama ilivyotambulishwa na Theodore W. Schultz (1961) ambao ndio msingi a maendeleo katika Nyanja zote za siasa, uchumi, teknolojia, na...
  19. O

    Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'- Balozi wa vijana AU

    CHANZO CHA PICHA,DIANA CHANDO Maelezo ya picha,Balozi wa vijana Umoja wa Afrika -AUMaelezo kuhusu taarifa Author,Na Esther Namuhisa Nafasi,BBC News, Dar es Salaam Saa 7 zilizopita "Unajua mimi nina macho makubwa, mara nyingi nikiweka kazi zangu watu wanaanza kuuliza kuhusu muonekano wangu...
  20. ngara23

    Vyuo vikuu na vyuo vya kati, jitahidini kuzingatia maadili ya vijana wetu wakiwa huko masomoni

    Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni, Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni. Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa Makahaba wa hadharani Mapenzi ya jinsia Moja. Kutumia mihadarati...
Back
Top Bottom