vijana

  1. JamiiForums Tanzania Kabendera na vijana wenye tamaa za aina yake waache mara moja wanasababisha matatizo ya Familia zao waishi maisha halali wasifake maisha

    Kabendera alikuwa anatafuta pesa haramu kwa njia haramu Alijua anatenda jinai Alijua anayemdhalilisha hawezi kupambana naye Alijua mama yake ni mgonjwa na hawezi kupata huduma sawia bila yeye Kwa nini ajiingishe kwenye mfumo hatarishi wa maisha?
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wa Upinzani ni mbumbumbu ni vilaza wasiojua tofauti ya kutekwa na kukamatwa ndio maana hata vyama rafiki vimewatenga

    Hawa vijana wengi wao ni mbumbumbu kabisa hawajui kusoma alama za nyakati hawataki kuamini kwamba siasa za kiuanaharakati zimepitwa na wakati, hawataki kuamini kwamba uongo mmoja wao unasababisha vyama vyao vichukiwe
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
  4. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya vijana wajiajiri inakera sana

    HII KAULI YA KUWAAMBIA VIJANA WAJIAJIRI INAWAKERA SANA. Na Thadei Ole Mushi. Mzee Mangula Shikamoo!!! Mwenye number ya Mzee Mangula Mpeni huu Ujumbe wa kutaka vijana wajiajiri. Mwambieni kuwa:- Kiongozi anayepokea Mshahara kila Mwezi, Posho kila Siku, anawekewa mafuta ya gari, analipiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wa JKT wadaiwa kuua

    Baadhi ya Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Milundikwa Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa wanadaiwa kuvamia Kijiji cha Kipande na kutembeza kipigo kikali kwa Wananchi hadi mmoja wao Sabato Mbalamwezi kupoteza maisha. Inaelezwa kuwa Sabato Mbalamwezi na mwenzie Renatus Wankamba...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la ajira linazidi kuwa janga Tanzania

    Hawa sio mashabiki wa mpira au wafuasi wa chama fulani cha siasa. Hawa ni wataalamu wa kada ya afya. Madaktari, manesi, mafamasia etc. Wapo kwenye usaili kambi ya Twalipo, Mgulani, wakitaka kujiunga na jeshi,baada ya jeshi kutangaza nafasi za ajira. Hizi ni fani ambazo ilikua nadra sana kumkuta...
  7. JamiiForums Tanzania Desemba 10: Siku ya Haki za Binadamu | Vijana wanasimamia Haki za Binadamu

    Mwaka 1948, Umoja wa Mataifa ulichagua tarehe 10 mwezi 12 kila mwaka kuwa Siku ya Haki za Binadamu ambapo kwa mwaka huu Kaulimbiu ni 'Vijana Wanasimamia #HakiZaBinadamu' Kaulimbiu imeweka vijana kwasababu ushiriki wa vijana ni muhimu kufikia maendeleo kwa wote na Wanaweza kuchukua jukumu muhimu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji: Vijana someni historia siyo kila kitu mnachokiona leo ni kipya vingine vya zamani ila vilikosa usimamizi makini

    Akiongea katika kongamano la miaka 58 ya Uhuru pale Udsm Prof Shivji amewataka vijana kusoma historia ya nchi yetu kwani kuna mambo mengi yamefanyika huko nyuma lakini yalikosa usimamizi makini. Shivji amewataka vijana kuwa wadadisi na wenye kufikiri vizuri na kuachana na ukasuku na mambo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  10. JamiiForums Tanzania Vijana wa sikuhizi lile jambo ni starehe na wala si vita

    Dada anaeleza changamoto wanazopata wakitumia condom za kike. Vijana wa sikuhizi hasa akiwa amekupa pesa kidogo anakomoa.
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu sababu zinazowafanya vijana kukosa furaha wanaponyimwa simu

    Karibu robo ya vijana wamejenga tabia ya utegemezi wa simu zao na tabia hiyo imekuwa kama uraibu, utafiti umebainisha. Utafiti uliofanywa katika chuo cha King kilichopo London, unasema kuwa watu wanakuwa na hofu na kukasirishwa kama wakinyimwa mwanya wa kuwa na simu. Vijana wamekuwa...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Vijana vyuoni kuelekea siku ya Ukimwi duniani, mwakumbushwa kuwa wapo waliozaliwa na maambukizi ya VVU

    Ni katika kuwakumbusha wale waliosahau na kuwatahadharisha wale tu wasiojua kuwa vijana muwapo vyuoni kuweni makini usiingie katika suala la kufanya mapenzi na kijana mwenzio huku ukijiaminisha huyu ni mdogo na akakwambia hajawahi kufanya mapenzi kabla ukaingia kwenye hatari.Nawakumbusha kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Watoto na Vijana 300 hufariki kila siku kutokana na UKIMWI

    Ripoti kuhusu watoto na UKIMWI iliyotolewa na Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF, inaonyesha kuwa watoto na vijana karibu 320 wanakufa kila siku kutokana na sababu zinazohusiana na ugonjwa huo. Chanzo kikubwa cha vifo hivyo ni upatikanaji mdogo wa matibabu ya ARV na ukosefu...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana washauriwa kuchagua taaluma za vipaji

    Vijana nchini wameshauriwa kuchagua taaluma zinazoendana na vipaji vyao ili kujiweka kwenye nafasi ya kufanya kazi ambazo watazifurahia siku za baadaye. Mkuu wa Chuo cha Emerson Education, jijini Dar es Salaam, Faizan Hussein amesema jana sasa kuna changamoto katika uwiano wa vyeti vya wahitimu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kuchaguliwa Desemba 18 mwaka 2019, fomu zaanza kuchukuliwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

    Ni Jumatano tulivu.Kukiwa na maandalizi ya tukio kubwa la kisiasa kwa siasa za Tanzania. Vijana wa CHADEMA katika majimbo yote 10 ya mkoa wa DSM watakwenda kumuomba rasmi Freeman Mbowe agombee kwa mara nyingine Uenyekiti wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari Mratibu wa kampeni ya...
  17. JamiiForums Tanzania Vijana mnakwama wapi hadi kuchoma wenzenu visu kwa ajili ya mapenzi?

    Hii imetokea huko Dar kwa kijana au tuseme mvulana kumdunga kisu mpenzi wake na yeye kujidunga kisu na wote waka rest in peace huku wakiacha katoto Wavulana mnakwama wapi hadi ujinga wa kuua na kujiua kisa mambo ya mapenzi?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyokuwa katika Jiji la Dar wakati vijana CHADEMA wakimchukulia fomu Mbowe

    Ni nderemo. Ndivyo tunavyoweza kusema wakati makundi ya vijana yalivyofurika makao makuu ya CHADEMA kumchukulia fomu Mwenyekiti anayemaliza muda waje Freeman Mbowe ili agombee tena nafasi hiyo. Mratibu wa zoezi la kuchangia kumchukulia fomu Mbowe Bwana Daniel Naftali Ngogo amesema pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana sio wavivu, wala sio wazembe

    Nakataa! Hawa sio wavivu, wamejituma kwenye kilimo, kiliwapora mitaji yao kwa ukosefu wa masoko na sera nzuri za kuwalinda wakulima, wafanye nini? Kwanza hata wakifanya kilimo hawafanyi kilimo kama wakulima (farmers) bali wao huwa peasnats tu, ambao hawawezi kupata faida kwenye kilimo hicho...
  20. JamiiForums Tanzania Rayvanny - I Love You, Mbosso - Ate, Lavalava - Tekenya: Naona mmeamua kutuchezea nyie vijana wa WCB

    Rayvanny wa I Love You sio yule wa Kwetu na Natafuta Kiki. Mbosso wa Ate sio yule wa Hodari na Maajabu. Lavalava wa Tekenya sio yule tulomzoea wa mapini makali kama Bora Tuachane na Niuwe. Hivi nyie vijana wa WCB ndio mmeamua kuprove kwamba Harmonize alikuwa mkali namba 2 kama sio namba 1...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…