vijana

  1. JamiiForums Tanzania Usiwaonee huruma wateule wa Magufuli kwani ni chujo la viongozi waliokosa ubunifu na baraka kwa vijana wenye ubunifu wa uongozi waliokuwa wakibaniwa

    Mh. Magufuli ameanza mizunguko yake kote nchini, na kama kawaida viongozi wengine wamekuwa wakipata shida kwa maswala anuwai, lakini zaidi ni uzembe. Na kama kawaida, watu wamekuwa wakilalamika kwamba Rais ni mkali sana jambo ambalo nimeshangazwa nalo. Kwa maoni yangu, rais anapaswa kuwa mkali...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lasitisha mafunzo ya kujitolea

    JKT YASITISHA MAFUNZO DODOMA: JANUARI 19, 2021 JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kusitisha kwa muda mafunzo ya jeshi hilo ya kujitolea kwa mwaka 2020/2021 mpaka hapo itakapotangaza tena. Kutokana na kusitishwa kwa Mafunzo hayo JKT imewataka vijana walioripoti makambini kurejea...
  3. JamiiForums Tanzania Mawazo mchanganyiko juu ya namna ya kukabili changamoto ya ajira kwa vijana

    Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana, mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana tunafanya nini kujikwamua?

    Habari wana jamvi. Leo napenda tuzungumzie changamoto zinazotukabili sisi vijana kuna changamoto nyingi sana. Baadhi ya changamoto ni ukosefu wa ajira, Ukosefu wa mitaji, pia kushindwa kuyatumia maarifa ya darasani yaliyopatikana na kuyaweka katika uhalisia wa maisha. 1. Changamoto ya...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana tuamke, kesi za wazazi tusizivalie njuga

    Mzazi akikupa hadithi za ujana wao mwambie sawa nimekuelewa,, ila usinifundishe namna ya kuishi na Mzazi mwenzio. Kuna wazazi hata kama alimfumaga baba na mchepuko siku ukipata kazi itakuwa silaha yake ya kuombea hela "nimeuza mkaa ili usome baba yako alikuwa bize na Malaya wake leo umepata...
  6. JamiiForums Tanzania Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

    Utanuaji wa magari ya Serikali sasa yameanza kusababisha maafa. Leo jioni gari Kilimo Kwanza la Jaji mmoja, pale Mwenge limesababisa ajali na kupelekea daladala lililouwa linamkwepa huyo mkubwa kugonga wajenzi wa barabara Mwenge-Morocco. Vijana kadhaa wajenzi wamegongwa na kukimbizwa...
  7. JamiiForums Tanzania Je, kuna makampuni gani mapya yaliyoanzishwa na vijana wa Kitanzania?

    Habari, Naomba kujua ni makampuni gani mapya yaliyoanzishwa mwaka ulioisha (2020) na vijana wa kitanzania? Ahsanteni..
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Hii: Kama mnawapenda vijana wahitimu wa vyuo basi ruhusuni ajira hii kwenye taasisi zenu

    Habari Tanzania! Leo nimewiwa wazo zuri sana nimeona ni busara kulileta hapa ili Serikali (mhusika mkuu) na Vijana (walengwa) kuhusu ajira mpya ya kimapinduzi kwa vijana nchi nzima. WAZO LA AJIRA Vijana waruhusiwe kupata tenda ya kufanya usafi katika taasisi za Shule za Msingi na Sekondari za...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi awataka Vijana kuacha tabia ya kuchagua kazi

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana. Dk Mwinyi aliyasema hayo katika kilele cha matembezi ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Burnout wimbo uliobamba na kuuza sana miaka ya 80 vijana wa zamani tukutane hapa

    Miaka inaenda sana jamani. Huu wimbo unarudisha kumbukumbu nyuma. Ni burnout ya Sipho 'Hotstix' Mabuse South Africa. Ulitawala sana miaka ya themanini. Watu walikuwa na furaha sana ulipochezwa maredioni licha ya ukandamizaji wa utawa wa makaburu. Huyo mdada wa katikati anayecheza kwa furaha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

    Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti. Nini kimewatuliza? Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza...
  12. JamiiForums Tanzania 2025: Vijana ni taifa jipya Tanzania

    Habari Tanzania! Nafurahi kuona raia na wazalendo wachache nchi hii kutokukata tamaa, wenye ujasiri na shupavu kukabili changamoto hasi zilizopo mitaani. Vijana na wazee wachache wanaojitambua napenda kuwasihi mambo bado; umsiogope; mwisho wao waliowatesi wenu ndio mwanzo wa furaha kuu yenu na...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana tuwe makini. Mahusiano ya online ni sawa na kuuziwa mbuzi katika gunia

    Heri ya mwaka wa 2021 Wadau mwaka jana panapo mwezi wa saba rafiki yangu mmoja alifunga pingu za maisha na msichana ambae walianzisha mahusiano kutokea mtandaoni IG, ila walisomana kidogo kama miezi 8 hivi. Sasa jamaa kapatwa na janga ambalo linamchanganya psychological, yule mrembo aliyemuona...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita si ndwele Tugange yajayo 2021 Vijana chapeni kazi siasa tutazikuta tena 2025 tukijaliwa uzima!

    Huu ni mwaka wa kuchapa kazi bila kujali itikadi zetu za kisiasa kwani yaliyopita yamepita sasa tusonge mbele. Makelele ya wanasiasa hayasaidii sana kwani mwisho wa siku wanaonufaika ni wachache. Mfano makamanda wa CHADEMA wamepiga sana kelele na kejeli za kisiasa lakini mwisho wa siku...
  15. JamiiForums Tanzania Fani zenye ajira kwa sasa, vijana someeni fani hizi

    FANI ZENYE AJIRA KWA SASA NA MKWANJE MREFU Na, Robert Heriel Leo sina maneno mengi, watu wengi wamekuwa wakilalamika ajira hakuna, sijui maisha magumu, wengine imefikia hatua ya kujidhuru kwa kutumia madawa ya kulevya, pombe, kujiuza na kudanga kisa tuu hawana mbele wa nyuma, hawana lila wala...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Sugu iwafumbue macho vijana kuhusu nguvu ya uwekezaji

    Habari za boxing day wananchi, Sisi tulio uzeeni tunafarijika sana kuona kijana Kama Sugu ambaye ameishi maisha ya taadhari zote za kiuchumi akifanikiwa kuwekeza kwenye hoteli huku akiwa hana skendo yoyote ya wizi wa fedha za umma. Tumezoea kwa miaka mingi miradi ya vijana wa Chama cha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Profesa: Waalimu wenzangu, hivi mnawafundisha nini hawa vijana?!"

    TUJIKUMBUSHE.. "WAALIMU WENZANGU, HIVI MNAWAFUNDISHA NINI HAWA VIJANA?!" MWAKA 1995. KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU, CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) Moja ya maeneo ambayo Prof. Lipumba alifika kufanya kampeni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 ilikuwa ni katika chuo cha usimamizi wa fedha, IFM...
  18. JamiiForums Tanzania BEITO: Tunahitaji vijana wenye vipaji vya; Kusuka, Kupaka kucha rangi, Kufanya make-up na Kunyoa mitindo mbalimbali

    TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020. BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV. Tunatangaza nadfasi za kazi kwa vijana wa kike na kiume wenye vipaji na ujuzi wa kutoa huduma zifuatazo...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Vijana poleni sana!

    Jana Spika Job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata Serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Poleni vijana mnaomaliza vyuo kipindi hiki. Mnanyanyaswa na kudharauliwa sana na viongozi, eti mjiajiri wakati wao wana ajira

    Jana job Ndugai kawadharau tena eti jiajirini wakati yeye ameajiriwa tena mpaka aliwahi kumpiga fimbo mpinzani wake ili aajiriwe. Maana yake hata yeye anaogopa kujiajiri. Poleni kwa sababu hata serikali haina mpango kabisa wa kuwaajiri tofauti na kipindi cha JK. Heri mfe wote ili miradi yake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…