vijana

  1. JamiiForums Tanzania Suala la maombi ya vyuo kwa vijana walio Jeshini lipoje?

    Wadau habari? Vijana wetu wako JESHINI, vipi maombi ya vyuo kwao? Maana hakuna mawasiliano na hatujui utaratibu wao wa kuomba vyuo na mikopo ukoje anayejua. Msaada please
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fumbo la uaminifu kwa vijana wa Tanzania

    Akichangia hoja ya Waziri Mkuu kwenye kikao cha 11 cha Bunge la 12 Spika wa Bunge Muheshimiwa Job Ndugai aliwasihi waheshimiwa wabunge kufikiria na kuchangia juu ya tatizo la kupungua kiwango cha uaminifu kwa vijana wa Tanzania na kupendekeza namna ya kutatua tatizo hili. Katika maelezo yake...
  3. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mabadiliko ya elimu kwa vijana wa Kitanzania

    Navuta picha ya kijana wa kitanzania anayewakilisha vijana wengi wa kiafrika vijana waliokosa mbinu za kujikwamua kiuchumi, kijamii, vijana wasiojua ni nini wafanye kutoka hapo walipo kwenda kwenye hatua nyingine na kupata kile wanachotamani katika ndoto/maisha yao. Naangali na kutathimini ni...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa kitanzania?

    Habari za wakati Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake. Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia itakuwa na sifa gani,utawalipa kiasi gani,itakuwa na faida gani kwa jamii inayokuzunguka? Zingatia kwamba...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la ajira kwa vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee

    Na Peter Mwaihola Sio ajabu kwa sasa kupita mtaa mmoja na kukuta Video Library zaidi ya 20 ambapo kila baada ya nyumba 3 unakuta library. Hali hii inadhihirisha ni namna gani suala la ajira kwa Vijana limekosa ubunifu katika kutengeneza fursa za kipekee. Kumekuwa na ombwe la Vijana wabunifu...
  6. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimbukeni wa usajili wa Yanga na Simba, vijana wetu watatoboa?

    Club za Simba na Yanga wameshindwa kabisa kubalance usajili wao na kujikita zaidi kupata first eleven ya wageni. Najiuliza aina hii ya usajili itawasaidiaje vijana wa Tanzania wanaopanga kutoka kimaisha kwa fani ya mpira? Lini wataonekana na kutoka?
  8. W

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mahusiano ya fikra na ubunifu kwa vijana

    Kuna sehemu niliona pameandikwa kwa lugha ya kiingereza “Start with mindset” -Anza na fikra- Fikra ni namna unavyochukulia jambo, au ni mawazo ya mtu juu ya jambo fulani maishani au juu ya maisha kwa ujumla, fikra ni dhana. Fikra na umasikini au utajiri vinaenda sambamba sana. Lakini lazima...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kozi zitakazokuwezesha kujiunga kirahisi na JWTZ

    Natumai mu wazima wa afya. Pole kwa wanaoumwa, Mungu awajaalie mkapate afya njema. Nimeona niwashauri kuhusu kozi na taaluma za kuwa nazo, vijana wetu wenye lengo la kwenda kujitolea JKT ili baadae waje kupata nafasi ya kuandikishwa JWTZ kwa urahisi. Kijana, kama una nia ya kuja kulitumikia...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

    Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja Kuna jamaa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu wawili waliofia mikononi mwa Polisi kwa kukiuka 'curfew' wazikwa

    So sad though. Police wa Kenya wanamaliza wakenya kuliko Corona yenyewe. Vijana wawili ndugu wa kuzaliwa (Embu brothers) Emmanuel Mutura 19 na Benson Njiru 23 years waliofikwa na umauti wakiwa mikononi mwa polisi hatimae wamepumzishwa kwenye nyumba Yao ya Milele. Vijana Hawa walifikwa na...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Vijana someni sana ili kuongeza ufahamu

    Habari Tanzania! Leo napendezwa niongee na enyi vijana kizazi kipya kwenye masuala ya Utaawala na Siasa Kazi. 1. Siasa; Unapobomoa " Legacy " ya utawala wowote/ yoyote ukumbuke utawajibika kiutawala na utapata adhabu yenye kukupa adabu aidha uache nia ovu uliyonayo kwa kujua au kutokujua; au...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Ponografia na Vijana

    Kwa kawaida ponografia si jambo geni kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kuingia mtandaoni mara kwa mara lakini kwa ufupi, ponografia ni uwakilishi wa ngono kwa njia ya picha, vitabu, vinyago, sanamu pia na video ambao una nia ya kuchochea hisia za kimapenzi kwa mtumiaji. Aina ya ponografia ambayo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

    Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia. Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa sababu ya vijana kupenda Toyota Crown

    Niwe mkweli, nilikua sijawahi kuendesha gari aina ya toyota crown na mbaya zaidi kwenye circle yangu hakukua na mtu anaemiliki toyota crown labda siku moja ingetokea by chance nikaiendesha. Mimi binafsi preference ya magari yangu ni SUV kama Prado, Harrier ama Vanguard ambayo nimewahi kumiliki...
  19. JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

    Wakuu, Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena: Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
  20. JamiiForums Tanzania UK: Serikali kutumia kumbi za starehe kuhamasisha vijana kujitokeza kupata chanjo

    Kama jitihada mojawapo ya Serikali kuongeza kasi ya utoaji Chanjo, Vijana wameambiwa wasikubali kupitwa na wakati mzuri ikiwemo uhuru wa kwenda klabu na kusafiri kwa kujitokeza na kupata dozi zote za Chanjo dhidi ya COVID-19. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo kuna harakati za klabu kuhamasisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…