Tumuombee Rais Samia Suluhu dua njema, afungue milango ya ajira kwa vijana maana ishaanza kufungua

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau!

Wiki hii naona kuna malaika wa ajira anatembelea nyumba hadi nyumba. Taratibu milango ya ajira kwa vijana imeanza kufunguka hata kabla ya mama kubonyeza ile batani lakini automatically imeanza kufunguka.

Naona vijana wengi hata wale wapiga kelele wa humu wameitwa kazini. Binafsi nimepata interview mbili moja kuwa Operation Manager wa kampuni na nyingine kuwa Project Manager wa International company ofa zote mbili zipo mezani mpaka nimeshindwa kuchagua.

Ila natabiri mito ya ajira kufunguka mwaka huu kama mvua.

Tumuombee tu mama President awakumbuke vijana wake kwenye swala la ajira.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Vibe la wafuasi wa Chadema kwa mama limekata ghafla.
Uzi kama huu zile siku za mwanzo mama anaapishwa wangeshavamia hapa kukimbiza uzi na comment zao za kinafki ushauri kwa Rais wetu kipenzi.
 
Vibe la wafuasi wa Chadema kwa mama limekata ghafla.
Uzi kama huu zile siku za mwanzo mama anaapishwa wangeshavamia hapa kukimbiza uzi na comment zao za kinafki ushauri kwa Rais wetu kipenzi.
to me sijaona vibe la chadema. maana wao toka mwanzoni walijua hawana power ya ushawish wa kupata VP.
so walikaa kimya.

waliokuwa wanahangaika ni makundi ndani ya ccm wenyewe .. na makundi haya ndio yalikuwa yakinyemelea hizi nafasi waweke watu hao.
kundi liloanza 2015, na before 2015.

na mama kajua kuwapiga chenga kabambe. na nimefurahi hafanyi kazi kwa kushinikizwa.
 
Duh!
 
Back
Top Bottom