vifo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri safari za mabasi kutembea saa 24 zisitishwe, vifo vitamaliza watu

    Kwema wakuu? Kwa Hali ilivyo usalama barabarani nyakati za usiku ni mdogo madereva hawazingatii Sheria barabarani wakati wa usiku maana hamna Oolisi. Malori nayo ndio mida yao ya kukimbia so ajali ni nyingi mno. Madereva pia usiku wanasinzia barabarani sababu ya uchovu. Kuna siku nimesafiri na...
  2. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi nchini Sierra Leone yalisababisha vifo vya watu 19

    Jeshi Nchini Sierra Leone linasema kuwa watu 19 waliuawa wakati wa shambulio kwenye Kambi ya Kijeshi na magereza katika Mji Mkuu, Freetown, Jumapili Novemba 26, 2023. Kanali Issa Bangura alisema amesema waliouawa ni pamoja na Wanajeshi 13, washambuliaji watatu, pamoja na Afisa wa Polisi, raia...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma Salamu za Rambirambi kufuatia vifo vya watu 15 ajali ya Gari mkoani Lindi. Atoa Maagizo

    Ameandika Rais Samia Suluhu kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa...
  5. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya? Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito? Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa? Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vifo vya upasuaji wa kuongeza makalio vyaongezeka Uturuki

    Serikali ya Uingereza imesema itakutana na maafisa nchini Uturuki kujadili kanuni kuhusu utalii wa kimatibabu na urembo, baada ya vifo kadhaa kutokea. Melissa Kerr, 31, alifariki dunia katika Hospitali binafsi ya Medicana Haznedar mjini Istanbul 2019 wakati wa upasuaji wa kuongeza makalio, BBL...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini

    SERIKALI kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ikiwemo Ifakara Health Institute wameweka mkakati wa kupunguza vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda (njiti) ,kwa kuwawezesha watoa huduma kufanya kazi kwenye mazingira wezeshi. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa pili wa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Vijana na Watoto waathirika zaidi vifo vya kuzama maji

    UTAFITI uliofanywa na jumuiya za wavuvi katika mwambao wa Ziwa Victoria uligundua kuwa zaidi ya watu 217 kati ya 100,000 hupoteza maisha kila mwaka wakati wa kuvua ambapo asilimia 87 ya wanaopoteza maisha ni watu wazima ambao ndiyo nguvu ya taifa katika uzalishaji mali. Aidha Takwimu...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kikwete aipongeza Serikali vifo vya wajawazito kupungua

    Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022. Dkt. Kikwete amesema hayo leo wakati akifungua kongamano la pili la kisayansi la afya ya uzazi mama na mtoto...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za rambirambi kufuatia vifo 18 vya abiria wa basi la Alfa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali chukueni hatua kuepusha vifo. Baada ya kuruhusu safari za usiku nimegundua yafuatayo

    Hivi karibuni serikali imefanya uamuzi bora kabisa wa kuruhusu magari ya abiria ( mabasi) kutoa huduma masaa 24. Hili ni jambo bora na la kupongezwa kwani linachochea ukuaji wa uchumi kwa watoa huduma kuweza kutoa huduma kuweza kuongeza muda wa kazi. Pamoja na uamuzi mzuri kuna kasoro kadha wa...
  13. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Zingatia Kanuni za kuanza kuoga ili kuepuka vifo vya ghafla bafuni

    Kwa nini nafasi za kiharusi ni nyingi katika bafu VIPIGO huwa vingi kwenye bafu kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaloweka kichwa na nywele kwanza, ambayo ni njia mbaya. Kwa njia hii, ikiwa unamwagilia kichwa mara ya kwanza, damu huinuka kwa kichwa haraka na mishipa inaweza kupasuka. Matokeo...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania HAMAS walalamika kuhusu vifo vya Wapalestina 2,329 vilivyosababishwa na Israel

    Kwamba wao wapige maroketi yao ila wasijibiwe maana itasababisha vifo kwa Wapalestina.... SCREENSHOT Hamas has claimed that the death toll among Palestinians in a massive Israeli air strike on the Gaza Strip has risen to 2,329, the Gaza Health Ministry said on Sunday, 15 October. Source...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

    Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly. Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Kwanini vifo vya Amina Chifupa na mumewe Medi Mpakanjia vilikuwa vina maswali mengi kuliko majibu?

    Nimepitia jukwaani nikaona picha ya Amina Chifupa nikakumbuka namna alivyofariki na kutuachia maswali mengi. Hayati Amina Chifupa alisema ana list ya wauza “poda” na atawataja hadharani bungeni. Mpaka anaenda kaburini hakuweza kuitaja kwani aliumwa mfululizo. Miaka kadhaa baadae, mume wa...
  18. Juma Wage

    JamiiForums Tanzania 'RI CHUN-HEE' Mtangazaji wa vifo vya viongozi na silaha za Korea Kaskazini

    KOREA Kaskazini ni taifa huru baada ya kugawanyika kwa nchi ya Korea mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Awali eneo lote la Korea lilikuwa koloni la Japan kuanzia mwaka 1910 hadi 1945. Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, Jeshi la Russia lilivamia eneo hilo upande wa Kaskazini na...
  19. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania RITA wekeni mbadala wa namna watu watapata vyeti vya vifo

    Utaratibu wa sasa wa RITA wakutoa vyeti vya vifo ni kuumizana vichwa na kuwakwamisha watu, mtu anaomba cheti cha kifo cha mzazi wake, na alifari miaka 30 iliyopita mnataka aambatanise mukhtasari wa kikao cha familia sijui kibali cha maziko nk. Hivi mtu anapata wapi muktasari wa kikao na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania John Heche: Tuko Mgaza Chato tunagonga mkutano wa kwanza, tutafanya mingine minne

    Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh John Heche.amesema Wameshaingia Chato na sasa wanafanya mkutano wao wa kwanza Heche amesema Watagonga Mikutano mingine minne na hawaogopi chochote wako ngangari kinoma
Back
Top Bottom