Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,794
2,000
Tujue kwanza unamiliki computer gani ndio tutoe ushauri. Sio kila video adopter ni kwa kila computer

Au mnasemaje mods
 
Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
363
500

Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,794
2,000
Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
Tambulisha computer yako boss/ Au tambulisha Motherboard ya PC yako ina socket ipi?? Maana GPU zipo za sockets mbalimbali ili tukushauri vizuri

Au mnasemaje mods
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,834
2,000
Sorry hapo natafuta gpu au vram kwa ajili ya modern games power supply yangu ya pc desktop ni 350 watt ivo inaweza kusukuma gpu sema sina usoefu na kujua ipi itanifaackwa game kama far cry 5,state of decay 2,gta 5 na recent games
350 watts inatosha gpu nyingi, ni pin ngapi hio psu?

Bei za gpu ni pasua kichwa hapa Tanzania na Nyingi wanauzia "vram" kuliko perfomance. Unaambiwa Nvidia ya 2GB bei laki 3 ukiicheki ni Gt 610, 710 ama 730 ambazo zinapitwa nguvu hadi na vi Tecno.

1. Agizishia Online ama Kenya, hio Budget unapata 1050ti na change inabaki.

2. Ongeza kidogo around 500k unapata 1650ti hapa hapa Bongo

3. Piga moyo konde nunua Gt 1030 hapa hapa bongo around 200k mpaka 300k cheza hizo games kwa 720p resolution
 
Hiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani
Pia
Powersupp yangu ina pini 2 sema nataka nitumie cable ya multi pin kutoka kwenye pini 1 pia
Kingine nilidanganywa nikalipa 200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb gpu ila hii gpu pasua kichwa sana nikijaribi tu kuopen games inastuck
sana naomba mnishauri vyema wakuu nina desktop 2
1.Dell optlex 3040 hiyo ina ram 8 ,core i3 pia power supp yake ni 250 w
Nyibgine ni
2 HP
Intel® Core™ i7-2600 Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Product Specifications
 
1650ti ndio gpu kali kushinda zote ambayo haihitaji psu cable, yenyewe inachukua umeme kutoka motherboard tu (watts 75).

Capricon mjini wanayo
NVIDIA GTX 1650 GRAPHICS CARD – Capricorn Technologies

Mkuu hiyo i3 ni i3 gani?

Ila i7 sababu ina thread 8 ina make sense kwa games za kisasa zinazotumia thread nyingi.
 
Na mkuu ungeandika model ya hizi pc ingekuwa vyema sana
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,687
2,000
Nina ATI Radeon 4500 HD ila haisomi kwnye desktop yangu, japo feni inazunguka
 
h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,421
2,000
Hiyo 1650 ti kwa bongo maeneo gani
Pia
Powersupp yangu ina pini 2 sema nataka nitumie cable ya multi pin kutoka kwenye pini 1 pia
Kingine nilidanganywa nikalipa 200k kwa mdau akaniizia nvidea gt 630 4gb gpu ila hii gpu pasua kichwa sana nikijaribi tu kuopen games inastuck
sana naomba mnishauri vyema wakuu nina desktop 2
1.Dell optlex 3040 hiyo ina ram 8 ,core i3 pia power supp yake ni 250 w
Nyibgine ni
2 HP
Intel® Core™ i7-2600 Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Product Specifications
Kwanza kwenye hiyo dell kama unataka decent Graphics card kwenye ishu ya Power supply itakusumbua.
Hiyo inatumia dell proprietary PSU na sio Standard ATX. (Ukisema ubadilishe inabidi upate coverters)
Card zitakazokufaa ni zinazo pull power direct from pci slot kama walivyoandika wengine itakuwa <<75W

Hiyo Hp hujasema ni model gani.
 
h120

JF-Expert Member
Jan 10, 2012
2,421
2,000
Nina ATI Radeon 4500 HD ila haisomi kwnye desktop yangu, japo feni inazunguka
Jaribu kuifunga kwenye computer nyingine ikikubali kuwaka basi shida ni PC yako, ikikataa iko na shida.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,834
2,000
Nina ATI Radeon 4500 HD ila haisomi kwnye desktop yangu, japo feni inazunguka
Hii pia ya zamani sana mkuu unless unaitumia kwa extra port.

Cha kwanza angalia drivers uliweka? Ama umechomeka tu?

Pia angalia kama hio gpu imekuja na extra cable zaidi
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,687
2,000
Labda tatizo ni drivers. Nilikuwa na windows 8 ilikuwa yafanya kazi maana niliichomeka tu ikafanya kazi.
Nikaformat ndio ikawa haionekani na pia nikiichomeka tu VGA ya kwenye motherboard haifanyi kazi bali ya kwenye Card

Ilikuwa kwnye desktop ilinunuliwa 2011
Hii pia ya zamani sana mkuu unless unaitumia kwa extra port.

Cha kwanza angalia drivers uliweka? Ama umechomeka tu?

Pia angalia kama hio gpu imekuja na extra cable zaidi
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,834
2,000
Labda tatizo ni drivers. Nilikuwa na windows 8 ilikuwa yafanya kazi maana niliichomeka tu ikafanya kazi.
Nikaformat ndio ikawa haionekani na pia nikiichomeka tu VGA ya kwenye motherboard haifanyi kazi bali ya kwenye Card
kama mwanzo ilikuwa inafanya kazi na imeacha baada ya kuweka windows ni tatizo tu la software, eka drivers itafanya kazi.

kuhakiki nenda device manager kaangalie kama kuna hardware imeekewa yellow triangle, ikiwepo ujue ndio hio.

driver yake download hapa
https://www.amd.com/en/support

kuna box hapo chagua weka model, na hd 4000 series zinafanana na drivers zinaingiliana incase hujui ipi ya KUCHAGUA
 
Root

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
37,687
2,000
Nimeangalia haionekani kwenye display adapters
kama mwanzo ilikuwa inafanya kazi na imeacha baada ya kuweka windows ni tatizo tu la software, eka drivers itafanya kazi.

kuhakiki nenda device manager kaangalie kama kuna hardware imeekewa yellow triangle, ikiwepo ujue ndio hio.

driver yake download hapa
https://www.amd.com/en/support

kuna box hapo chagua weka model, na hd 4000 series zinafanana na drivers zinaingiliana incase hujui ipi ya KUCHAGUA
 
Senator jr

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
363
500
1650ti ndio gpu kali kushinda zote ambayo haihitaji psu cable, yenyewe inachukua umeme kutoka motherboard tu (watts 75).

Capricon mjini wanayo
NVIDIA GTX 1650 GRAPHICS CARD – Capricorn Technologies

Mkuu hiyo i3 ni i3 gani?

Ila i7 sababu ina thread 8 ina make sense kwa games za kisasa zinazotumia thread nyingi.
Mkuu hiyo dell specs hizo apo
Dell OptiPlex 3040 Desktop (Intel Core-i3 3.2 GHz, 4 GB RAM, 500 GB Storage, Intel HD ...
Pia mkuu naomba nishauri vizuri mkuu mimi sinywi pombe sipendi mademu hobby yangu ni games sasa nahitaji gpu nzuri kama kina kali zaidi hapa bongo ambayo nitadumu nayo haijalishi inakula mito (namaana inahitaji powersupp kubwa) au la mimi nielekeze maduka pia natanguliza shukrani
By the way niko kigoma so nataka niende dar kwa inshu zangu thats why naeka na hio concern ya gpu ili nikamilishe kila kitu mapema mkuu.
ASANTENI WADAU KWA MICHANGO YENU NA MUNGU AWABARIKI SANA
 
mkuu hio 1650 kwa monitor zetu hizi hakuna game ambayo hutacheza kwa 1080 60fps,

ila kama una monitor ya 4k ama tv hizi za UHD basi utahitaji gpu kali zaidi.

na hii dell mbona ni kadogo sana mkuu? ya kwako ni ndogo hivi? maana kunakuwa na sff, mini tower, tower etc. umejaribu kufungua cover kuangalia kama ina slot ya gpu?

ushauri wangu hio machine yenye watts 350 ndio inunulie gpu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom