video

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa video hii unadhani kuna haja ya Tundu Lissu kwenda Karatu?

    Huu hapa ni mkutano wa kampeni za Mgombea Ubunge wa CHADEMA Mhe. Cecilia Pareso jimbo la Karatu, kwa kadri ya macho yako unadhani kuna haja ya Mgombea Urais wa CHADEMA kwenda kufanya kampeni kwenye jimbo hili?
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

    Zipo taarifa kuwa baada ya Tundu Lissu kutaka tume ipeleke barua kwake akiwa Serengeti tume imemtuma mtumishi mwandamizi akiwa amepakiwa kwenye pikipiki kupeleka barua hiyo. Taarifa hizi zinazidi kuumiza kichwa kuhusu Uhuru walionao wajumbe wa tume yetu ya uchaguzi. Uwezo wao wa akili na kama...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za mgombea Urais wa CHADEMA, Mh Tundu Lissu Mkoani Mara, Serengeti

    Wakuu natanguliza salamu za ukombozi, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja. Ni siku nyingine tena ambapo Mh Tundu Lissu mgombea urais anayeongoza kwenye kura za maoni anaendelea na safari yake ya kuwaomba watanzania wenzake wampe ridhaa ya kuwaongoza, leo ikiwa bado yuko Mkoani...
  4. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Tundu Lissu akiwasalimu watu wa Nyamongo akiwa njiani kuelekea Serengeti. Ni baada ya kupigwa mabomu

    Serengeti kuna mgombea mwingine pasua kichwa wa CHADEMA aitwae Bi Catherine Ruge maarufu kama Simba jike wa Serengeti. Hapa Lissu akiwa Nyamongo ambapo atatua Serengeti muda mfupi ujao kunakotarajiwa maelfu kwa maelfu ya wananchi kumlaki.
  5. D

    JamiiForums Tanzania VIDEO: DC Jerry Muro akimkaripia Dkt. Wilson Mahera ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Uchaguzi. Je, vetting ilifanyika kwa usahihi?

    Nawaza tu huyu mtu alipataje huu ukurugenzi wa NEC cheo ambacho kinahitaji mtu wa kujiamini kweli kweli. Katokea wapi huyu mtu? Je, vetting ilifanyika sawasawa kabla ya uteuzi? Tutegemee jipya gani?
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mapokezi ya Mbowe yatikisa kata ya Machame, akina mama wamtandikia Khanga njia nzima asikanyage vumbi, umati wafurika!

    Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai. Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa, ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yamuita Tundu Lissu kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Taifa

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemuandikia barua mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ya kumuita katika kikao cha kamati ya maadili ya Taifa. Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dkt. Charles Mahera amesema hilo leo jijini Arusha wakati akizungumza na waandishi...
  8. JamiiForums Tanzania Video : Mbeya moto ! Sugu atikisa tena , awachezesha dansi wapiga kura jukwaani , uwanja walipuka kwa shangwe

    Mbunge wa Milele wa Mbeya Mjini , Joseph Mbilinyi Jongwe , leo tena kwenye kampeni zake ameiteka tena Mbeya bila bunduki kwa kuwachezesha dansi wapiga kura alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni . Huyu hapa .
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mwamba Freeman Mbowe atikisa kata ya Masama Sonu, Jani Isare lanyanyuliwa juu na wananchi

    Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka wa Taifa. Nisimalize uhondo, jionee mwenyewe
  10. U

    JamiiForums Tanzania Amber Rutty na Mumewe Wahukumiwa Kwenda Jela Miaka 5 Au Kulipa Faini Kwa Kosa la Kufanya Mapenzi Kinyume na Maumbile

    Hukumu imetolewa leo na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM Washtakiwa wameshindwa kulipa faini na hivyo wamepelekwa gerezani kuanza kutumikia adhabu yao. ===== Nimezingatia hoja za pande zote mbili na athari za makosa haya, ni kweli washitakiwa wote vijana na wanategemewa, nimeona...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Godbless Lema atikisa Kata ya Kaloleni

    Akihutubia umati mkubwa wa watu kwenye kata ya Kaloleni Lema amewaomba wananchi wamchague mbunge atakayehoji serikali, wasichague mbunge bubu ambaye kazi yake itakuwa ni kugonga meza na kusema ndio tu.
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Sugu aapisha umati wa wananchi wa Kata ya Nsalanga kulinda kura, aahidiwa ulinzi uliotukuka

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini ambaye pia ni Rais wa eneo hilo Mhe. Joseph Mbilinyi , leo amefika kata ya Nsalanga kuomba kura kama sheria inavyoelekeza, pamoja na mkutano wake kuvunja rekodi ya mahudhurio lakini kumefanyika tukio la kiapo cha uaminifu , ambapo umati wa wananchi hao...
  14. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

    Waziri mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa Monduli kwenye kikao cha chama cha mapinduzi ambapo mwanae Fred Lowassa anawania jimbo hilo, alipata fursa ya kuongea na kumuelezea Dkt. Magufuli aliyoyafanya katika vita dhidi ya Korona. Pia kwenye kikao hicho alikuwepo Mizengo Pinda. Lowassa: Mimi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Video: Mtu mweusi maskini akipata hela nyingi anakuwa limbukeni

    Inakuwaje wanaJF! Ni ulimbukeni kujirokodi ama kupost I na mihela mingi. It is a very sad display and lack of humanity and dignity.
  16. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bukoba vijijini, Jason Rweikiza afukuzwa na wananchi wakati akiomba kura

    Mambo ni moto. Hii ni leo kwa Rweikiza Bukoba Vijijini
  17. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

    Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza. Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Tukishinda na tusitangazwe tutamfikisha Rais Magufuli Mahakama ya Kimataifa “The Hague”

    Tundu Lissu akiwa Bukoba Mjini amesema anasikia taarifa za kuwa wakishinda hawatotangazwa. Amemuasa Rais Magufuli kutothubutu kufanya hivyo akimwambia kuwa hana Jeshi la kuzuia wao kutangazwa hasa ukitegemea hajawalipa wanajeshi vizuri kwa miaka 5. Ameenda mbali zaidi na kusema endapo...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

    Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera. Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Tazama "ujinga" wa Benard Morrison-BM3

    Ningekuwa refa ningeweka mpira kati,potelea mbali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…