video

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

    Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono. Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa anaingia viwanja vya Barafu Mjini Igunga - Tabora, jionee mwenyewe
  2. JamiiForums Tanzania Video: WanaCCM wakiwa wamebebwa kwenye gari wakipelekwa kwenye mkutano

    Hakika wanaCCM wameendelea kujionesha kuwa wao ni bora liende. Haiwezekani mwanadamu unampakia kwenye usafiri wa kuhatarisha maisha yake kiasi hiki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ukerewe kumenoga

  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: DUh! Kuna wakati Watanzania akili huwakaa vizuri, hadi wanaanza kutamani katiba nzuri yenye ubora kama hii yetu Kenya

    Hapa katibu muenezi wa CCM anazungumza na kuachia nondo, sijui nini huwaingia Watanzania ghafla mnabadilisha na kuanza tena kuponda umuhimu wa katiba nzuri.
  5. JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

    Lissu ameamua kuutumia vizuri muda wa likizo ya lazima ya Tume kutafuta mahitaji yake ya muhimu.
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
  7. JamiiForums Tanzania Video: OCD Shinyanga adaiwa kuja na bango la CCM lililochanwa nyumbani kwa mgombea wa ubunge Shinyanga Mjini kupitia CHADEMA ili kumkamata

  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali Huyu hapa
  9. JamiiForums Tanzania Video za nyimbo 10 bora za wakati wote zilizoweza kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa

    1. I LOVE YOU – CATHOLIC MT. THERESIA Hii nyimbo kama wahusika walifanya mazoezi ndipo wakaenda shoot video basi walifanya mazoezi ipasavyo.Nimependa jinsi wanavyocheza mwanzo mpaka mwisho,nimependa ujumbe unaotoka kwenye huu wimbo ni wimbo ambao ukipigwa hata kama upo pembeni na mama watoto...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wakenya waionea huruma Tanzania, jameni tuna mengi ya kushukuru

    Ni dhahiri kwetu hapa Kenya tuna changamoto zetu, hamna taifa lisilokuwa na kasoro, pia tuna migawanyiko yetu na mara nyingi huwa tunakubali kutokubaliana, ila kwa wenzetu Tanzania ukifuatilia siasa zao, unajiuliza mbona waharibu hela nyingi hivyo kufanya kampeni za maigizo zisizokua na umuhimu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wachambuzi wa siasa Kenya washangazwa na muundo wa uchaguzi wa Tanzania, wasema walitoka huko kitambo sana

    Hawa ni wachambuzi wa kisasa nchini Kenya wakishangazwa na namna Tanzania ilipo bado kwenye ukoloni japo ni wa watu weusi.
  12. JamiiForums Tanzania Video: Nimekuwa Mtanzania wa kwanza kuvuka Ubungo flyover tokea Mlimani City kuelekea Riverside

    Nadhani hapa sasa Tanzania kama nchi tunaweza kuanza kuvuna matunda ya hili daraja, maana loss tuliyokuwa tunaingiza kwenye foleni za Ubungo kama taifa, ilikuwa kubwa mno!! Ona video.
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Matokeo chanya ya ubunifu wa Humphrey Polepole

    Hongera sana ndugu Humphrey Polepole meneja kampeni wa mgombea urais wa JMT kupitia CCM. Bila hivyo uwanja ungekuwa hivi
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Kumbukumbu: Kauli ya Askofu Gwajima dhidi ya imani za Wakatoliki na Waislamu

    Naam, ni wakati muafaka kwa wana Kawe wote kusemezana kuhusu tarehe hii muhimu sana kwetu.. 👇👇👇
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

    Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wananchi walivyojitokeza kwa wingi Korogwe kumlaki Lissu wakiimba mkombozi amerudi

    Inakuwaje wanaJF! RAIS anayesubiri kuapishwa kalakiwa kiaina yake Korogwe huku umati wa watu wakirukaruka na kuimba mkombozi amerudi
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere na utabiri wa kifo cha CCM - 2020 alioutoa mwaka 1995

    Mwaka 2015 CCM ilinisurika kufa kwa inchi kadhaa Tangu wakati huo wakaweka kiongozi (John Pombe Magufuli) ambaye systematically alianza kuichinja na kuandaa mazishi yake taratibu mwaka huu 2020, Oktoba 28. Msikilize mpaka mwisho hayati Mwl Nyerere ktk video hii 👇 👇👇👇
  19. D

    JamiiForums Tanzania Video: Watanzania na mahaba niue ya siasa. Tafadhali tuzingatie usalama kwanza

    Mambo ni kama hivi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…