Video nilizochukua na simu haziplay vizuri kwenye PC

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
8,559
12,682
Kwa watu wenye uelewa wa hili tatizo naombeni mnisaidie,

Video ninazozirekodi na simu yangu ya Samsung huwa haziplay vizuri kwenye computer, video ina play kisha inasimama simama wakati track bar ya program ya kuplay video inatembea.Track bar ni kile kiashiria kinachoonyesha video ipo sekunde au dakika ya ngapi unaweza kukitumia kupeleka mbele au kurudisha nyuma video.

Video kutoka kwenye simu kama Huwawei na digital camera zinaplay vizuri kwenye PC,tatizo ni video kutoka kwenye simu ya samsung,sijui ishu ni incompatibility kati ya media player na samsung video au?
 
Umeshoot na format kubwa
Hiy pc yako ina uwezo mdogo au u update display ikishindikana yote punguza quality ya video ndo itaplay

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamaanisha nishoot na resolution ndogo?,lakini mbona digital camera ina resolution kubwa lakini nikiweka video kwenye pc zinaplay vizuri.Pia nataka kujua huo uwezo mdogo wa pc,upo kwenye nini,ram,processor au hard disk
 
Kuna possibility hizi mkuu.
1. Codecs, siku hizi kuna codecs za kisasa kama x265 ama vp9 pc nyingi za zamani haziwezi kucheza bila msaada wa software maalumu (software rendering),

2. Resolution kubwa ya camera ya simu, pc nyingi za zamani hazina uwezo wa kuplay full hd (1080p) na kuendelea kama 4k.

Mkuu ungeanza na kutaja specs za pc yako nenda my computer then right click kisha properties nitajie ukubwa wa ram na aina ya processor full usiache kitu.
 
angalia digital camer yako umeset quality gan pia angalia format yake kam ni 4k.2k.1080.au 720
afu mara nyingi sim huwa zinajiset fomat kubwa utakuta full hd ya 1920*1080
hivo kama pc yako ni duo core na ram sze ndogo haiwez play ila kuanzia core i3 na kiendelea itaplay ila make sure display ume update vema

@evilspirit

Specs ni hizi chief
Ram 3gb
Harddisk ni 80gb + 80gb
Processor speed ni 3ghz na ni Pentium 4
Media player ni VLC
Driver ya video nimeinstall kutoka kwenye universal drivers CD ya 2011
OS ni window 7
 
Resolution ya video ya simu mkuu mkuu ni 1980 x 1080,processor ni Pentium 4,drivers za video adapter nimeistall kutoka kwenye CD ya universal drivers hii CD ni ya mwaka 2011
 
Specs ni hizi chief
Ram 3gb
Harddisk ni 80gb + 80gb
Processor speed ni 3ghz na ni Pentium 4
Media player ni VLC
Driver ya video nimeinstall kutoka kwenye universal drivers CD ya 2011
OS ni window 7
Pentium 4 ya zamani sana mkuu,

Player nyepesi zaidi ni mpc utaipata hapa

Home · MPC-HC

Sema hio pia haitakuwezesha kuplay full Hd, ila itakusaidia kiasi fulani.

Njia nyengine convert hizo video ziende sd quality (800x480p)
 
Ni software gani nzuri ya kuconvert chief na je hiyo mpc inaweza kuplay MKV format

Ndio inaplay ina codecs almost zote kama vile vlc.

Tumia handbrake ku convert.

Sema angalia version ya windows kwanza kama sio 64bit itabidi utafute version ya zamani ya 32bit
 
Back
Top Bottom