Video: Paredi la kijeshi la North Korea October 2020 lilivyoendeshwa

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
2,918
15,597
Wakuu, yaani utadhani ni movie la kivita:D:D😂😂🤣

Kuanzia 1:44:37 hadi 2:11:00 ndio mijisilaha mbali mbali ya kisasa yaoneshwa na kuna wachambuzi wanazichambua kwa lugha ya kiingereza.

Wameshindwa kuonesha tu yale mazoezi mazito ya kupasua tofali kwa kichwa.

Wakuu, yaani utadhani ni movie la kivita:D:D

Kuanzia 1:44:37 hadi 2:11:00 ndio mijisilaha mbali mbali ya kisasa yaoneshwa na kuna wachambuzi wanazichambua kwa lugha ya kiingereza.

Wameshindwa kuonesha tu yale mazoezi mazito ya kupasua tofali kwa kichwa.

Kuna lipi la ajqbu hapo Mahaba ni kitu kibaya sana
 
Kuna lipi la ajqbu hapo Mahaba ni kitu kibaya sana
Mmarekani wa Buza huweziona la ajabu hapo.

Voice of America, wao wanafahamu kuna la ajabu, tena zito mno ambalo Mmarekani wa USA (sio wa Buza) anaenda kupoteza pesa nyingi na muda mrefu kujaribu kuendana na 'la ajabu hilo'.

SmartSelect_20201017-112605_Chrome.jpg

SmartSelect_20201017-113749_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom