Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,824
18,568
Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku.

Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani mengi ni utapeli mtupu!

Nampongeza Mchungaji Lusekelo kwa kuwa mkweli.

file:///var/mobile/Library/SMS/Attachments/85/05/B9E9E771-3C60-4DE2-8EB0-BD296E605D6E/8847b96a-39d4-47c7-b83f-d97c1d114027.MP4
 
Bali waende Kwake ?!!!

Au waende wanapotaka kwenda which logically itakuwa inapingana na Ujumbe wake Mzito
 
Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku.

Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani mengi ni utapeli mtupu!

Nampongeza Mchungaji Lusekelo kwa kuwa mkweli.

file:///var/mobile/Library/SMS/Attachments/85/05/B9E9E771-3C60-4DE2-8EB0-BD296E605D6E/8847b96a-39d4-47c7-b83f-d97c1d114027.MP4
Ni bora wabaki kule kwamaana utapeli uko organised and systematic.

Kwasababu hakuna namna yeyoye ya kumzuia mtu anayetaka kutapeliwa asitapeliwe
 
Hi ni kwanini hawa Manabii wengi wao hawapendani?

Kazi wanaifanya moja ya kulitangaza neno la Mungu lakini wanatupiana maneno...
 
Vipi kwake kupo salama? ...... ukifuatilia sana mambo ya dini kuna namna una kuwa kama zuzu ivi hata ukiambiwa ukweli huamini tena
 
naye huwa ni mmoja wao mwambie hatujasahau ibada za sabuni nk.

angemalizia tu kwa kutaja na
kanisa wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo jijini Dar es Salaam, kwa mchungaji Anthony Lusekelo
 
Link yako jaribu kui paste vizuri ili mtu aende moja kwa moja! Haya makanisa ya maombezi na kufata utabiri na miujiza ni hatari sana. Bora turudi na makanisa yetu ya zamani Mungu ni mmoja.
Wengine wameumizwa na kurudi nyuma kimafanikio
 
Hi ni kwanini hawa Manabii wengi wao hawapendani?

Kazi wanaifanya moja ya kulitangaza neno la Mungu lakini wanatupiana maneno...
Huyo kasema ukweli, huwa namsikia anasema yeye anafundisha neno la Mungu ni mtumishi tu sio nabii ,kuna yule mwingine Mwakasege yeye anajiita Mwalimu, hawa hawataki kona kona

Sasa imagine mtu anaenda kusali kwa Zumaridi
 
Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku.

Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani mengi ni utapeli mtupu!

Nampongeza Mchungaji Lusekelo kwa kuwa mkweli.

file:///var/mobile/Library/SMS/Attachments/85/05/B9E9E771-3C60-4DE2-8EB0-BD296E605D6E/8847b96a-39d4-47c7-b83f-d97c1d114027.MP4
Tapeli akiwemo yeye mwenyewe
 
Zumaridi mwacheni yule,Hawa wote ni manabii wa Mungu,ila yeye Zumaridi ni Mungu
😂 Mungu gani watu wanajipigia, kuna jamaa yangu ni askari pale butimba anasema walikuwa wakimpeleka zumaridi mahakamani buku ten ten zinarushwa na waumini wake, askari wanachukua maana zumaridi hazitaki
 
Dini ninayoiyamini niile inayoanza kuandaa mbegu inakuza mmea wake na kuyaona matunda yake
Hizi ambazo zinataka matunda tuu ni biashara siyo dini
 
😂 Mungu gani watu wanajipigia, kuna jamaa yangu ni askari pale butimba anasema walikuwa wakimpeleka zumaridi mahakamani buku ten ten zinarushwa na waumini wake, askari wanachukua maana zumaridi hazitaki
Wakijipigia umungu wake unaisha!?
 
Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku.

Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani mengi ni utapeli mtupu!

Nampongeza Mchungaji Lusekelo kwa kuwa mkweli.

file:///var/mobile/Library/SMS/Attachments/85/05/B9E9E771-3C60-4DE2-8EB0-BD296E605D6E/8847b96a-39d4-47c7-b83f-d97c1d114027.MP4
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2023-07-07 at 11.36.51.mp4
    30 MB
Back
Top Bottom