video

  1. Video: Tunisia Wanavyojisifu Kuuza Watumwa wa Kiafrika

    Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa. Siku za karibuni...
  2. Mwanafunzi ajinyonga kisa kukataliwa kwenda kuangalia video usiku(Mtwara)

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya Secondari Kiromba, Azana Dadi (13) ambaye ni Mkazi wa eneo la Muungano kata ya Kiromba wilaya na Mkoa Mtwara, Amekutwa amejinyonga chumbani kwake kwa kutumia mtandio wake. Jeshi la polisi Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio hilo aidha UCHUNGUZI wa...
  3. Kuna Askari anayehusishwa na video ya vitendo vya aibu, Jeshi la Polisi lije na ufafanuzi kuweka mambo sawa

    Wiki hii kumetoke trending katika mitandao mingi ya ya kijamii inayomuonesha Askari polisi akiwa kwenye gari na akisikiliza wimbo wa Whozu "Vava vava Vavavavayo" . Nimezunguka Twitter kote na Instagram , kuna walioenda moja kwa moja na kumpa tuhuma za Ushoga. Sasa kwa kuwa video hiyo...
  4. Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  5. Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  6. Mwenye clip ya basi la Simba likirudi kinyume maeneo tofauti atume

    Waswahili wanapenda sana kukomalia mambo ma hata pale ushahidi ukiwa hafifu au wakiletewa ushahidi tofauti na wanachotaka kuamini, wanakuwa wagumu kukubali. Nimeona clip inayosambaa ya basi la Simba likirudi kinyume katika mtaa mmoja mwembamba. Kwanza sielewi kinachoshangaza nini kwa gari...
  7. Video: Tuwe makini na imported rice

    Sijui hiki kiwanda kiko nchi gani.
  8. VIDEO: Mke wa Balozi amuanika mumewe

    Nawasihi Usioe Mwanamke mpumbavu! Full Part 1 Part 2 Part 3 Eti anasema kabisa “kaiba mishumaa yangu” Aah kmk
  9. Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  10. Video: Huyu mwamba aliwakosea nini hawa mabinti?

    Kuna hii video iko viral mwamba anakula hamsa kama zote toka kwà mademu; nadhani ni kenya. Swali je aliwakosea nini?
  11. Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  12. Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

    Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada? Viongozi wa mkoa...
  13. Video: Nini chanzo cha 'ujasiri' huu dhidi ya trafiki?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari. Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa...
  14. Video: Mtoto mdogo mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mambo mbalimbali

  15. L

    Marekani haipaswi kukaa kimya juu ya video ya siri kuhusu kampuni ya Pfizer

    Hivi karibuni, video ya siri inayomwonyesha Jordon Trishton Walker, aliyeelezwa kuwa Mkurugenzi wa wa Pfizer anayeshughulikia Utafiti na Maendeleo, Operesheni za Mkakati na Mipango ya Kisayansi ya mRNA, akisema jinsi kampuni hiyo inavyotafiti kubadili virusi vya Corona ili kuongeza faida ya...
  16. REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
  17. Diamond Platnumz alinilipa milioni 17 kuigiza kama Zuwena kwenye video yake

    Video Vixen aliyeigiza kama Zuwena kwenye wimbo wa msanii Diamond Platnumz amesema kuwa alilipwa kiasi cha shilingi milioni 17 kutokea katika video hiyo. Binti huyo amesema alilipwa kiasi hicho kwa Dola za Kimarekani ambazo zilikuwa ni dola 705.
  18. Makosa matano yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Zuwena ya msanii Diamond Platinumz

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 5 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter. ........................................................... Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
  19. Walimu 6 walioonekana katika video ya watoto wakiigiza ngono wafikishwa Mahakamani

    Walimu sita wa Kenya wamefikishwa mahakamani, baada ya kukamatwa kwa video ambayo walionekana kuwaruhusu watoto wa shule ya msingi kuiga vitendo vya ngono, katika shule moja magharibi mwa nchi. Video hiyo ilisambazwa sana nchini Kenya na kusababisha hisia kubwa ya umma. Walimu hao walikamatwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…