video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Mtazame ostaz baada ya kushiba ubwabwa😆

  2. JamiiForums Tanzania GRAPHIC VIDEO!! Magaidi wazidi kuangamizwa huko Gaza!!!

    ⚠️picha za kutisha⚠️ Israel ilifanya shambulio lililolenga gari katika kitongoji cha Rimal kaskazini mwa Gaza. Magaidi 4 waliangamizwa. Kwa jumla, angalau magaidi 28 waliangamizwa leo katika Ukanda wa Gaza. Hamas ilichapisha taarifa kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya kulenga ya IDF dhidi...
  3. JamiiForums Tanzania Kauli Ambazo watu hujisemea Moyoni kama masihara ila kweli inawauma na wanamaanisha Wakiona Video za Chumba cha Hospitali cha Zuchu na Mtoto Wake

    "Aah... hawa nao si wazime hizo camera sasa." "Kwani wao ndiyo wamezaa peke yao?" "Sawa tumeelewa, mtoto kazaliwa... sasa ndo kila saa?" "kuna watu wanachezea hela." "sijui niwa unfollow hawa waanafamilia ya wasafi kwanza, pressure za bure hizi." "kwamba mtoto wao ndo ana thamani sanaaaa "Na...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda VIDEO: Lightning Kills Family of Six, Including Four Children, in Maracha

    Tragedy has struck Maracha District after a family of six, including four children, was killed when lightning struck their home in Nyanza Cell, Oleba Town Council, in the early hours of Saturday. According to Oleba Town Council LCIII Chairperson Robert Angupi, the incident happened at around...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Police man attacks civilian during lc 1 campaigns

    VIDEO COURTESY OF BBS TEREFAYINA
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Ssembabule anti-corruption meeting descends into chaos

    Drama unfolded at a Ssembabule District leaders' assessment meeting convened by Minister Anifa Kawooya after a heated exchange between the minister, the Resident District Commissioner (RDC), and Lwemiyaga County MP Rtd. Brig. Gen. Emmanuel Rwashande over allegations of corruption. The...
  7. JamiiForums Tanzania Video mtoto mdogo akipigana na mama yake, wazi chapa kavukavu

    NYUMBA ambayo baba si msemaji, au NYUMBA ambayo mwanamke ndio msemaji wa mwisho Huwa na anguko. Huwa nawaelewa wanawake ambao hutafuta hata mwanaume lofa tu kikubwa awepo nyumbani ili NYUMBA isikose mwanaume ndani faida ni nyingi sana. Nimemkumbuka yule Binti alie kua akiishi na mama yake...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Heche adai kufuatiliwa na gari namba T 318 EQJ

    Makamu Mwenyekiti wa ChademaTz Bara leo Julai 29, 2026 akihutubia kwenye mkutano wa ndani wa chama hicho uliofanyika jijini Mwanza ameeleza kuwa kuna gari aina ya Toyota Land Cruiser (hardtop) nyeupe iliyofika nyumbani kwake asubuhi ikiwa na namba za usajili T 318 EQJ, baada ya kufanya uchunguzi...
  9. JamiiForums Tanzania VIDEO FUPI:- Kleruu vs Mwamwindi

  10. JamiiForums Tanzania VIDEO: Nafikri vijana wa Arusha wameshindikana aisee

  11. JamiiForums Tanzania Video :Barabara Kuu ya Tanzam Dar-Mbeya-Tunduma Ilipaswa kuwa Hivi.

    My Take Sina hakika kama Tanzania tunajenga Barabara Kwa viwango vizuri kama hivi 👇
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ya magari yakisaidiana ni halisi

    Kumekuwa na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa dereva mmoja alimsaidia mwenzake ambaye gari lake lilipata hitilafu ya tairi moja. Katika video hiyo, dereva huyo anatajwa kuwa shujaa kutokana na hatua yake ya kumsaidia mwenzake.
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Picha Kuwa Video kwa Kutumia AI ya Grok Imagine

    18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia. Kwa kutumia Grok Imagine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ai yawa msaada kwa wanafunzi wenye usikivu hafifu wanaopata shida kujifunza darasani, group discussions, videos, voice notes, n.k.

    Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana muda wowote, hata ukiwa chumbani kwako japo kwa tahadhari kwasababu haipatii kila kitu. Wanafunzi...
  15. JamiiForums Tanzania Hii video imejaribu kuelezea muhtasari mfupi wa hizi beef utumbo za humu JF 😁

    Mnatukanana kwa emojis na ID hewa za majina ya uongo😁
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Police Breaks Silence on Viral Video of Security Officers Firing Shots in Kampala

    Kituma Rusoke, Uganda Police Spokesperson Police have issued a statement addressing a viral video circulating on social media that shows armed security officers firing shots into the air in Kampala’s Central Business District. According to the statement, the incident occurred on Monday, July...
  17. JamiiForums Tanzania FALSE Video Claims Minister Justine Nameere Fell in Mbale during inspection on muddy road

    False video Tunachokijua(what we know): Uganda’s Local Government Minister Balaam Barugahara and State Minister Justine Nameere Nsubuga found themselves literally bogged down in the very problem they set out to inspect. On July 20, 2026, their convoy became stranded on the slippery slopes of...
  18. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: security agencies cordon off pff offices

    Security agencies have cordoned off the People’s Front for Freedom (PFF) offices on Katonga Road, preventing members from accessing the premises where Juma prayers had been planned for Dr. Kizza Besigye and former Lord Mayor Erias Lukwago, who are facing treason charges. Courtesy of UBC
  20. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…