video

  1. JamiiForums Tanzania Video ya binti akivuta sigara

    Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa kwa kasi sana, Facebook, Tiktok na hapa X (Twitter). Kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni video...
  2. JamiiForums Tanzania Ninauza camera ipo kama mpya imetumika kidogo bei ni laki tano tu

    Ninauza camera ipo kama mpya imetumika kidogo bei ni laki tano tu .removu k1 4k 3-axis gimbal all-in-one camera/camcorder in pristine condition. The lcd screen is still protected . Removu k1 camera. Two rechargeable batteries (up to 3 hours each). Full accessory kit, comprising of protective...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 'Stronger together'

    Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao. Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.
  4. JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  5. JamiiForums Tanzania Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Airtel mna tatizo gani kuanzia saa 9 jioni baadhi ya maoneo video hazichezi

    Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
  7. JamiiForums Tanzania Nimekutana na video ya huyu binti, imenikumbusha kuwa asilimia kubwa ya mabinti wa kileo hawako resistant na ushawishi wa jamaa mwenye pesa na jina

    Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂 Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
  8. JamiiForums Tanzania Kwa namna gani unaweza Ku download video za YouTube na kuzihifadhi kwenye Storage ya Simu yako?

    Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa . Ni Application gan nayoweza kutumia?. Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
  9. JamiiForums Tanzania Video: Huu kama sio ukoloni ni nini? Wachina waanzisha hoteli ambazo Mtanzania huruhusiwi kuingia

    Wakuu, Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi. Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Rais Ruto avunja kamati ya Utekaji

    Rais Ruto amekiri uwepo wa genge la Utekaji nchini kwake na kulivunja Leo rasmi. Tazama video
  11. JamiiForums Tanzania Kosa la usaliti: Nani mwenye Makosa Rafiki au Mkeo? : VIDEO

    Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake.. Analalama kwa uchungu sana.. KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi. Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri). Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
  12. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyewahi kuwa Naibu Waziri Mambo ya Ndani (Ame Silima) akidhalilishwa na Mwanamke

    Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia. Haya ni matukio machache...
  13. J

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Sasa kama wanayajua haya kwanini ATCL, TTCL na SGR zinaendelea kutia hasara kila ripoti ya CAG?

    Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali, Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
  14. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo na maji ndani yake kukiwa na mimea iliyoota imetengenezwa kwa Akili Mnemba

    Mdau shiriki kuthibitisha Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo yenye maji ambayo ndani yake kuna mimea iliyoota huku kukiwa na watu wanotembea kwa miguu. Je, ni halisi au imetengenezwa?
  15. JamiiForums Tanzania Chunguza alama zilizopo barabarani au kwenye majengo ili kubaini Uhalisia wa eneo katika Picha au Video

    Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii. Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza alama zilizopo barabarani na majengo kwani zinaweza kuonesha utambulisho wa eneo husika.
  16. JamiiForums Tanzania Video: Wakongo wameshindikana kwa mikogo

    Jamaa anadai alivyovaa imemgharimu Euro 366800 kama Tsh 1b.. hawa jamaa ndo mabingwa wa kufeki. Pia kama hujui kifaransa hata kidogo ni shida yako binafsi. Hainihusu.
  17. JamiiForums Tanzania Video: Papa Francis aonekana kwa mara ya kwanza hadharani kupitia dirisha hospitalini

    Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili. Daktari...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Ana mwanamke karibu Kila mkoa

  19. T

    JamiiForums Tanzania Mbio za Ubingwa wa EPL katika uchesi wa video

  20. JamiiForums Tanzania Nilisahau kupost hii au Mods wameondoa? Video matukio ya kutisha Morocco

    SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA? https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…