video

  1. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Video: Afrika inahitaji Rais kama huyu

  2. Financial Intelligence

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Matumizi ya mbolea yameongezeka kwa 100% bajeti ya kilimo imeongezeka mara tano

    Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika kituo maarufu cha runinga cha ITV kwenye kipindi Cha DK 45 amekaririwa akisema namnukuu, " Bajeti ya kilimo imeongezeka kutoka TZS400bn mpaka TZS1.9Trilioni sawa karibu na mara tano" alisema Kwa...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Video: DC Bomboko huku ni Kujidhalilisha, Si kila mtu ni mwoga. Haya sasa unajisikiaje?

    Ni aibu kwa huyu DC hata lugha yenyewe inamchanganya haijui. Anaishia kutishia tu na yupo kwenye paniki mode.
  4. Superbug

    JamiiForums Tanzania Video: Chaumma wazomewa mkutanoni na wananchi

    Angalia jinsi chaumma wanavyozomewa na wananchi.
  5. Five55

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ona mtangazaji wa ITV alivyombana Kafulila Studio Live 'unafanya siasa na maisha ya watu?'

    Hapa naona Bwana Mkurugenzi Kafulila kawekwa mtu kati na huyu Mtangazaji wa ITV naangalia hapa anamuuliza " unafanya siasa na maisha ya watu"?! Huyu dada anaitwa nani?
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  7. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa video: Chakufanya pindi unapopata Allergy (mzio)

    Habari za wakati huu. Nimeandaa video hii ili kuzungumza kwa kina juu ya matatizo yanayo sababishwa na allergies na njia mbalimbali zakutibu zikiwemo mitishamba. https://youtu.be/UKhfahXz2UU?si=IDitY_xh0MB3o90h
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hii video wataelewa wenye akili tu Magwajima wataibuka wengi tu

    Magwajima wataibuka wengi tu
  9. Faana

    JamiiForums Tanzania Video: Kuna sababu gani kumpeleka mtu kama huyu Mahakamani?

    Ushahidi uko wazi, kwanini asipelkwe jela moja kwa moja? https://web.facebook.com/reel/1100919795416621
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

    Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha. "Lakini...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Video Maalum kwa wanaosifia viongozi wanapokosea

    No maneno mob, we sikiza huyo mzee vile anabonga. Points mingi sana "Na mie mtu anayeniikosoa nampenda zaidi kuliko anayenisifia kwa sababu mtu anayekusifia mana yake wewe unakuwa hujui kama unakosea" -Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Je, hii video ndo inamfanya Mbowe Kuogopa na Kubaki ndani akiwa anachungulia Dirishani?

    GT. Laana ya watoto wadogo wa taifa hili zitawatesa wasaliti. 'Waacheni watoto wadogo waje kwangu". Mkisaliti mapambano x3
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

    Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa. Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
  14. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ikimuonesha mwanamke akiendesha pikipiki kwenye barabara ya zege isiyokauka ni halisi

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayomuonesha mwanamke anayeendesha pikipiki katika barabara inayoendelea kujengwa kwa zege kama ni halisi au imetengenezwa.
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KUMBUKIZI: Gwajima awajibu Machawa: Silaha ya Wajinga ni Kujipendekeza

    Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position. Mwenye uwezo analindwa na uwezo wake haitaji kujipendekeza kwasababu uwezo wake unambeba"
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Wasiojulikana wavamia Chumba cha Waamuzi, sintofahamu yazuka na Walinzi wa Simba baada ya Fainali ya Kombe la Shirikisho

    Sintofahamu iliibuka kati ya walinzi wa Simba na wageni ambao hawakufahamika katika chumba cha waamuzi kubadilishia nguo baada ya mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho Afrika kumalizika kati ya Simba na RS Berkane.
  17. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zidhibiti video zinazoonyeshwa ndani ya mabasi

    Ukiwa unasafiri kwa mabasi ya kwenda mikoa mbalombali kuja video za muziki, filamu au vichekesho huoneshwa humo kuburudisha wasafiri. Lakini kwa baadhi ya video maudhui yanawwza kutazamwa na rika miaka zaidi ya 18. Katika mazingira ya basi ambapo kuna watoto na wanandugu wanasafiri ni muhimu...
  18. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Video : Sheikh Izzu ddiyn toka Kenya amjia juu Matha Karua na wenzake

    ♦️Adai watetezi wa haki za binadamu hawajawahi tetea japo haki moja wakafanikiwa. ♦️Amtaka Karua na wenzie kutetea haki za waKenya kwanza. ♦️Pia akumbushia Karua alivyoshiriki kuwadhulimu waKenya wakati wa rais Mwai Kibaki.
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna tetesi kuwa CCM na magenge yao yanatafuta njia kuzibiti habari na video za gwajima na wengine wasisambaze.

    Wametafuta mpaka ma IT wao uchwara wajaribu ku hack account ya gwaji boy youtube na lengine wamekataza chombo chochote kisitoe habari za yaliyo ongelewa. Usijeshangaa hapa JF mkafutiwa nyuzi zenu ambazo zinahusu habari ya gwaji kuweka wazi na zikabaki za kumziaki.
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Ebu Tazama muundo huu murua wa mfumo wa geti. Mafundi wetu chukueni hii kama challenge

Back
Top Bottom