Katika siku kadhaa kumekuwa na video ikimuonesha binti mdogo mwenye miaka inayokadiriwa kuwa kati ya 12 mpaka 14 akifika duka moja na kuwasha sigara kisha kuivuta. Ni video fupi ambayo imesambaa kwa kasi sana, Facebook, Tiktok na hapa X (Twitter).
Kwa baadhi ya watu inaweza kuwa ni video...
Ninauza camera ipo kama mpya imetumika kidogo bei ni laki tano tu .removu k1 4k 3-axis gimbal all-in-one camera/camcorder in pristine condition. The lcd screen is still protected .
Removu k1 camera.
Two rechargeable batteries (up to 3 hours each).
Full accessory kit, comprising of protective...
Kundi la Wanachama wa Chadema la G 55 kwaajili ya kuweka mambo sawa ambayo yanapotoshwa mitandaoni kuhusu muelekeo wa chama chao.
Wamesema lengo la kundi lao nikuweka umoja wao pamoja na kushauriana baadhi ya mambo kuhusu uchaguzi Mkuu na jinsi wanavyoweza kujiandaa na uchaguzi huo.
Moja kwa moja.
Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi
https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/
Mwingine...
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.
Askari huyo alikimbilia basi...
Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
Masikini unakuta hata bwana yake huko alikuwa ndio anajichanga aende kujitambulisha ghafla akaona hii clip😂
Ukiwa una pesa alafu ukikutana na demu mwenye bwana, ukimuulizia kuhusu bwana yake ataakuambia "aah yule tunasumbuana"
Wakuu ,nmedownload baadhi ya Apps nilizogugo zinazosemekana zinadwnld video YouTube ila Sijafanikiwa .
Ni Application gan nayoweza kutumia?.
Kwa kuanzia naomben hii video , Kwa sisi Wasanii tunaburudishwa na Mpangilio wa Sauti
https://youtu.be/Ae8IA_84Naw?si=MIz142u-I-7GcaO3
Wakuu,
Tunaposema kuwa Wachina ni existential threat kwa jamii yetu ya kitanzania huwa tunamaanisha
Hapa ni GUangdong Hotel, Dar Es Salaam, huyu jamaa kasimamishwa getini anakatazwa kuingia kwenye hii hoteli na mlinzi.
Akihoji kwanini anaambiwa hiyo hoteli ni "special" kwa Wachina. Ngozi...
Ngosha kasalitiwa na Mke wake, kulingana na tukio linavyoonekana ni kwamba hata Mtoto si wake..
Analalama kwa uchungu sana..
KATAA Ndoa wanachukua points 3 za wazi.
Inaonekana Binti pia hana aibu kabisa.. (Jeuri).
Mbaya zaidi hasira za mtu aliyesalitiwa (Ngosha) anazihamishia kwa Mke msaliti...
Anaitwa Ame Pereira Silima alikuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK 2010-2015, na katika uchaguzi wa 2015-2020 akaomba kuwa mgombea Urais Zanzibar akakosa akapewa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Moroco na leo 2025 ndio huyo Dah hii ndo inaitwa Dunia gunia.
Haya ni matukio machache...
Nimesikiliza hii clip kwa zaidi ya mara tano hiki kitu kinachoitwa Ubia naona kama kinaelekea elekea hivi kwa mbali,
Mimi nashauri badala ya kila siku CAG kutangaza namba kubwa kubwa za hasara toka kwa baadhi ya Mashirika yetu ya Umma nadhani ni wakati Sasa Mashirika haya yawekwe chini ya...
Mdau shiriki kuthibitisha Video hii inayoonesha barabara ya lami yenye mashimo yenye maji ambayo ndani yake kuna mimea iliyoota huku kukiwa na watu wanotembea kwa miguu. Je, ni halisi au imetengenezwa?
Picha au video inaweza kudaiwa kurekodiwa sehemu tofauti na eneo halisi, jambo linaloweza kusababisha upotoshaji unaoweza kuibua taharuki katika jamii.
Ili kubaini Uhalisia wa eneo, chunguza alama zilizopo barabarani na majengo kwani zinaweza kuonesha utambulisho wa eneo husika.
Jamaa anadai alivyovaa imemgharimu Euro 366800 kama Tsh 1b.. hawa jamaa ndo mabingwa wa kufeki. Pia kama hujui kifaransa hata kidogo ni shida yako binafsi. Hainihusu.
Papa Francis (88) amejitokeza kwa mara ya kwanza hadharani baada ya kulazwa kwa wiki tano kutokana na nimonia kali iliyohatarisha maisha yake. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki atatoa baraka kutoka Hospitali ya Gemelli, Rome, kabla ya kurejea Vatican kwa mapumziko ya miezi miwili.
Daktari...
SIJAJUA KAMA NLIPOST HALAFU KUNA MODERATOR HAKUPENDA AU NILISAHAU KUPOST. ILA NITASHANGAA COZ HABARI IPO NA VIDEO IPO. MASLAHI YA NANI YAMEGUSWA HAPA?
https://africabriefing.com/shocking-abuse-of-black-migrants-in-morocco/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.