video

  1. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Video: Dodoma Jiji Wasusia mchezo dhidi ya Simba baada ya kuzuiwa mazoezi getini

    Wakuu Siku ya jana Dodoma Jiji walisikika wakisema kesho (ambayo ni leo) hawapeleki timu uwanjani baada ya kuzuiliwa katika geti la Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kufanya mazoezi ya mwisho. Mchezo wa Dodoma Jiji dhidi ya Simba unapigwa leo Machi 14,2025 saa kumi jioni na itakuwa LIVE...
  2. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tukio katika video linaonesha maji yakisomba magari

    Mdau shiriki kuthibitisha Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Barabara mbovu kiasi DC kutembea kwa mguu kwenda kukagua miradi ya maendeleo

    Mkuu wa wilaya ya Geita Hashimu Komba akiwa ziarani katika Jimbo la Busanda Wilayani Geita Mkoani humo, amejikuta akishindwa kufikia miradi kwa wakati baada ya Msafara wake kukwama njiani kutokana na ubovu wa barabara hali iliyopelekea kutembea kwa mguu ili kwenda kukagua miradi hiyo iliyopo...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  5. R

    JamiiForums Tanzania Operesheni tokomezeza flash disk na mawaya, Nawezaje kutazama video za kwenye computer kwenye Tv kwa kutumia wifi ( wireless )

    Nahitaji kuifanya Tv yangu iwe kama youtube au Netflix lakini niweze kustream video kutoka kwenye laptop yangu bila bando. Laptop nitakuwa naiacha chumbani, niweze kuchagua video moja kwa moja kwenye TV bila kugusa laptop. Nimechoka kudownload videos kwenye pc kisha niiingieze kwenye flash...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Inaliza, inaumiza, Video ya Mke wa Mgombea Uenyekiti CHADEMA Akisimulia Jinsi Polisi walivyomuua Mumewe Kwa Risasi usiku wa Manane!!.

    Ni katikati ya Mkutano wa Wanawake wa BAWACHA , anapewa nafasi ya kuzungumza Mke wa Marehemu. Mjane wa watoto Wanne, anakiri Mumewe kuuwawa na Jeshi la Polisi Kwa kufyatuliwa Risasi nne mbele ya macho yake na mbele ya watoto wake. Mjane anahoji, Angekua ni Rais Samia ameuliwa Mume wake...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Makonda amtafuta Gambo mbele ya Rais Samia, hajaonekana walipokaa wabunge wengine

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda ameuteka uwanja na kuufanya kuwa 'busy' wakati akimuulizia Mbunge wa Arusha Mjini mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Makonda alimtaja...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo uwanja wa Mkapa kuelekea mechi ya Yanga na Simba, mashabiki wanasuasua kuingia uwanjani

    Hali ilivyo nje ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kabla ya mchezo wa Yanga na Simba ni tofauti na matarajio ama ilivyo zoeleka. Pia soma: Breaking News: Bodi ya Ligi yahairisha Mechi ya Derby
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Siku ya wanawake kimataifa, Wanawake madereva wa magari na mitambo wakionesha umahiri wao mbele ya Rais Samia

    Tazama Wanawake madereva wa magari na mitambo walivyoipamba Siku ya Kimataifa ya Wanawake Jijini Arusha mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  11. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii inayoonesha gari inayotembea ikiwa na mawe juu yake imetengenezwa

    Video inayoonesha gari inayotembea kwenye barabara iliyopo mlimani huku likiwa na mawe mawili juu yake. Mdau Shiriki kuthibitisha, je, video hii ni halisi au imetengenezwa?
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Imenikumbusha utotoni miaka ya Tisini

    I can pay any amount of money to back to the 90s and early 2000s.
  13. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

    Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba Maiki ya kurekodia video Youtube

    Msaada tafadhali. Mwenye maiki ya kurekodia maudhui ya Youtube naomba anisaidie, nilinunua maiki ya K9 lakini haina sauti nzuri kabisa. Kama kuna mtu ana maiki naomba anisaidie. SINA HELA ZAIDI YA 20,000 tu ndio maana nimeomba mwenye nayo anisaidie. Asante na mbarikiwe sana.
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Miaka ya 1990 hadi 2000 video za watu kuchinjwa zilienea sana mitandaoni

    Mwisho wa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa 2000, intaneti ilikua jukwaa la video za kutisha za mauaji, ikiwemo vichwa vya watu wa Magharibi kama wazungu na wamarekani vikichinjwa. Video hizi zilitengenezwa na kusambazwa na mashirika ya kigaidi yanayoendesha operesheni katika Mashariki ya Kati...
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba kutumiwa video za utupu imekaaje?

    Mtu anaweza kukuharibia upako wa jumapili kwa request za ajabu. How come Mwanamke anaomba atumiwe video za utupu Nianze kuinstall VPN niingie pornhub ni download X then nimtumie Mimi nimemwambia siwezi nimemtumia buku mbili aende library wamuwekee
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

    Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani. Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana. Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Video inayomuonesha simba mashuhuri alieitwa scarface katika nyakati za mwisho wa maisha yake

    Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130. Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface. Alivutia sana watalii pale...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Rais Samia ampisha kwa muda kukalia kiti cha Urais mwanafunzi aliyesema anatamani kuwa Rais

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa wilayani Muheza mkoani Tanga katika siku ya tano ya ziara yake ya kikazi, amempisha mwanafunzi kiti chake cha urais akalie kwa muda.
Back
Top Bottom