Ni kweli au AI?
Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku Fuga App inakusaidia :
kutunza rekodi za Ufugaji kiurahisi zaidi
Inakusaidia kujua chakula kinaisha lini na pia kiwango cha chakula kwa siku ili usiwapunje au kuzidisha.
Inakukumbusha chanjo kwa njia ya SMS siku moja Kabla na siku husika ili...