Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi
Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara
Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko
Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake
Taarifa nilizozipata ni kuwa...
♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia.
🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.
Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo
Ni mbinu gani ambayo...
Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana.
Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake.
Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia...
UKOO WAKO UNA LAANA AU UNA KIBALI?"
Je, umewahi kujiuliza:
Mbona baadhi ya familia wote wanapitia umasikini kizazi kwa kizazi?
Watu wana elimu nzuri lakini hakuna maendeleo?
Wengine hawajasoma, lakini kila biashara yao ina faida?
Kuna familia watu wanakufa kabla hawajafanikisha chochote...
Zab 145:14 SUV
[14] BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini.
Moja ya sifa nzuri aliyonayo Mungu ni huruma aliyonayo kwa watu wake, wale watu wanaofika wakati wanavunjika moyo kutokana na mambo mbalimbali wanayokutakana nayo katika maisha yao, Yeye huwainua tena.
Mtu...
Wanabodi,
Kiukweli Waarabu na wakoloni,wazungu, wametufanya vibaya sana!,sio tuu walitu
colonise nchi yetu,kuifanya ni nchi yao,bali pia wametufanya watumwa wao mpaka leo, mpaka kesho kwa kutu indoctrinate utumwa wa ki fikra, mental slavery,sasa sisi ni watumwa wao!utumwa huu unaendelea...
Tukiwa bado tunanukia kinyumbani nyumbani vijana wa form 1, tumetimiza wiki moja au 2 mbili hivi, ilikuwa imefika mida ya kwenda kuchukua msosi wa jioni. Sasa si unajua vyombo tunatunza kwenye matranka so inakubidi urudi bwenini ukachukue.
Ile ndio form 1 tumeingia bwenini kuchukua vyombo...
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.
Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki tendo la ndoa?Acheni hii tabia
Aise! Wajuvi
Baada ya kukaa ndani sana nikasema ngoja ninyooshe miguu,Sasa nikakatiza maeneo fulani kuna chochoro ambayo pembeni kuna bweni la wasichana wa shule fulani, Nikiwa sijui hili wala lile nikavutwa shati kwa mkono uliopenya kwenye kiuzio cha bogavilia, Shwaa nikajikuta nimeangukia...
Siasa ni MAGAZIJUTO.
Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa.
Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika.
Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.