vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninawasihi wafanyabiashara wenzangu kuacha kuwaongelea vibaya wafanyakazi wanapoacha kazi

    Mtu mmoja ambaye ni family friend na Koffi Olomide aliniambia kuwa Mzee Koffi kwenye mkataba wake wa kazi kaweka kipengele cha kutoongeleana vibaya baada ya mkataba kufikia tamati au kuvunjwa. Hii ilitokana na tukio la mwishoni mwa miaka ya 90 pale wanamuziki wake wote walivyomtoroka kabla ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Duh! Mkeka umechanika vibaya sana! Huku Tundu Lissu pale John Wegesa Heche!

    Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake. Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi. Sasa ni rasmi mkeka wao...
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamna Mwana CCM aliyempongeza LISSU au kumsema vibaya Freeman Mbowe?

    Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti. Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Ntyuka Dodoma kutelekezwa, kodi za wananchi kutumika vibaya

    Hapa Dodoma mjini kuna ujenzi wa barabara ya Lami kutoka mjini kati kwenda Ntyuka [Dampo] kama kilometres 9, barabara ilifika hatua ya kumwaga changarawe, barabara imesimama toka mwezi wa tano [Mei 2024 ] wananchi wanapita kwenye barabara ya muda ambayo ni mbovu sana Serikali mpaka Leo...
  5. Full charge

    JamiiForums Tanzania Kauli ya 'tafuta pesa inatumiwa vibaya

    Kauli hii hutumiwa eidha na watu wasiojua nini maana ya pesa au watu wanaopata pesa kwa njia haramu (wezi,madawa) Huwezi kuwa tajiri kwa kauli hizi za kipumbavu,yani eti ukiona kahaba mwenye makalio makubwa basi ndiyo utumie pesa kumpata hayo si matumizi sahihi ya pesa ni ulimbukeni tu...
  6. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Huruma Yako ni Hazina: Usiruhusu Itumiwe Vibaya!

    Kusaidia wengine ni tendo la heshima na ubinadamu, lakini si kila mtu anayekuomba msaada ana nia njema. Kuna watu ambao, badala ya kujiboresha kupitia msaada wako, wanatumia ukarimu wako kama njia ya kukupeleka kwenye matatizo zaidi. Watu hawa ni hatari kwa ustawi wako wa kiakili, kihisia, na...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

    Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia. Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe. Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Joseph Mrindoko wa wachokonozi azichana vibaya shule za English Medium

    Amezichana vibaya shule za English Mediums na kuwaita " mbumbumbu "Watanzania wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule hizo. Ameongea point nyingi sana nenda kamsikilize mwenyewe You Tube. Moja kati ya nukuu yake anasema " Waafrika tunataka kuwa kama wazungu. Wazungu hawataki kuwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa BMN wa Mshiko Faster, unaweza kukufanya ukadhalilika vibaya sana

    Wadau, nawapa tahadhari kuwa huu mkopo wa NMB wa Mshiko Faster, unapanda na kushuka utadhani bei ya hisa kwenye masoko ya hisa kwenye masoko ya hisa duniani. Kwahiyo, ukikopa, usitarajie kile kiwango ulichopewa mara ya kwanza, ndio utapewa tena baada ya kulipa deni na kuomba mkopo mwungine hata...
  12. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania CCM wangejua ya kwamba kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuwatendea vibaya CHADEMA wasingethubutu kufanya haya

    Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sio vibaya ukianza kwa ku-share tracks tano za rap bora uzipendazo za muda wote

    1: Nas - New York State Of Mind "I never sleep, cause sleep is the cousin of death. Beyond the walls of intelligence, life is defined. I think of crime when I'm in a New York state of mind" 2: Ice Cube - Today Was The Good Day "Get me on the court and I'm trouble Last week, messed around and...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naonya Mbinu Chafu isitumike hasa ile ya 4-4-2 ndani ya Vyumba vya Guinea leo, kwani Tutaumbuka vibaya na Kufungiwa

    Nasikia kuna Umafia umefanyika sasa kwakuwa sitaki Taifa Stars ishinde leo nawasanua Guinea ili FIFA na CAF wajue.
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania 2019 na 2020 ndipo tulipojikwaa vibaya sana, "bwana yule" aliuvuruga na kutukoroga

    Tukiangalia tulipojikwaa mwaka 2019 na 2020 ni hakika Bwana yule alivuruga kila kitu, haya mengine yote yaliyotokea baadaye na yanayoendelea kutokea ni matokeo tu uvurugaji wa 2019-2020. Lilikuwa jambo ovu sana kuonyesha machaguzi na maamuzi ya raia walio wengi katika kupata wawakilishi wao...
  16. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Tulinyanduana vibaya

    Imepita miaka 10 sasa,nilimpata mdada mmoja ni msomi kutoka mkoa wa kaskazini,nilimtongoza miezi 6 hatimae akanipa,siku hiyo tulinyanduana vibaya,gemu ilichukua saa moja hivi na intervals zilikuwepo,tulinyonyana vibaya,chumvi nilienda na mtaronpia niliulamba,baada ya muaka 3 hivi alikuja jamaa...
  17. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Iran avua nguo zote baada ya kughasiwa kuwa amevaa vibaya hijab

    Iranian woman strips clothes in protest after being assaulted for improperly wearing hijab - report University officials claimed that the woman was suffering from "severe mental pressure and had a mental disorder."...
  18. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

    Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu. Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi. Daaah ni shida sana
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jerusalem Post: Kiongozi mkuu wa Iran Khamenei anaumwa vibaya muda wowote anatutoka

    Kiongozi huyo mwenye miaka 85 yuko hoi sana kitandani na muda wowote anaweza kuaga dunia. Kwa sasa anayetarajia kupokea kijiti ni mtoto wake au mwingine atakayechaguliwa. Taarifa hizi zimekuja siku moja baada ya kushambuliwa vibaya kwa maeneo zaidi ya 20 huko Iran. Chanzo...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dk. Slaa: CHADEMA haijajiandaa kushindana uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, atabiri kwamba watashindwa vibaya mno

    Nguli, na kigogo, Cingwiyemisi wa siasa za upinzani, Dk Slaa, ametabiri kipigo kitakatifu kwa Chadema katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Slaa amesema chama hicho hakina maandalizi, na kimekata tamaa
Back
Top Bottom