UKOO WAKO UNA LAANA AU UNA KIBALI?"
Je, umewahi kujiuliza:
Mbona baadhi ya familia wote wanapitia umasikini kizazi kwa kizazi?
Watu wana elimu nzuri lakini hakuna maendeleo?
Wengine hawajasoma, lakini kila biashara yao ina faida?
Kuna familia watu wanakufa kabla hawajafanikisha chochote...
Zab 145:14 SUV
[14] BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini.
Moja ya sifa nzuri aliyonayo Mungu ni huruma aliyonayo kwa watu wake, wale watu wanaofika wakati wanavunjika moyo kutokana na mambo mbalimbali wanayokutakana nayo katika maisha yao, Yeye huwainua tena.
Mtu...
Wanabodi,
Kiukweli Waarabu na wakoloni,wazungu, wametufanya vibaya sana!,sio tuu walitu
colonise nchi yetu,kuifanya ni nchi yao,bali pia wametufanya watumwa wao mpaka leo, mpaka kesho kwa kutu indoctrinate utumwa wa ki fikra, mental slavery,sasa sisi ni watumwa wao!utumwa huu unaendelea...
Tukiwa bado tunanukia kinyumbani nyumbani vijana wa form 1, tumetimiza wiki moja au 2 mbili hivi, ilikuwa imefika mida ya kwenda kuchukua msosi wa jioni. Sasa si unajua vyombo tunatunza kwenye matranka so inakubidi urudi bwenini ukachukue.
Ile ndio form 1 tumeingia bwenini kuchukua vyombo...
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.
Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki tendo la ndoa?Acheni hii tabia
Aise! Wajuvi
Baada ya kukaa ndani sana nikasema ngoja ninyooshe miguu,Sasa nikakatiza maeneo fulani kuna chochoro ambayo pembeni kuna bweni la wasichana wa shule fulani, Nikiwa sijui hili wala lile nikavutwa shati kwa mkono uliopenya kwenye kiuzio cha bogavilia, Shwaa nikajikuta nimeangukia...
Siasa ni MAGAZIJUTO.
Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa.
Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika.
Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora
Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga
Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu.
Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai.
Hii tunaiitaje ?
Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
Amani iwe nanyi Wanabodi,
Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao.
Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa.
1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler.
2...
Magaidi wa ki-Houthi huko Yemen wanapata kipigo cha Mbwa-Koko baada ya wao kugundua ugomvi usiowahusu huko Gaza!!
https://x.com/therealjew613/status/1902544051313782789?s=61
Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani.
Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
dhidi
dola
dola ya marekani
dollar
dollar ya marekani
duniani
fedha
marekani
mwaka
mwaka 2025
shilingi
shilingi ya tanzania
tanzania
vibaya
zaidi duniani
Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5.
Kuna kesi ambazo kama tutaka mataifa yaje kuchunguza ni aibu sana ila kwavile wamevaa pajama zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.