Kutokana na uzee wangu, watoto wangu wote walishaondoka nyumbani na wako kwenye miji yao wakijitegemea. Wengine wameoa na wengine wameolewa.
Changamoto iliyopo kwa hawa watoto, kwa sasa hawanijali kabisa ata kuthamini ule mchango wangu uliowafikisha hapo walipo, pamoja na kuwasomesha na...