viatu

  1. fact only

    JamiiForums Tanzania Fremu ya kuuza viatu kariakoo

    Habari wakuu . Kama unahitaji kufanya biashara ya viatu kariakoo Kuna fremu inaachiwa Kwa sh 500,000 Kwa mwezi imebaki miezi Saba. Mwenyewe anahamia Dodoma hakuna kilemba. Ni kariakoo Mtaa wa muhonda (Msimbazi na muhundo opposite jengo la DDC) karibu.
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watu huwa wanatakiwa kuvua viatu kwenye scanners za ukaguzi Airport?

    Kwa watu wanaofahamu masuala ya usalama, Kwa nini watu hutakiwa kuvua viatu kwenye scanners za viwanja vya ndege wakati wa ukaguzi wa kuingia ndani ?
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mrisho mpoto anataka tuvae viatu vyake kwenye msiba wa mkewe wakati yeye anatembea peku

    Ina maana sisi maumivu yetu sio yake ila ya kwake ni ya kwetu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kauli na mambo kama haya yaliashiria tangu mapema kabisa viatu vya mama Tanzania havimtoshi sema tulipuuzia

    Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema. "HILI NALO MKALITIZAME" Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo! Lakini ukiwa waambia watumishi wa Tanzanja Bara kwamba HILI NALO MKALITIZAME; Kwa vichwa vya watu wa bara halina...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina asema watake, Wasitake Watasimamiwa tuu! Mabaomu ya Mpina, watu Leo wanalala na Viatu!

    MPINA Kahapa mbele ya Mbingu, Haiwezekani Fedha ya Mtanzania iliwe na wahuni wachache . Ahapa Kwa Damu kua Atawasimamia tu Watake Wasitake https://www.youtube.com/live/ckgp9uI6Hlo?si=BQRpVLwOv-w813FD No Reforms ,No Election!!!
  6. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

    Hela ni kitu cha ajabu sana Mfalme wa Saudi Arabia kaingia msikitini katinga viatu kama kawaida. Vijana tafuteni hela ona hiyo.
  7. kalooo 25594

    JamiiForums Tanzania Kalooist Nenda huko, utakua nazo na viatu kama havikutoshi tafuta ya kuvaliamo,Rasta wake up,this was a code from your culture

    Wanajamvi karibuni katika kalooist jamii. Mwili husitiriwa kwa mavazi,makazi na hiyo amani ya moyo.Katika jamii nyingi za kiafrika ni sehemu chache zilikuwepo na kuweza kuyamudu hayo, mfano huko vijijini ambako kipato,elimu na afya kama huduma ni kidogo ukilinganisha na mjini mara nyingi watu...
  8. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kuna mjadala kuhusu mfalme wa saudia kuingia AlKaaba kavaa viatu

  9. The redemeer

    JamiiForums Tanzania CHIMBUKO LA VIATU VYA CROCS

    “Wakati kila mtu alicheka viatu vyangu… tayari nilikuwa naota kuuza mamilioni.” 🥿🚀 Mwanzoni mwa miaka ya 2000, mimi pamoja na washirika wangu Scott Seamans na George Boedecker tuligundua Croslite—aina ya plastiki ya ajabu, nyepesi kama manyoya, iliyohisi kama kutembea juu ya mawingu. Watu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania connection ya Mchina anayeuza viatu vya kiume kuna 1 milion in sale hapa

    I will be short nataka number ya mchina anayeuza viatu vya kiume, na 1 million ya buy out. sifanyi biashara na mtu mweusi. ni mchina au muhindi tu. nipeni connection. dm ipo open
  11. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Jipe muda wakuvaa viatu vya unae taka kumuhukumu.

    Jipe muda wakuvaa viatu vya unae taka kumuhukumu.
  12. hamis77

    JamiiForums Tanzania Wanaovua viatu misikitini ni masikini

    Trump akitembelea msikiti mkubwa wa Sheikh Zaidi huko Abu Dhabi. Wanauliza mbona huyu kafiri hajavua viatu? Nani alikuambia tajiri anavua viatu? Maskini ndio anaitwa kafiri na sio rahisi kumwingiza msikitini na viatu. Kumbuka hata Papa anazama (ga) msikiti na shoes zake bila wasiwasi.
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee, tuvae viatu vizuri tukitoka. Nimeangaliwa kwa dharau sana leo.

    Nimejimix nikasimamisha mdada jioni hii Mlimani City hapa nje ya Pizza Hut. Tatizo chini nilichovaa sasa. Huyo mdada kaniangalia kwa jicho baya sana.
  14. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Viatu na tabia za watu: We viatu vyako ni vipi?

    Just for 😁😂😀🤣
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Naona nimepigwa na Seller wa AliExpress

    Kwa mara ya kwanza niliamua na mimi niagize kupitia AliExpress, juzi tarehe 2 nililipia kiatu cha mtoto cha elf 40 na ni free shipping, nikawa nafuatilia process mpaka ikaishia kuwa iko Airport. Leo asubuhi nacheki ile Order yenyewe haipo na ile Tracking Number haifanyi kazi huku AliExpress ila...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

    Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
  17. Scared

    JamiiForums Tanzania Thread ya machimbo ya wachina nguo vyombo viatu kariakoo Kwa wote manayoyajua machimbo weka hapa hii inaitwa fuluza winga na utapeli kariakoo

    Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
  18. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Bidhaa tunazouziwa siku hizi hasa viatu na nguo za dukani zinapauka kwa haraka sana, mamlaka imelala?

    Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu. Mamlaka ziko wapi, wananchi tunauziwa bidhaa zisizo na ubora kwanini?
  19. CEYLON

    JamiiForums Tanzania Napata wapi viatu hivi kwa hapa Dar?

    Habari?Nahitaji raba hizi pichani,mwenye kujua chimbo zinapopatikana anijulishe vinapopatikana.
  20. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: stand za viatu

Back
Top Bottom