Mfanyakazi wa duka la viatu

Mfanyakazi wa duka la viatu

winchester

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
285
Reaction score
335
Anahitajika mfanyakazi mdada wa duka la viatu , duka lipo mwananyamala , Awe anauwezo wa kutumia mitandao kujitangaza na pia awe mchangamfu . Mshahara kuanzia 150K . SMS /whatsapp 0754200363
 
Bado anahitajika mdada itakuwa safi kama atatokea maeneo ya karibu na mwananyamala .
 
We mzee bado unahitaji huyo mdada nikupatie wa uhakika lakini uwe na mkataba tu ili ujilinde wewe na yeye.

Nakuhakikishia hutojutia
 
Back
Top Bottom