Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

Mfalme wa Saudi Arabia aingia msikitini kavaa viatu

Bubu Msemaovyo

Platinum Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,189
Reaction score
3,550
Hela ni kitu cha ajabu sana Mfalme wa Saudi Arabia kaingia msikitini katinga viatu kama kawaida. Vijana tafuteni hela ona hiyo.
 

Attachments

  • IMG-20250615-WA0122.jpg
    IMG-20250615-WA0122.jpg
    255.6 KB · Views: 31
Wakristo shughulikeni na dini yenu
 
Sina imani na hizi picha, ya kwanza ililetwa hapa akiwa kasimama hivyo hivyo na nyuma yake kulikuwa na kiti cha kifalme kikionekana wazi kabisa, hii ya leo mmeondoa kiti, kwa nini isiwe fake? Oooh sawa, bado kipo, ila ya zamani hii
 
Acha ushamba we kipwinto hizo ni leather socks for winter
Screenshot_20250617-212105_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom